Search results

 1. D

  Alama ya Nyundo na Jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima?

  Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa. Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
 2. D

  CUF Habari: Habari zilizobamba wiki hii

  CUFHABARI NA HABARI ZILIZOBAMBA WIKI HII Ndugu msomaji wetu karibu tena kwenye Ukurasa wetu huu wa CufHabari ambapo Leo tunakumbushana habari muhimu zilizochukua umuhimu Mkubwa kwenye wiki inayoishia jumamosi Januari 30, 2021. A. HABARI ZA KITAIFA (i ) Siku ya Mashujaa wa CUF- Chama Cha...
 3. D

  Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
 4. D

  Dunia inawakumbuka waliofanya

  Watu wengi walipokuwa wanakutana na Albert Einstein jambo la kwanza walikuwa wanamuambia... “Einstein, Mungu amekujalia akili nyingi sana, wewe ni Genius”. Siku moja alipoambiwa hivyo akasema... “Ngoja niwaambie siri ya akili zangu nyingi na mafanikio yangu imetoka wapi. “It’s not that I’m...
 5. D

  Njia rahisi ya kuandaa bajeti yako

  50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako. Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren. Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti yako igawe katika Makundi 3 Makuu. 1) Kundi La Kwanza Ni 50% Kundi la kwanza ni la kuweka kwenye...
 6. D

  Umuhimu wa kutumia juisi ya kitunguu na parachichi

  UMUHIMU WA KUTUMIA JUISI YA KITUNGUU MAJI NA PARACHICHI Tumia juisi ya mchanganyiko wa kitunguu maji (chekundu) na parachichi kuondoa ziada ya tryglicerides kwenye mzunguko wa damu. Tryglicerides ni aina ya mafuta yanayotengenezwa mwilini kutokana na ubugiaji wa kiasi kikubwa cha vyakula vya...
 7. D

  Profesa: Waalimu wenzangu, hivi mnawafundisha nini hawa vijana?!"

  TUJIKUMBUSHE.. "WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!" MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
 8. D

  Wilfred Lwakatare ashauri tubadili mfumo wa kupata Wawakilishi

  Wilfred Lwakatale ashauri tubadili mfumo wa kupata wawakilishi, kuna mifumo mingi ya kutumia tujifunze kutoka nchi zingine amesema kuna mfumo ambao vyama vinapata wawakilishi kutokana na idadi ya kura zilizo pata chama hivyo chama kinapeleka orodha ya majina. Asema hayo katika uzinduzi wa...
 9. D

  Kongamano la Ukombozi la kudai Katiba mpya Tanzania

  Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
 10. D

  CCM iwaachie wana-CUF inaowashikilia Liwale na kuwabambika kesi ngumu

  CCM IWAACHIE WANA-CUF INAOWASHIKILIA LIWALE NA KUWABAMBIKA KESI NGUMU CCM inajua kwamba haikushinda Uchaguzi Jimbo la Liwale na kwenye kata nyingi za Jimbo hilo. CCM ilitumia Vyombo vya dola kuvuruga Uchaguzi ule kama ilivyofanya maeneo mengine nchini. Pamoja na kupora Ushindi na kusababisha...
 11. D

  Chama Wananchi CUF katika salamu za mwaka mpya wametoa pole kwa familia za wafiwa ajali ya morogoro

  Chama Wananchi CUF katika salamu za mwaka mpya wametoa pole kwa familia za wafiwa na majeruhi katika ajali iliyotokea Morogoro mjini10 Aug 2019 iliyosababisha wananchi zaidi ya 100 kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya ajali ya la Petroleum kupinduka na moto kuripuka.chanzo #tanzania24 fb
 12. D

  Wazo la Kambaya: Najiuliza mimi mtu pori mshamba kutoka Moro

  Najiuliza mie Mtupori Mtu kutoka shamba Moro kama alivyokasema Ni kitu gani dunia? Dunia ni eneo fulani hivi ambalo lipo na limewekwa na muumba mwenyewe kwa utaratibu aliotaka mwenyewe. Wengine husema kuwa dunia ni moja ya Sayari inayotumiwa na viumbe hai na viumbe mfu. Mimi mtupori...
 13. D

  Je ni viumbe kutoka sayari ya mbali ndiyo waliyo jenga Pyramid? Part 2

  Ndani ya Pyramid kuna vyumba (vyemba) vilivyo jengwa juu, chini ya pyramid, kuna milango kama huo hapo kwenye picha ambao haujulikani unafunguliwaje na ndani ya chumba hicho kuna nini? Maduara meusi unayo ona ni matobo ambayo kamera imepenyezwa kuona kuna nini ndani. Walichoona ni mlango mwingne...
 14. D

  Wachimbaji kumi na watatu wameokolewa baada ya kukwama chini ya vifusi kwa zaidi ya masaa 80 nchini China

  Wachimbaji kumi na watatu wameokolewa baada ya kukwama chini ya vifusi kwa zaidi ya masaa 80 katika mgodi mmoja katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China, viongozi wa eneo hilo walisema hivi leo (Jumatano). Uokoaji huo ulianza saa 3:26 mchana siku ya Jumamosi katika mgodi wa Shanmushu...
 15. D

  Chama cha Upinzani kinapaswa kubeba agenda za wananchi wote

  "Chama cha upinzani kinapaswa kubeba agenda za wananchi wote, kwa sababu chenyewe kipo nje kinaona mapungufu na maumivu kwa hiyo kinapokuja na sera yoyote kinabeba agenda ya wananchi wote bila kujali mipaka na itikadi ya vyama, hivyo kinawasemea mpaka wanaCCM” - Askofu Mwamakula
 16. D

  Je ni viumbe kutoka sayari ya mbali ndiyo waliyo jenga Pyramid. PART 1

  Egypt kuna maandishi mengi kuhusu piramidi kubwa la Gaza tutafute kama tutapata chochote kitu kuhusu kazi hizi za maajabu halafu tutarudi Peru kwenye haya mapiramidi matatu kabla hatujatoka nje ya dunia na kuitembelea sayari ya Mars ambako nako eti kuna Piramidi. Je ni viumbe kutoka sayari ya...
 17. D

  Natafuta kiwanda kinachosindika matunda Dar

  Habari zenu, mdau wetu Amida Suleiman anaomba msada wa kupata kiwanda kinachosindika matunada. Ila kiwepo Dar es Salaam.
 18. D

  Mbowe atua mkutano wa Bavicha usiku akitokea Mwanza

  Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu Desemba 9, 2019 saa 2:15 usiku amewasili katika mkutano mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho (Bavicha) unaofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Mwanza. Mapema asubuhi leo, Mbowe...
 19. D

  Mo Dewji: Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu

  Katika Mkutano wa klabu ya simba leo mwekezaji wa klabu hiyo ameeza kuwa haridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. amefafanua kuwa amekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia. Aiha, Mo Dewji amesema "Niwaambie...
 20. D

  Kigoma: Wananchi wa kata ya Mwandiga walalamika kukosa maji

  Ikumbukwe wiki moja iliyopita dunia yako tulikuletea makala ilizungumzia kigoma kaskazini kutopata mbunge mwenye kutatua Kero zao. ITV imetoa tarifa kata ya mwandiga aliyo ongozwa miaka kumi na zitto kabwe mpaka Leo wanasumbuliwa na kero ya maji. Napata tabu Sana kuona jimbo lililongozwa na...
Top Bottom