Search results

 1. I

  Pepo baya la kisiasa laanza kuinyemelea Chadema, mambo si shwari

  Pepo baya la kisiasa laanza kuinyemelea Chadema,mambo si shwari Na Ramadhan Semtawa UPEPO wa kisiasa katika kambi ya upinzani unavuma vibaya, kufuatia hali ya mambo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa tete. Hali tete ya kisiasa ndani ya Chadema imekuja wakati...
 2. I

  Mgao wa Umeme

  Kutokana na taarifa aliyoitoa katika vyombo vya habari mukulungenzi wa Tenesco kwamba Tenesco inajitoa katika ununuzi wa mitambo ya kuzalisha umeme ya Downs lakini kwa maelezo kuwa kutakuwa na matatizo ya umeme naomba niwaulize wana JF Je tatizo hilo lipo kweli ? au hao Tenesco wanataka...
 3. I

  Duka La Vifaa Vya Mapenzi

  Nilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi ikiwemo mipira ya kiume poda maalumu ambayo akina mama wanapaka na huwaongezea raha...
 4. I

  Taifa Stars Kazeni Boot

  Taifa stars kitendo cha kutoka suluhu na jana kimetusikitisha na kututia mashaka iwapo mtaweza kushinda ugenini. Kwa kuwa mimi siyo mtaalamu wa mambo ya mpira na kushia kuwa mpenzi tu napata mashaka hebu wachambuzi na wataalamu wa soka tuchambulieni. Tatizo la timu yetu ya Taifa ni makocha...
 5. I

  Namtafuta Rafiki Yangu

  Namtafuta rafiki yangu aitwaye TANU OKONGO rafiki yangu huyo tulisoma wote katika shule ya msingi Mihayo pale Tabora mwaka 1975. toka mwaka huo tulipomaliza shule ya msingi sijamuona tena. tafadhali Tanu kama utapata ujumbe huu basi tuwasiliane kwa e mail kitalawe@aol.com nduguyo IPOLE
 6. I

  Fedha Nyingi Kutumika Kuhifadhi Ziwa Victoria

  Habari kutoka gazeti la Standard la Kenya tarehe 26 zinasema nchi 5 wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki zimepata dola za kimarekani milioni 230 ili kutumika kwa ajili ya kuhifadhi Ziwa Victoria ambalo ni ziwa kubwa kabisa la maji baridi barani Afrika. Katibu mtendaji wa kamati ya bonde...
 7. I

  Mkutano Wa Nchi 12 Wapendekeza Umoja Wa Afrika

  Mkutano mdogo wa siku mbili wa wakuu wa Umoja wa Afrika ulifungwa tarehe 23 Mei huko Arusha, mji ulioko kaskazini mwa Tanzania. Mkutano huo ulipendekeza kutimiza lengo la kuunda Nchi ya shirikisho ya Afrika hatua kwa hatua. Baada ya mkutano huo, mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Afrika ambaye...
 8. I

  Tofauti Zakwamisha Umoja Wa Afrika ~ Kikwete

  Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Kikwete amesema nchi za Afrika zina utashi wa kuwa na serikali moja lakini zinatofautiana katika masuala machache ambayo yanaweza kutatuliwa. Akifungua mkutano wa siku mbili wa marais na viongozi wa nchi 12 za Afrika zinazounda Kamati ya...
 9. I

  Balali Atazikwa Au Atachomwa?

  :: Karibu [ Mgeni ] Maskani Tanzania Michezo Makala Siasa Uchumi Kimataifa Sayansi Maisha na Jamii Safu Maalum Uchambuzi wa Habari Mijadala :: Ingia Jisajili Baruapepe Funguo ::Habari za Tanzania Ijumaa Mei...
 10. I

  Gavana Ana Uwezo Kushusha Thamani Ya Shilingi

  Naomba nielimishwe kidogo kuna mbunge mmoja wa serikali ya BMW kutoka jimbo la Shinyanga mjini.[kwa sasa siyo mbunge] Alikuwa akihojiwa na mtangazaji wa STAR TV katika maelezo yake alieleza wazi kuwa gavana anao uwezo wa kushusha thamani ya shilingi ,Na kwamba sababu ambazo zimepelekea...
 11. I

  Bmw Jitokeze Kujibu Tuhuma Zako

  Kutokana na tuhuma nyingi amabazo zimekuwa zikielekezwa kwako nawewe kukaa kimya bila ya kujibu lolote inatutia mashaka wananchi wenzako. Madai ambayo yanatolewa juu yako ni mengi muno tumeambiwa kuwa umeitumia ikulu kufanya biashara lakini kama hiyo haitoshi, Tukambiwa kuwa una hisa kiwanda...
 12. I

  Hongera Jk Kwa Kukemea Makandarasi Wabovu

  Kutokana na baadhi ya wakandarasi kuingia katika ujenzi wa barabara kushindwa kutimiza mikataba yao, Katika kipindi au muda uliopangwa. Nadhani ni vema watendaji nao mhe jk ukawaangalia upya kwa kuwa mikataba mingi mibovu inasababishwa na watendaji wakuu kwa kuwaacha makandarasi wenye uwezo...
Top Bottom