Search results

  1. A

    Nahitaji Mwanamke umri miaka 20 hadi 27

    Habari wana bodi! Mimi ni mtanzania umri wangu ni miaka 31, nimejiajiri, NAHITAJI mwanamke umri miaka 20 hadi 27 awe anajua nini maana ya familia pia awe mcha dini sichagui kabila rangi wala dini Elimu kuanzia yoyote. Ahsanteni naomba kukamilisha Mwenye nia anakaribishwa.
Top Bottom