Search results

  1. B

    Naomba Ushauri

    Jamani naomba ushauri. Mimi ni kijana mdogo tu. Nilikuja Marekani kwa taabu sana mwaka 2000 na kwa kudra za mwenyezi mungu niliweza kumaliza shule baada ya miaka nane. Sio kua masomo yalinishinda ila mambo ya fedha. Semester hii nimeingia, inayofuata inabidi nikusanye ada. Nashukuru...
  2. B

    Hawa Voda Vipi?

    Nimejaribu sana kupiga simu leo bongo lakini kwa bahati mbaya siwapati jamaa zangu wote na cha kushangaza eti wote ni Voda sasa sijui kama ni kampuni hiyo tu au hata nyingine. Nilipata bahati ya ndugu yangu mmoja kunirudishia simu harakaharaka lakini nilichosikia tu ni kua "mtandao choo"...
Top Bottom