Search results

 1. M

  Kama kweli upo serious kupata Mpenzi wa kweli Mtandaoni, basi Wadada punguzeni ku-fake

  Hili naliandika kutokana na experience ya changamoto wanazokutana nazo members hususani akina dada! Hivi ni wangapi huku mitaani tumewahi kuwasikia raia wakihoji “hivi yule kampendea nini!” Hapa ni pale unakuta mwanaume katimia kila idara, lakini mwanamke wake hata ukimwogesha kwa JIKI...
 2. M

  Msaada: Wanaofahamu Kiswahili cha Congo

  Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara kumi kumi, lakini nimeshindwa kabisa kuelewa jamaa anaongea nini! Sasa kama kuna anayeelewa, please...
 3. M

  APTITUDE TEST: Swali Lililonitoa Jasho na Kutumia Takribani Dakika 15!!!! Wewe Ungetumia Ngapi?!

  Nilipokea Email Ijumaa iliyopita ikisema wameshindwa kuendelea na application yangu kwa sababu sikufanya Aptitude Test, na kwahiyo nikatakiwa kuangalia emails zangu za nyuma ili kama bado nipo interested, nifanye hiyo test na ku-submit! Kwa kiasi fulani nikashangaa kwa sababu sikukumbuka...
 4. M

  Ujumbe kwenu Zantel:- Ahsante kwa kushiriki lakini nawaaga rasmi, narudi TTCL. Nilishawonya!!

  Wakati naanza kutumia mtandao wenu kiasi cha wiki 6 hadi 8 zilizopita, nilianza kuwaelewa! Kwa ulofa na ufa'la wa hali ya juu nikaja hapa kuwananga TTCL ambao ndio nilikuwa nawatumia kwenye intaneti! Lakini hata wakati nawananga TTCL, niliwaambia wazi kwamba, nafahamu hivi sasa mpo chini ya...
 5. M

  Mafriji ya Boss!!!

  Wadau salam! Katika pita pita yangu Jumia, nimeona mafriji ya bei nafuu ambayo sio ya kifamilia nimekuta mengi yake ni brand ya Boss! Hata muonekane wake, hususani yale ya double doors naona ni wa kuvutia! Swali langu ni kwa watumiaji au wenye uelewa wa haya mafriji! Je, ni mazuri interms of...
 6. M

  Je, Youtube, Facebook na Instagram ndo Basi Tena kwa Watumiaji wa Huawei?

  Ukiwasikiliza watu kutokana na Google kuwafutia Leseni Huawei, wengi wao watakuambia; Simu bila Youtube; hapana aisee!!! Kwanza nina kila sababu ya kuamini talaka hii ya Google kwa Huawei ni Talaka Moja a.k.a Talaka Rejea na wala sio Talaka Tatu, a.k.a Talaka Kwenda Mwana Kwenda! Lakini hata...
 7. M

  Utafiti: Uhusiano unaoanzia mtandaoni huenda ukawa ndio bora zaidi kulinganisha na ule wa kawaida!!!

  Hapa nitangulie kusema kwamba, binafsi nimeuelewa sana utafiti uliofanywa na Maprofesa wa Idara ya Sosholojia ya Chuo Kikuu cha Chicago! Kwa ufupi utafiti huo unasema kwamba uhusiano unaoanzia mtandaoni huenda ukawa ndio bora zaidi kulinganisha na ule wa kawaida!!! Hoja yao ni kwamba, Online...
 8. M

  Enterogermina In Tanzania.

  Wadau Salam!! Hususani kwa watu wenye pharmacies na wengine wote wenye ufahamu! Ningependa kufahamu machache kuhusu dawa inayoitwa Enterogermina. Ambacho ningependa kufahamu ni pamoja na:- 1. Je, hii dawa inaruhusiwa kwenye soko la Tanzania? 2. Kama jibu ni NDIYO, soko lake lipo vipi kwa...
 9. M

  TTCL Modem:- NIkaamua Kurudi Nyumbani Baada ya Kushawishiwa Kwamba Kumenoga Lakini Nimepotea Njiaani Wamepanga Miiba:- Nielekezeni Njia Ya Kufika Home

  Wadau na wasio wadau, nimenunua hii modem hapa chini:- Ajabu ni kwamba, sipati option na yenyewe wala haifanyi jitihada zozote za ku-install software!! Baada ya kupita hapa na pale, nikakuta kitu kinachosema ni-type http://192.168.0.1 kwenye browser! Nika-type lakini hapo napo naambiwa...
 10. M

  Baba na Wana: Queen Darleen Akimzungumzia Baba Yao na Diamond!!!

