Search results

 1. P

  Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

  Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
 2. P

  Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

  Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
 3. P

  Natafuta mwanamke kwaajili ya mahusiano baadaye awe mke wangu

  Habarini Ndugu zangu Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali. Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati ya 18-22, ambaye mahusiano yetu yatapelekea kuwa wanandoa. Kama uko tayari tuwasiliane Inbox...
Top Bottom