Search results

 1. KISHINDO

  Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

  Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
 2. KISHINDO

  CRDB UDOM MNABOA

  Yaani kuna Madirisha 6 lakini kuna teller mmoja tu naye anafanya kazi polepole kama kaajiriwa jana. Wafanyakazi wengine wapo tu wanalanda landa tu kila kona Cha kushangaza ni kwamba mtu akifika kuvaa kaunda suti anapeleka slip kwa customer care then customer care anaichukua na kuipeleka kwa...
 3. KISHINDO

  Makampuni yauzayo manual cars

  Naombeni msaada wa kujua kampuni za nje ya nchi zinazouza magari manual-yaliyotumika (used). Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote.
 4. KISHINDO

  Mwanamke asiye na kizazi anaweza kupata hedhi?

  Je, mwanamke/binti asiye na kizazi aweza enda katika siku zake-MP? Naomba kuelimishwa wandugu zangu
 5. KISHINDO

  Kwa Nini Bikra Aliwekewa Mwanamke tu?

  Habarini za pasaka ndugu zangu! Naamini mu wazima. Naomba kujua ni kwa nini Bikra aliwekewa mwanamke tu? Namaanisha kwamba mwanaume anaweza kulala na wanawake hata 100 lakini akasema ana bikra lakini mwanamke hata akilala na mwanaume mmoja tu atagundulika kwamba tayari ni more than used. Je...
 6. KISHINDO

  Malumbano ya Hoja ITV

  Nashindwa kufahamu kwa nini wahusika wa kipindi cha Malumbano ya hoja huwa ni walewale miaka nenda rudi?? Pia sioni uweredi wao, wengine wanapayukapayuka tu kama wamelewa.
 7. KISHINDO

  Volunteers wanted

  Maelezo yote yako katika attachment hiyo.
 8. KISHINDO

  Tetesi: Kesho Nov.1, 2016 Kariakoo safiiiiiii

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala dada Mjema kasema kesho mwisho kupanga bidhaa za machinga mitaa ya Kariakoo. Kiukweli ilikuwa ni shida hata kupita kwa watembea kwa miguu.
 9. KISHINDO

  Ndege mpya zitakapowasili nchini, NAOMBA ZIZINDULIWE KWA KUPANDWA BURE

  Kwa mwezi mmoja kutoka Dar to Mwanza kama tulivyozindua magari ya mwendo kasi. Kwa uzinduzi wa bure, tutakuwa na faida mbili. Ya kwanza, kuwagundua wanafiki ambao wanaziponda maana wao ndo watakuwa wa kwanza kutaka kupanda pasipo kulipia. Ya pili, kufanya majaribio ya awali ili kujua kama ziko...
 10. KISHINDO

  Siasa na magari ya washawasha

  Serikali yetu ilinunua magari mengi sana ya maji ya washawasha kwa ajili ya kumwagia watu watakaosababisha na au kutishia usalama wa wananchi wakati wa uchaguzi. Naweza sema magari hayo yalinunuliwa kinyume na vipaumbele vyetu hasa kwa kanchi masikini kama Tanzania maana yalinunuliwa mengi sana...
 11. KISHINDO

  Bank ya Finca Haipeleki Mafao ya Wafanyakazi wake

  Kama kichwa cha habari kinavyosema, kampuni ya finca inayojiita bank haipeleki mafao ya wafanyakazi wake. Uchunguzi uliofanyika unaonyesha kuwa mara ya mwisho mafao ya wafanyakazi wa finca yalipelekwa mwezi wa nane (8) mwaka jana 2015. Kuanzia mwezi huo wa nane hadi leo January 30, 2016...
 12. KISHINDO

  Msaada, mafao ya mfanyakazi baada ya kuacha kazi

  Naamini nyote ni wazima na wa afya njema. Naomba msaada kwa yreyote mwenye uelewa ya kwaba mtu anapoacha kazi anapaswaapewe release letter na mafao yae mengine baada ya muda gani toka tarehe ya mwisho ya resignation yake na ama kamaliza clearance yake. Ntafurahi iwapo ntapata msaada huo maana...
 13. KISHINDO

  Naomba kuuliza kuhusu MAGUFULI

  Msaada wenu ni muhimu kuhusu Mzee Rais wetu mpendwa MAGUFULI, ETI KARUHUSU BODABODA KUINGIA MJINI PASI NA WALE WALIOKUWA WANAOKAMATA PIKIPIKI NA KUOMBA RUSHWA YA 5, 000 - 20, 000???? Kama bado hajasema, naomba mmwambie alisemee maana kuna vijana waendesha pikipiki wamekuwa wakiumia sana kwa...
 14. KISHINDO

  Bsc & Msc. Bioethics

  Naomba msaada wa kujua mtu anayesoma hiyo course anaweza fanya kazi wapi au anakuwa nani.
 15. KISHINDO

  Wataalam, Vibua (Samaki) wana magamba?

  Kwa wale wataalam wa samaki wa baharini, naombeni msaada wa kujua kama samaki aina ya vibua wana magamba au kama hawana. Ahsanteni.
 16. KISHINDO

  Walemavu wafunga barabara makutano ya Uhuru na Kawawa wakipinga kuvunjiwa vibanda vya biashara

  Umati wa Walemavu wamefunga makutano ya barabara katika mataa ya Ilala na kusababisha magari kutokupita. Madai yao makuu ni kwa serikali kwamba haiwajali, Bora iwaue tu kuliko kuachwa wakiishi kwa tabu huku vibanda vyao vilivyopo sokoni Karume vikibomolewa. Naripoti toka eneo la tukio.
 17. KISHINDO

  News:"jeshi la polisi latangaza nafasi mpya za kujiunga na jeshi hilo kwa wanafunzi wa kidato cha 6

  Kila kukicha wanaajiri form four na form six, KWA NINI WASINYANG'WANYWE SILAHA NA MAGRADUATES???????????
 18. KISHINDO

  Hotuba ya Membe kwa Wasabato

  Hotuba ya Membe wakati wa kufunga Extravagaganza: Before I start my speech, let me also recognize the presence of Honorable Minister Stephen Wassira the Seventh Day Adventist disciple, who has traveled 500 kilometers to be here. Mheshimiwa Wassira karibu sana. Before I continue with my...
 19. KISHINDO

  Pikipiki ipi nzuri kati ya boxer 150 na yamaha

  Habari zenu wapendwa!!! Naomba msaada kati ya Boxer 150 na Yamaha ipi ni pikipiki nzuri ya kutembelea na si ya kufanyia biashara. Kuna ndugu kachangaywa na wenye nazo alipowauliza, kila mmoja alivutia kwake so nikaona ni vyema nije kwa wataalamu wa vifaa hivyo.
 20. KISHINDO

  Hatimae uhamiaji yametimia

  Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.
Top Bottom