Search results

 1. I

  Natafuta kazi ngumu

  Habarini wapendwa poleni na majukumu. MIMI NI KIJANA JINSIA YA KIUME MIAKA 27. Natafuka kazi ngumu kama kupakia vifusi kwenye magari kama mchanga mawe n.k Ujuzi nilionao : *kutengeneza masai sandals (viatu vya kimasai) *Pia ni operator wa excavator, wheel loader na buldozer TUSAIDIANE HATA...
 2. I

  Kama una mtaji njoo uwekeze huku

  Habarini wapendwa poleni na majukumu. Nimeiona hili Jambo ni changie pamoja nanyi katika harakati za kutafuta nilifika mkoani Mwanza sehemu moja wanapaita Fela ni moja ya sehemu iliyo bahatika kuwa na vituo vya treni ya mwendo kasi. Hili eneo linahitaji huduma zifuatazo 1. NYUMBA ZA KULALA...
 3. I

  Operator wa excavator, wheel loader na bulldozer anatafuta kazi

  Poleni na majukumu. Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem nyingine Kama operator wheel loader. Licha ya kuwa operator bado nina uwezo wa kufanya matengenezo...
 4. I

  Msaada kwa mtu aliye Kigoma mda huu

  Habari wapendwa? Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu alie Kigoma kama atakuwa anafaham kinacho endelea kwenye mradi wa maji Kigoma ambao unasimamiwa na kampuni ya SINO HYDRO kama anaweza kuni saidia kumpata mtu yoyote ambae yupo kwenye mradi ili nipate tarifa za ajira maana ndio wameanza.
 5. I

  Jamani hii nisawa kulipia fomu ya kuombea kazi? Ona hili tangazo

  Hili tangazo nimelikuta mahali ila kwenye utata ni swala la kuchangia hela kiasi cha 2500 kwa ajili ya fomu ya maombi ya kazi
 6. I

  Tafadhali kama wewe ni HR wa kwenye mradi wowote pitia hapa

  Habarini wapendwa poleni na majukumu. Tafadhali kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira baadhi ya changamoto ni ukosefu wa marefa au conection au mdhamini eneo la mradi. Tafadhali kama wewe ni HR kwenye miradi mipya mfano BWAWA LA UMEME RUFIJI, BOMBA LA MAFUTA KUTOKA TANGA, BARABARA...
 7. I

  Vitu vya ndani vinauzwa

  pata meza ya kulia chakula ya kioo kwa sh 90000 pia kuna friji dogo mlango mmoja kwa 180000 pia kuna sofa la ngozi bado lipo kwenye hali nzur kabisa kwa 180000. vitu vinapatikana dar gongo la mboto mawasiliano no 0688501810
 8. I

  Nahitaji mwanamke atakayekuja kuwa mke

  Mimi ni kijana wa kiume, 27yrs mkazi wa DSM. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja. Mimi ni mkristo tena msabato, Kabila langu ni muha kutoka Kigoma Nimejiajiri Ninauwezo wa kumudu majukumu ya kifamilia...
 9. I

  Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

  Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
 10. I

  Tafadhari njoo tumpe ushauri huyu kijana kwa haya matokeo

  Jinsia ya kike Amemliza 2019 matokeo yapo kama hivi civics C Bios C Chemi D English C Geo C Hist D Kiswah C Math F Phy D Amechaguliwa INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING - DODOMABTCRDP - RURAL DEVELOPMENT PLANNINGOther CollegeDODOMA CC - DODOMA Anaomba ushauri juu ya hii kozi ingawa yeye...
 11. I

  Nyumba ya kupanga inahitajika. Banana hadi Gongo la Mboto

  Habarini wapendwa inahitajika nyumba ya kupanga kuanzia Banana hadi Gongo la mboto. Nyumba iwe na chumba cha kulala 1 Iwe na sebule Iwe na jiko Iwe na choo cha kujitegemea Bajeti ya kodi isizidi 150000
 12. I

  Mtaalam na mbobezi wa maswala ya graphic anapatikana pita unipe mchango wako.

  Naitwa Doen Graphic nimtalam na mbobezi katika maswala yafwatayo.. ... NINAUWEZO WA KUEDIT PICHA KWA KUTUMIA PROGRAM YOYOTE YA KUEDIT PICHA. ...NINAUWEZO WA KUEDIT VIDEO ZA AINA YOYOTE NA KWAKUTUMIA PROGRAM YOYOTE . ...NINAUWEZO WA KUTUMIA PROGRAM KAMA ADOBE C6 , ADOBE C6 2019 KIKAMILIFU...
 13. I

  Bei sawa bure kwa Tsh 600000 njoo kesho uchukue shamba kilosa

  Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya Kilosa kata ya ZOMBO Kitongoji cha ZOMBO ukiwa unaenda unashukia mlima wa togwa barabara ya kilosa...
 14. I

  Njoo upate shamba ulipe kwa awamu mbili, linauzwa laki 9 lipo Kilosa

  Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya Kilosa kata ya zombo Kitongoji cha Kipera Changarawe ukiwa unaenda unashukia mlima wa togwa barabara...
 15. I

  Nauza shamba la heka 3 kwa Tshs. 900,000 tu

  Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya Kilosa - Mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya Kilosa Kijiji cha Changarawe Kitongoji cha Kipera Changarawe Jina la mwenyekiti wa serikali ya mtaa...
 16. I

  Msaada wa mkopo wa 150000

  Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu. iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto kuna viatu ambavyo vimekwama kukamilika baada ya mteja wangu ambae nilitegemeaanilipe pesa ambayo...
 17. I

  Shamba la heka tatu linauzwa Kilosa kwa Shilingi Milioni 1.2

  Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya kilosa mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya Kilosa Kijiji cha Changarawe Kitongoji cha Kipera Changarawe Jina la mwenyekiti wa serikali ya mtaa...
 18. I

  Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

  Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
 19. I

  Nisaidie kupata kazi Le Grand Cassino nitakulipa 200000

  Habari za kutwa wakuu? Natumaini mmeshinda salama ninaombi nahitaji kazi Le Grend Cassino kitengo chochote kile nipo tayari ukifanikisha kunipatia kazi hapo nitakulipa 200000 cash. asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
 20. I

  Msaada namna kumchukua mtoto kisheria naona mama yake ameshindwa kumlea

  Habari wanajamvi? Nahitaji mwongozo kisheria namna ya kumchukua mtoto kwa mama yake naona ameshindwa kumlea. Mtoto bado mdogo mama yake alidai anaweza kumlea ila nilichokiona ni tofauti sana. Mtoto bado mdogo sana ana mwaka na miezi 8 ila nilishangaa kuona mama wa mtoto anafanya kazi na mtoto...
Top Bottom