Search results

 1. R

  Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

  Tunajitekenya na kucheka kama kawaida
 2. R

  Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

  Corruption is a problem. Competent people with corrupt minds aren't helpful
 3. R

  Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha bandarini

  TIPER. Unajua TIPER serikali ina hisa 50%? Achana na PUMA ambayo pia serikali ina 50%. Nchi imejaa watu wanapiga deal kila upande. Ndio maana hata Bandari ya Bagamoyo inapata resistance
 4. R

  Hayati Magufuli alijaza makada wa CCM kwenye teuzi za serikali, hawa ndio wapiga dili wenyewe mama asiwachekee!

  Nawachukia wezi wa mali ya umma. Wananikera wanavyojidai eti ni wazalendo kumbe kila wanalofanya wanapambania nafsi zao tena kwa hila na kuwatumia watu maskini wa nchi hii
 5. R

  Rais Samia, amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL)

  Hizi 10% zitawaua hawa watu. Wanahaha kuleta miradi ili wapate 10%. Mama amewashitukia.
 6. R

  January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

  Majungu gani hayo? Uzuri watanzania wameshajua mchele na pumba zinafananaje. Mambo sio marahisi kama mlivyotaka. Rudini mezani muwatumikie watanzania. Mambo ya 10% yatawagharimu
 7. R

  January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

  Hakuna fairness mzee sisi tunataka umeme sio porojo. Na kazi zenye weledi na kujari maslahi mapana ya nchi
 8. R

  Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha bandarini

  Matank ya TIPER hayana mafuta halafu bandari inajenga matank mengine mapya. Wizi mtupu
 9. R

  Rais Samia: Nitasimama na wananchi

  Yes kwa hili la wizi wa mali ya umma na kudhulumu wananchi kwa kutumia ofisi hizo, nakuunga mkono asilimia 100 Mama. Waweke ndani. Usiwaonee haya. Hata wawe kina nani. Hatutafika kama wezi wanaachiwa kupeta.
 10. R

  Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa fedha za umma kwenye ripoti ya CAG washughulikiwe

  Mbona mnaongea matatizo ya Tanzania kama yalianza 2015? Unafiki mkubwa sana. Awamu gani ambayo haina mafisadi na wezi? Wale kina Idd Simba walikuwa awamu gani?
 11. R

  January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

  Tuwe wakweli hapa. Tatizo la kukatika kwa umeme lilianza alipoingia yeye uongozini. Kuhalalisha tatizo akasema tatizo ni la mwendazake. Sasa imekuwaje achukue sifa za kuutengemeza tena? Bwala la JHPP likamilke hata kama hataki. Halafu ndio zianze hizi hadithi nyingine
 12. R

  Waziri Mwambe: Kinachojengwa ni Bagamoyo Economic Zone Bandari ni sehemu ndogo tu ya huo mradi. Bandari itatumia hekta 800 tu kati ya 9800!

  Sio lazima kujenga. Kwani bandari ziko ngapi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 13. R

  Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

  Ni mtu mjinga pekee ndio anafikiria hivyo. Unachokiona juu ya maji ni kitu kidog kuliko kilichojificha chini yake. Usalama ilikuwa issue muhimu sana wakati ule. Na bado ni issue muhimu mno. Ardhi ya Zanzibar ni kidogo na watu wanazaliana mno. Usipofanya hivyo, kunaweza kukawa hakukaliki. Ila...
 14. R

  Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi baba wa Taifa

  Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani shujaa wetu. He is like all of us...we all have shortcomings
 15. R

  Rais Samia amaliza bifu la muongo mmoja Kati ya Tanzania na South Africa kirahisi tu

  Tufanye kazi ni kweli kabisa. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya. Kila kitu kinajengwa
 16. R

  Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  Nape won't make it further...mapishi mengi huharibu mchuzi. Wajuvi wanamuangalia tu. Anaogopesha kama akipata power
 17. R

  Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  Nape naye bwana...ameshakomaa mishipa ya shingo siku anaropoka tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 18. R

  Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

  Sio yule anayekagua ukame angani? Au ameamua kuwa mfadhili wa timu pinzani?
 19. R

  Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

  Hawa mawaziri wengine ni kama vile wanaendesha serikali tofauti. Drama zimekuwa kibao
Top Bottom