Search results

 1. H

  Hivi ni nyie hawa hawa wanandoa au ni wengine?

  Salaam. Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea kuingia katika ndoa, promises kibao na mambo kedekede, inshort huonesha kwamba kwamba wako smart couple...
 2. H

  Wanandoa waishio mikoa tofauti

  Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k. Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
 3. H

  Natafuta mtu mwenye account ya Uber/ Bolt na haitumii kwa sasa

  Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika kazi na utapata percentage yako kwa wiki kutokana na makubaliano,tafadhali tuwasiliane kupitia namba...
 4. H

  Anayehitaji dereva binafsi

  Salaam wakuu, Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa kapata kijana msomi na smart wa kumuendesha😊. Contacts 0653737209 Gender: Male Age: 24
 5. H

  Mfumuko wa bei

  Salama wakuu. Kwa wale tuliobahatika kusoma uchumi kwa kiasi chake,hebu tuzungumze kuhusu hili suala la mfumuko wa bei "inflation" .Nimekuwa nikiona mara kadhaa serikali ikitoa takwimu na namna ambavyo inapambana kudhibiti mfumuko wa bei nchini,lakini hii imekuwa ikinipa maswali flani flani...
 6. H

  Natafuta gari ya kuendesha kama uber driver

  Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala pake.kwa yeyote anayehitaji dereva wa kazi hiyo anitafute kwa namba 0759429980. Shukran.
Top Bottom