Search results

 1. kiri12

  Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

  Wameita katibu muhtasi tu kwa tanesco, ndio wataka hayo?
 2. kiri12

  Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

  Hamna kitu kama hicho we muongo, tanesco walitangaza nafasi awamu mbili, hao walioita saivi ilikuwa awamu ya kwanza ya pili itafuata baada ya usahili huu kuisha, usipotoshe watu
 3. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  Mimi sio mtu wa kati.
 4. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  We kama sio dereva wa online huwezi kunielewa kwahyo usiwe unatoa hukumu tu na kukimbilia ni utapeli
 5. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  Udalali upo? Hii app inampa mteja wa kutaja kiwango cha nauli, kwahyo kama dereva yupo eneo Hilo na kiwango alichosema abiria anaona kidogo anauwezo wa kukwambia aongeze kiasi kadhaa yote yanaonekana kwenye app kabla dereva hajakubali kumfuata abiria wake na ikishindikana anacancel tu, dereva...
 6. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  Kwa sasaivi ni kwa madereva ambao wapo dar peke yake.
 7. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  Kuna kampuni mpya ya usafiri inaanza kutoa huduma zake siku za mbele kidogo kama mwezi mmoja baadae, inaitwa linkee, ipo kama Uber, bolt, taxify na zingine zote, asa kwakuanzia inaanza kusajili madereva wote ambao watapenda kujiunga na huduma ya linkee. Faida zake ni kama zifuatazo: Dereva...
 8. kiri12

  Natafuta gari kwa ajili ya kufanyia kazi ya UBER

  Karibu kwenye huduma mpya ya usafirishaji inaitwa linkee kujisajili ni Bure na Haina Makato yoyote kwa kipindi cha miezi SITA, kwahyo hela utakayopata yote ni yakwako hakuna kuilipa kampuni kwa kipindi cha miezi SITA yote, Halafu pia unaweza kujipangia nauli wewe dereva kutokana na uwezo wa...
 9. kiri12

  Tenda ya Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

  Mbona maelezo yako yanajichanganya au unataka nikuwekee maongezi yako uliyokuwa unajichanganya, nenda ukawaibie hukohuko lkn kwa waelewa huwezi kuwapata,
 10. kiri12

  Tenda ya Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

  Huyu mtu ni tapeli jamani, futeni tangazo lake anasema ajenga nyumba za halmashauri ya namtumbo
 11. kiri12

  Marketing research Tanzania

  Bado mnahitaji watu wa kufanya research?
 12. kiri12

  Msaada interview za Jeshi la Magereza

  Wametoa lini majina? Tuwekee hapa tuone
 13. kiri12

  Sua Apopo _morogoro

  Public relations officer
 14. kiri12

  Sua Apopo _morogoro

  Habari wadau, kuna kazi zilitangazwa kupitia Hilo jina hapo wanasema wapo chuo cha sua Moro huko, mwisho wa maombi ilikuwa tar 22 sept mwaka huu, naulizia kama kunaaliyeomba na ameitwa kwa usahili? Au kama kuna mtu amesikia wameita usahili atujuze maana Naona muda mrefu umepita.
 15. kiri12

  Job junction connect

  Duuh asante sana kwa taarifa
 16. kiri12

  Job junction connect

  Habari wanajukwaa, naulizia hivi wa job junction kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia wao? Maana walitoa tangazo wakasema tuma cv baadae wakatuma email wakaweka namba ya simu niwapigie, mara wananiambia leta cv tena hardcopy hivi mbona wababaishaji kuna ukweli hapo wa kupata ajira? Maana hata...
 17. kiri12

  Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

  Maana yake wamepokea barua yako, fuatilia tu page yao unaweza itwa kwenye usahili
 18. kiri12

  Msaada jamani katika kufuta TIN number

  Nenda serikali ya mtaa uliyopo waambie wataka kufunga tin watakupa barua utaipeleka ukiambatanisha na copy ya ile tin, hapo kama unadaiwa watakwambia ulipe ndio waifunge. Ila taratibu ndio hizo
Top Bottom