Search results

 1. Ziroseventytwo

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Origiiiiii.....nilesema ndio game zake hizi..katubeba
 2. Ziroseventytwo

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Maneeeeeh!!! Save...
 3. Ziroseventytwo

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Origi in.... Hizi ndio game zake. Anatuokoa sana....
 4. Ziroseventytwo

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Aione OllaChuga Oc
 5. Ziroseventytwo

  Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

  Two clear chances tumepoteza mpaka sasa. First half na hii jota aliyopoteza. Tutajutia sana. Fabby anakichafua sana hapo kati. Piga tackling za maana sana.
 6. Ziroseventytwo

  Hili suala la vitambaa vya unahodha kwenye ligi ya uingereza kuwa na rangi ya Rainbow ni kwamba ligi hii inasimama na mashoga ama imekuaje

  Sio kuunga mkono tu ushoga, pia kutambua haki zao, maana wapo. Bora wenzetu wameamua kuwatambua na kulinda haki zao, kuliko sisi tunapinga ushoga na kutotambua haki zao wakati wapo kibao kila mji hapa nchini. Kama mtu kaamua kubomolewa mipango mwacheni abomolewe, kama jimama limeamua kuolewa na...
 7. Ziroseventytwo

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Sisi tuliwapiga 5, akaja mzee Ranieri akawapiga 4, citizeni wakajipigia 2. Nyie jaaho limewatoka na mkashindwa kuwapiga. Ndo mnadrop point hivyo. City tofauti ya alama 1, Sisi 2. Mpaka dec hii inaisha kila m1 qtakaa kwenye nafasi yake. 1. Liverpool 2. City 3.Chelsea 4. Gunners 5. 6. 7. United 8.
 8. Ziroseventytwo

  Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  Mtashinda japo kwa tabu. OllaChuga Oc mambo vp? Vp majogoo jana? Umeona muziki wetu?
 9. Ziroseventytwo

  Utani wa Profesa Ndalichako dhidi ya utamaduni wa taifa letu

  Andiko reeeefuuuu, utopolo mtupu. Acha watoto wetu wapate elimu kama wamemaliza kunyonyesha. Kwami kuna shida gani?
 10. Ziroseventytwo

  Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

  Tuanze sasa kukitumia kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu. Sie wenyewe kiswhili hatukijui. Muulize mtu kikokotoo ni nini uone maajabu ya duniani.
 11. Ziroseventytwo

  Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

  Ccm ndio shida wewe campanies general, ukienda ccm hata uwe na uwezo gani, utabadilika na kuwa utopolo kabisa. Ref. Bashiru Ally, Polepole Kigogo 2022 n alike.
 12. Ziroseventytwo

  Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

  Shida hapa siyo Dotto wala Samia. Shida kubwa kabisa ni CCM.
 13. Ziroseventytwo

  Yusuf Magasha wa Radio Free Africa

  Mimi huwa nasikiliza dira ya dunia na amka na bbc. Au DoutchWelle idhaa ya kiswahili ujerumani. Jumamosi ni Mtaa wa mangoma pale radio one sterio saa 5 ahsubuhi. Usiku naenda ufm ngoma za zamani za bendi zetu. Kina DDC, Msondo, bima lee nk. Sina muda wa kusikiliza mavipindi ya ajabu. Mambo...
 14. Ziroseventytwo

  Nitumie Application gani kuflash simu ya android?

  Peleka kwa fundi...wapo wakali wa software. Gharama ni ndogo tu.
 15. Ziroseventytwo

  Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

  Muda mfupi uliopita, hali iko hivi. Nipo 60 area
 16. Ziroseventytwo

  Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

  Nachojua mimi japo sio kitaalam, au kisayansi, maisha nje ya sayari hii ya dunia haiwezekani. Na sababu ni moja tu. Jua. Maisha kwenye sayari ya pili Venus toka umbali wa jua hayawezekani sababu kutakuwa na joto kali na hii inasababishwa na ukaribu wa hiyo sayari na jua. Ukienda kufanya maisha...
Top Bottom