Search results

 1. Iceberg9

  CRDB mikopo kwa Wafanyakazi sector zote riba 14%-16% kiwango maximum 100 milions 1-7yrs

  Habarini za muda huu wakuu, Ukirejea kwenye kichwa husika, kuna promotion ambayo ime trend sana hivi punde toka CRDB juu ya mikopo inatolewa kwa wafanyakazi wa sector zote binafsi na za umma,kwa riba ya asilimia 14-16 yenye muda kuanzia 1year to 7years hii ni kwa wafanyakazi walioajiriwa wenye...
 2. Iceberg9

  Simba fc oyeeee

  Ila acheni majungu basi...wana makandambili
 3. Iceberg9

  Mourinho's mission was

  He had this vision since 2004
 4. Iceberg9

  Vyuma vimekaza acheni vikaze mpaka vikatike

  Fanyeni kazi vijana hakuna miujiza tena hakuna madili tena..lazima mtambue hakuna mteremko aisiyefanya kazi na asile, "mnasema vyuma vimekaza acheni vikaze mpaka vikatike"
 5. Iceberg9

  Je, TUCTA imepoteza muelekeo?

  Habari wakuu, Rejea kichwa cha habari, Hebu toa maoni yako ,hii ni baada ya kusikia kituo cha sheria na haki za binadamu(legal human right center LHRC) kutoa tamko juu ya TUCTA kupoteza muelekeo katika kusimamia na kulinda maslai ya wafanyakazi je nini maoni yako. Sent using Jamii Forums...
 6. Iceberg9

  WWE SUMMER_SLAM 20/8/2018

  Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar the beast himself VS Romain Reign kwa mara nyingine tena wakikutana summer slam wakishindania...
 7. Iceberg9

  Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

  Habari za kwenu wanajamvi, Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? Na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na...
 8. Iceberg9

  Ukitaka upate tiba bora basi jifunze pitia hapa itakusaidia

  Habari za muda marafiki,kuna haja ni share hii elimu ni nzuri na itakusaidia kwa kiasi fulani jinsi kama mgonjwa unapaswa kujua namna ya kujielezea kwa daktari ili upate tiba bora kwa mtoa huduma. Ni muhimu tukafahamu kuwa, maelezo yako kwa daktari yanachangia mpaka asilimia 75 ya daktari...
 9. Iceberg9

  Mafundi umeme wa magari pita hapa

  Habarini wakuu, hapa nimekuja kwa fundi umeme kwajili ya matengenezo ya switch za mlangoni za vioo ila simuelewi nikaona niwashirikishe, naombeni msaada wa kimawazo , nimekutana na changamoto ya power window, sahivi hiyo power window haipandishi kioo cha upande wa dereva ila vingine vyote...
 10. Iceberg9

  Fumbua fumbo hili

 11. Iceberg9

  Wanandoa hii vipi??

  Mhmhhhhh
 12. Iceberg9

  BBC News: Hull set for City of Culture mass nude photograph

  Wazima humu ndani, natumai wote wazima, hebu angalieni hili swala wenzetu wamepatwa na nini, Mimi kwangu limenishangaza kuona tamaduni za aina hii, tamaduni nyingine ni za kushangaza, huko mexico banah kuna watu hujitokeza kwa kujitolea ni zaidi ya watu 2000 hutoka nje na kutembea katikati ya...
 13. Iceberg9

  Why should we have sex?

  Habarini za kwenu, Nimeona kuna haja ya kuonesha umuhimu wa kufanya mapenzi na pia hapo hapo utaona EFFCTS ON MASTURBATION, na pia ejaculation kwa kujichua ina athari and its NOT ADVISABLE . Good Healthy Reasons why SEX is vital; Marvin Gaye knew very well what was singing with his "Sexual...
 14. Iceberg9

  Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

  Helow guys, habari za kwenu wadau Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya kufanya INTERNATIONAL TRADE na naamini ipo siku ndoto yangu itatimia, Sasa rejea kwenye uzi ni hivi...
 15. Iceberg9

  BBC News: Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry?

  Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? - Did Justin Bieber steal the best bit of Sorry? Habari zenu wadau, Kuna taarifa zimetolewa kwenye chombo cha habari bbc kumuhusisha mwanamuziki Bieber na skendo ya kuiba bit, kwamba bit ya nyimbo SORRY amefanya copy, na mmiliki wa hiyo bit ameanza...
 16. Iceberg9

  Usipitwe, pitia hapa kujua madhara ya chai na kahawa kiafya

  Habari za kwenu wadau, Sio mbaya leo nikiwashirikisha madhara yanayotokana na unywaji wa chai na kahawa, Kuna nini kibaya kwenye CHAI na KAHAWA?: Kwenye chai na kahawa kuna kitu kinaitwaCAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?: 1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’...
 17. Iceberg9

  BBC News: Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive

  Tanzania purges 10,000 'ghost workers' in anti-corruption drive Tanzania has removed more than 10,000 "ghost workers" from its public sector payroll in a crackdown on corruption. Payments to the non-existent employees had been costing the government more than $2m (£1.4m) a month, according to...
 18. Iceberg9

  Suala la wapenzi kutofanya mapenzi mpaka wafunge ndoa limekuwa ni mtihani haswa

  Habari za kwenu wadau jf members Rejea kwenye tittle hapo juu, zama za kale naamini huu ndiyo hulikuwa utaratibu rasmi na wazee wetu wa zamani waliweza kuwa wavumilivu kwa kutofanya ngono mpaka pale swala la ndoa linapo fanyika na kwa misimamo mikali, siku hizi hakuna swala linaleta utata kama...
 19. Iceberg9

  BBC News: Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m

  Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - Adele named as UK's richest female musician ever as fortune hits £85m - BBC News
 20. Iceberg9

  Mikopo eeehhh noumer,tafadhali chukua hatua(muombaji kawachia bank vumbi..)

  Kwa Hali ya kushangaza bank hizi mbili zajikuta wanapigania kupiga mnada nyumba iliyokuwa as collateral security kwa mteja wao aliyekuwa amechukua mkopo huku mteja huyo akiziacha bank hizo kwenye mataa na vumbii nyuma
Top Bottom