  Unaweza kuangalia video yote lakini kama shauku yako ni kufahamu Queen Darleen kaongea nini kuhusu baba yao, basi unaweza kwenda moja kwa moja Dakika 17:10 !! Mistari ninayoikumbuka, kama ni kweli ni ile ambayo Mzee Abdul anamwambia mwanae Queen Darleen "Hoya, ushanaanza unataka kuharibu hapa--...
 11. M

  Kwa wanaotafuta wenza wa ndoto zao: Unachotakiwa kuzingatia kwenye mapenzi ya mtandaoni na kuwa salama

  Sie Old Timers tunakumbuka enzi za Yahoo na MSN Messengers! Hii ni miaka kadhaa iliyopita kabla ya uwepo wa social media kama Facebook. Moja ya majukwaa maarufu enzi hizo, huku yakiitwa Windows, yalikuwa ni majukwaa ya Blind Date! Yaani, majukwaa ya kupigiana misele huku wahusika wakiwa...
 12. M

  Nafasi ya Kazi: Kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili

  Guys, kuna kazi ipo kwenye Excel Sheet, at least 300 Rows. Moja ya columns ina English Description ambayo inatakiwa kuwa translated to Swahili. Sio word to word translation bali unatakiwa kuielewa content husika na kuaindika kwa lugha nyepesi inayoeleweka na wengi. By lugha inayoeleweka na...
 13. M

  Serious Note: Hivi wanawake wanatushindwa wapi ?nazungumzia usafi wa mazingira.

  Nimekuwa inspired baada ya kufika kwenye nyumba (soma: kabanda) moja hivi; ya hovyo hovyo tu! Kilichonifurahisha sasa! Yaani pazia la pale mlangoni nilitamani nijiviringishie; yaani saaaaaaaaaafi, utadhani katoka kulinunua Kariakoo! Niliyemwendea pale, ni mdada wa makamo na pale anaishi kwao...
 14. M

  Tujadiliane: Je, unadhani mapenzi ya kukutana mtandaoni ni salama kiasi gani?

  Wapo wachache ambao wametoa ushuhuda wa kukutana na watu wa ndoto zao ingawaje sifahamu maendeleo yao yanaendaje kwa sababu huo sio wajibu wetui! Kwa upande mwingine, pia nimeletewa ushuhuda kutoka kwa msichana aliyefunga safari hadi mkoa mwingine kukutana na mtu ambae alitarajia angekuwa ndio...
 15. M

  Kazi ya kutafsiri, Kiingereza - Kiswahili! Jitengenezee Tsh. 100,000/- ndani ya siku mbili

  UPDATES: GUYS, VERRY SORRY! TANESCO WALICHUKUA UMEME WAO TANGIA ASUBUHI NDIO MAANA NIKASHINDWA KUTOA FEEDBACK. IN SHORT, WATU WALISHAPATIKANA SINCE EARLY MORNING. I'LL RESPOND EVERY PM LATER BUT KWA SASA NIPO JOB, 35 MINUTES BEHIND THE TIME KUTOKANA NA KATIZO LA UMEME! AHSANTENI WOTE MLIOONESHA...
 16. M

  Naomba msaada wa kupata tiba ya pumu ya ngozi kwa ndugu yangu

  Salaam Wana-JF Doctor! Niende moja kwa moja kwenye mada! Mtoto wa sister yangu mwenye umri wa miaka 3 anateseka sana kwa ugonjwa ambao hapo kabla tuliamini ulitokana na kula samaki. Kwa kifupi miguuni anaota maupele makubwa, na baada ya kuhangaika huku na kule including kwenye hospitali kadhaa...
 17. M

  Ni rahisi zaidi kupata mwenza sahihi mtandaoni kuliko kwenye dunia halisi!!

  Kuna dhana kwamba, huwezi kupata mpenzi sahihi mtandaoni! Dhana hii inatokana na imani ya baadhi ya watu kwamba, wanawake wengi wanaotafuta wenza mtandaoni ni ama wahuni au matapeli, na wanaume wengi wanaotafuta wanawake mitandaoni lengo lao ni ngono tu na si vinginevyo. Hata hivyo, ukweli ni...
 18. M

  Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na Halmashauri ya Wilaya ya Meru!

  Salaam Wadau! Naomba msaada wa namba ya simu ya mkononi ya mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Interest yangu kubwa ni kupata namba ya mtu wa Idara ya Mipango Miji au idara inayohusiana na hiyo, kama...
 19. M

  Metropolitan Insurance

  Salaam Waungwana! Nina shida ya kiofisi na watu wa Metropolitan Insurance. Kama kuna yeyote mwenye namba ya simu ya mkononi ya mtu wa hapo Metropolitan; tafadhali naomba msaada wa hiyo namba. Namba yangu:
 20. M

  Hardware shops in Usa river, Arusha

  Wadau Sallam! Hususani kwa watu wa Arusha na hususani zaidi kwa watu wa Usa River. Kwa yeyote anayefahamu duka la hardware pande za Usa River, Arusha; tafadhali naomba contacts za duka/maduka husika. Bidhaa ninazoulizia ni pamoja na:- Gypsum board Mikanda ya gypsum board, na Misumari ya...
Top Bottom