Search results

 1. I

  Natafuta SCREEN ya camera SONY 720p

  Ndugu zanguni heshima kwenu! Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu kwenye kioo yaani kioo hakionyeshi kitu giza tu, na fundi ameshindwa kuunganisha, akanishauri ninunue...
 2. I

  Msaada: Setup ya Microsoft office 2007

  Poleni na majukumu ya kila siku, jamani naombeni kupatiwa hiyo program "Microsoft Office 2007 with product key". PC yangu haina hii program inanikosesha raha ya kuitumia. Mwenye nayo msaada tafadhali!
 3. I

  Namna gani inashauriwa kushiriki misiba kipindi hiki cha coronavirus

  Poleni na majukumu, Nimepata mshtuko kidogo hapa mitaani, tumepata msiba mtaani kwetu ila watu hawahudhurii kabisa haloo, hivi serikali imetangaza utaratibu gani kwa watu kuhudhuria misiba ili kusiwepo na taharuki na wasi kuhusu kuambukizana magonjwa. Nauliza serikali imetoa pendekezo lolote...
 4. I

  Urgent: Natafuta shule yenye kufundisha vizuri CBG Form 5

  Heri ya mwaka mpya kwa wote! Msaada mwenye kujua shule ya private, iwe ya kulala huko, mchepuo CBG kidato cha tano. Nina ndugu anahitaji kuhamia katika shule yenye vigezo tajwa hapo juu. Mwenye uelewa tujuzane, jina la shule, gharama zake ikiwezekana na mawasiliano yake. Mwanafunzi ni jinsia...
 5. I

  Mnaobashiri kwa njia ya mtandao ktk kampuni ya Premier kuweni makini sana

  Ndugu mnaobeti au kubashiri kwa njia ya mtandao ktk kampuni ya Premier kuweni makini sana, binafsi nilikuwa naweka (deposit) pesa kwa kutumia airtel money ktk akaunti yangu nikaweka pesa mara 5, kila nikiweka pesa napata ujumbe kwenye simu kuthibitishiwa kuwa nimeweka pesa, nimekwenda katika...
 6. I

  Laini za uwakala zinauzwa Tigopesa & Airtel Money..wahi mapema bei chee!!

  Kwa muhitaji wa laini za uwakala nauza Tigo pesa: 130,000 Airtel Money: 100,000 Laini zilikuwa zinafanyia kazi Morogoro Mjini ila mhusika ameacha hiyo biashara ya fedha sasa anaziuza laini hizo 2 na zina wiki 1 tangu azisimamishe kufanyia biashara, kwa anayehitaji laini zinapatikana Dodoma...
 7. I

  Meneja Vodashop ya Morogoro Mjini kanidhulumu pesa

  Huyu meneja tangu february 19 mwaka huu anazungusha pesa yangu hataki kuitoa kanipa kiasi tu cha pesa inayotakiwa, nyingine iliyobakia hataki kumalizia na sasa hapokei simu wala hajibu meseji. Pesa ndogo sana inamtoa imani, hakukopeshwa ni pesa ambayo ilikuwa ktk laini moja ilitakiwa aihamishie...
 8. I

  Tanesco Morogoro wahujumu uchumi

  kuna taasisi mbili za ajabu sana mkoa wa morogoro na ninawasiwasi na mishahara wanayolipwa sijui ni kwasababu ipi 1. TANESCO. Tanesco ni kinara wa kukata umeme kila ifikapo mda wa saa kumi na mbili jioni mfululizo, kuanzia mda huo hadi saa sita usiku yaani ni kukata umeme na kurudisha hilo zoezi...
 9. I

  Ajali zinazokosa rekodi sahihi za abiria waliomo, nini tatizo?

  Katika hali isiyo ya kawaida, ninashangazwa sana na baadhi ya mambo yanayotokea nchini kwetu; 1. Hivi ni kweli ajali inapotokea taarifa kamili ya watu waliokuwemo haijulikani?, rekodi za tiketi hupotelea wapi? 2. Rekodi za mapato wanayokusanya huwa wanazitoa wapi?, mfano kwenye vivuko kila...
 10. I

  Itel gado ofa toka vodacom ni utapeli

  Ndugu yeyote mwenye uhitaji wa simu hiyo ambayo vodacom wanajinadi kuwa ni OFA na kuiuza kwa bei ya elfu95. Hiyo Itel gado yao ndani wanaeleza kwamba "utapata GB 3 kila mwezi kwa miezi 4 BURE". Hiyo ofa ya internet ni waongo wanadanganya umma, wanatoa miezi miwili tu na kusitisha hiyo huduma...
Top Bottom