Search results

 1. T

  Msaada kuhusa document ambazo zimescaniwa

  Wakuu habar za majukum Kwa wale ambao wanauzoefu wa kutuma document ambazo zimescaniwa. Naomba kufahamishwa kama mihuri na saini(signature) katika document ambayo naituma kwa njia ya ku scan,mtu ambaye namtumia ataiona ikiwa na rangi halisi baada ya kuiprint au inakuaje.
 2. T

  Msaada wa tiba ya tonsils

  Wakuu polen kwa majukum, Nimekuw nasumbuliwa na tonsils mara kwa mara maumiv shingon nashindw kula vizur,siwez kuongea coz napat maumiv, nmeenda pharmacy nimepew daw lakin sion kam zinaniletea nafuu Kwa wanaoelew tatizo hil tafadhal naomba mnisaidie dawa inayoweza kutib hili tatizo,dawa yoyote...
 3. T

  Kuongeza mtandao kwenye simu

  Habar wakuu, Jamen simu yangu ya button inanisumbua san mda mwingi inaandika emergency iv kuna uwezekan wa kuiongezea mtandao kama nikiipeleka kwa fundi au kama kuna mdau ana ujuzi wa haya mambo tafadhal naomba anisaidie maelekezo.
 4. T

  Msaada wa mawazo katika kufanya maamuzi

  Habari za muda huu wakuu,polen na uchovu wa majukumu Wakuu kuna jambo linanitatiza kulifanyia maamuzi hivyo ninaomba msaada wa mawazo Kuna kiasi cha pesa ninacho lakini mgawanyo wake matumizi ndiyo changamoto, kama ungekuwa wewe ungeacha lipi na kutekeleza lipi kati ya haya Kulipia plot na...
 5. T

  Msaada kuhusu utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

  Wakuu habari za majukumu. Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa...
 6. T

  Naomba kueleweshwa taratibu za kujiunga na huduma ya NMB Salary advance

  Wakuu habari Msaada tutani tafadhal naomba kueleweshwa taratibu za kujiunga na huduma ya NMB Salary advance kwa wale ambao wanaitumia walipitia hatua zipi kujiunga? Nimejarib kuomb salary advance lakini huwa inafeli nilienda NMB branch ili niunganishwe pia nao ni chenga tu hawajanisaidia...
 7. T

  Msaada kuhusu magonjwa ya mbuzi

  Habar wanajamvi, Msaada tafadhar mbuzi wangu ameugua ghafla asubuhi ameanza kulia kisha ametoa povu mdomoni tukaona tumchinje Baada ya kumchinja tumeona mapafu yana povu. Msaada hizo ni dalili za ugonjwa gani kwa mbuzi
 8. T

  Nashindwa kutoa simcard kwenye simu (phone)

  Wanajamvi naomba mnisaidie kitu ambacho naweza nkatumia kutoa simcard kwenye simu yangu kwa sabab ile pin ya kutolea nmeipoteza kwaiy naomba kufaham kam kuna alternative ya hiyo pin au kama huwa zinauzwa dukani.
 9. T

  Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

  Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
 10. T

  Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

  Kama title inavyojieleza wakuu, Nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda Japo csijui ni kwa kiacsi gani kwasababu kila mtu na moyo wake. Sasa huwa inafka muda mwanaum huwa nahitaj ku-cheat ili kukidhi mahitaji but kila nkifanya hivyo manzi wangu ananiambia kuwa ameota ndoto kuwa nina...
 11. T

  Ni maeneo gani mazuri kujenga Iringa kwa mtu mwenye kipato cha kati?

  Habar wakuu, Tafadhar naomba kufahamishwa kuwa ni maeneo gan mazur kwa Ujenz kwa mtu mwenye kipato cha kati na aina ya tofar zinazotumika katika ujenz na wakaz wa mji huo. Maeneo mazur kwa kigezo cha huduma za jamii,Umem,maj na barabar na muingilian wa watu.
 12. T

  Msaada: Je, kuna uhusiano kati ya kitovu kukubwa kwa watoto na maumivu ya tumbo ya mara kwa mara(chango/mchango)?

  Habari JF doctors, Tafadhali naomba kuuliza kuwa kuna uhusiano kati ya kitovu kikubwa kwa mtoto na kupatwa maumiv ya tumbo ya mara kwa mara hasa kipind cha baridi?
Top Bottom