Search results

 1. J

  DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI

  DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni...
 2. J

  Rais Samia ashtukia upigaji TPA

  Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
 3. J

  Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha bandarini

  Rais Samia ashtukia upigaji wa mabilioni ya fedha Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
 4. J

  Shaka: Viongozi wa dini wamekuwa wakisaidi katika kuhamasisha umoja, amani na mshikamano

  SEHEMU YA NUKUU ZA HOTUBA YA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA SHEREHE YA MAULID MADRASAT NURUU TEMEKE MWISHO DSM "Nitoe wito kwa viongozi wa dini nchini kuwa mstari wa mbele katika kuelekeza jamii mambo mema, ikiwepo kupinga na kukemea vitendo...
 5. J

  Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo

  WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo ametoa rai kwa Wananchi kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao. Mhe. Jokate ametoa rai hiyo leo Disemba 02,2021...
 6. J

  Shaka: Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia

  SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
 7. J

  Tanzania yaongoza Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani

  TANZANIA YAONGOZA KIKAO CHA KAMATI NAMBA MBILI YA BARAZA LA UENDESHAJI LA UMOJA WA POSTA DUNIANI (UPU) Bern, Uswis Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union Postal Operations Council) kimeendelea leo tarehe 24 Novemba,2021 jijini Berne,Uswis ambapo...
 8. J

  TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto

  TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
 9. J

  DC Jokate: Tumalize ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa wakati

  DC JOKATE: TUMALIZE UJENZI WA MADARASA KWA WAKATI NA MATUNDU YA VYOO Mkuu wa wilaya ya Temeke mheshimiwa Jokate Mwegelo amewataka viongozi na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule za sekondari wilayani hapa kumaliza kazi hiyo kwa wakati. Mhe...
 10. J

  Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM ya 2020/2025

  Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM. Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri...
 11. J

  Waziri Ummy Mwalimu awapongeza viongozi Halmashauri ya Temeke

  WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Temeke, akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkurugenzi pamoja na watumishi kwa kazi kubwa na nzuri...
 12. J

  Shaka: Miradi inayokamilika bila kutoa huduma kwa wananchi inashusha heshima ya Chama na Serikali

  SHAKA: MIRADI INAYOKAMILIKA BILA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI INASHUSHA HESHIMA YA CHAMA NA SERIKALI Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale...
 13. J

  DC Jokate akagua miundombinu ya masoko Wilayani Temeke

  DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
 14. J

  Bashe: Bilioni 119 zimenunua mazao ya nafaka kwa mwaka wa fedha 2021/2022

  📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA "CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
 15. J

  TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

  TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
 16. J

  Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

  WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
 17. J

  DC Muro: Wadau kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti Ikungi

  WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Maendeleo ya kilimo Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa kikao maalum cha majadiliano ya...
 18. J

  Mkutano: Zijue faida za Tanzania kushiriki COP 26

  ZIJUE FAIDA ZA TANZANIA KUSHIRIKI COP 26 Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka...
 19. J

  Mkutano: Zijue faida za Tanzania kushiriki COP 26

  ZIJUE FAIDA ZA TANZANIA KUSHIRIKI COP 26 Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka...
Top Bottom