Search results

 1. Ibrah

  House4Rent Nyumba inapangishwa Kisota Kigamboni

  Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi. Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji mna-share (mita moja nyumba mbili). Ina master bedroom na vyumba viwili vya kulala, jiko, dinning na...
 2. Ibrah

  Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

  Hii hospitali wanatibiwa wafanyakazi wa Usalama wa Taifa na hata familia zao, ni kama hospitali nyinginezo za majeshi, tofauti ni kuwa miaka michache iliyopoita wamejenga wodi ya VIP ambayo Mkapa na Sita walifia hapo.
 3. Ibrah

  Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

  Na hili wanapaswa kulifanyia kazi mapema iwezekanavyo, Samia, atangaze kuongeza siku za maombolezo vinginevyo Watanzania watanza kuhoji uwezo wake wa ku-react inapotokea maswala ya kufanyia kazi kwa haraka kama haya.
 4. Ibrah

  Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

  Ugonjwa mpya ulioingia na ambao kwa bahati mbaya hata wasomi wanauamini ni kuwa kila kifo kinachotokea sasa ni COVID19, kana kwamba magonjwa mengine hayapo, kana kwamba mwanadamu hatakufa kama hakuna magonjwa. Vv
 5. Ibrah

  Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

  Wangeipangisha hata UDSM ili watumie kama madarasa na maofisi au hata hostel za wanafunzi maana pale ni karibu sana na UDSM Vv
 6. Ibrah

  Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

  E FM siyo social media kama JF, Bujibuji. Vv
 7. Ibrah

  Plot4Sale Premier Plot For Sale at Mwongozo Kigamboni

  Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF na NHC; Kiwanja kimezungukwa na barabara pande zote, kinafaa kwa matumizi ya biashara kama ujenzi...
 8. Ibrah

  Swali kuhusu ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma,

  Umeuliza swali nililojiuliza nikaishia kuona aibu mwenyewe. Ukweli ni kuwa Morocco ni 'masikini' tu kama sisi ila wamefanikiwa kutumia vizuri raslimali zao. Uchumi wa Morocco unategemea utalii kwa kiasi kikubwa, hawana mafuta kama wenzao wengine wa kaskazini mwa Afrika. Sent using Jamii Forums...
 9. Ibrah

  Nyumba inapangishwa Kisota, Kigamboni.

  Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo. Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6 Feri-Maweni, Kilometa 2 Maweni-Kisota), ina umeme (Luku) na maji. Pia kuna water reserve tank. Imo ndani...
 10. Ibrah

  Kardinali Pengo asema bado kuna akina Herode uchwara duniani!

  Watumishi wa Mungu hawatakiwi kuogopa mtu wala kufungamana na upande wowote, ndiyo yao iwe ndio, siyo yao iwe siyo.
 11. Ibrah

  Tundu Lissu kufanya mahojiano na Azam Tv tarehe 01, Januari 2018

  Mahojiano ya Azam TV na Lisu yatakuwa saa ngapi?
 12. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu...
 13. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Hata Maili mbili au Msalato unaweza kupata. Unaweza kuweka morgage shamba la Nala? Ok ukianza utaratibu wa kupima hadi kupata hati, ekari moja ya huko Nala itakugharimu kiasi gani? Ukiweka kitega uchumi kama shopping malls au supermarket, wanakijiji wa Nala ndio watakuwa wanunuzi wako wakuu?
 14. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Wewe una ngapi? Tangazo liko wazi kuwa mazungumzo yapo, usihofu.
 15. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Hizo factors ndizo zinazo-dermine bei ya soko hapo Iyumbu, ,kuwa karibu na UDom ni factor nyingine, barabara ya kutoka Dar inachepukishwa kule. Plot iko opposite na NHC Iyumbu estate, mmiliki atatumia barabara inayoingia NHC Iyumbu estate, maji atachukua bomba linaloingia NHC na hata umeme...
 16. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Utapata wapi ekari 5 za pamoja na utazifanyia nini? Waonahitaji kuwekeza hilo eneo ni zuri, sio kwa ajili ya makazi. Hata hivyo mazungumzo yapo.
 17. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Nyumba moja ya NHC Iyumbu estate inauzwaje?
 18. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Awali ilikuwa shamba, nilikwepa vihunzi vingi kutoka NHC waliotaka wanilipe fidia ili wachukue na CDA. Hatimaye nilifanikiwa kupima na kupata hati.
 19. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo liko kilometer 2 kutoka UDom Administration block. Kiwanja kina hati ya miaka 33 iliyotolewa na CDA...
 20. Ibrah

  Nape Nnauye: TCRA inaandaa kanuni za kubana matumizi ya mitandao ya kijamii

  Dah, umenikumbusha SLP ya shule yangu, Shule ya Msingi Kigona, SLP 30, Kigoma ; nimekumbuka zile bahasha na barua za pamoja zilizoitwa ' Airform'.
Top Bottom