Search results

 1. T

  Diplomatic tables; No regret (re-birth in new york)

  Ms. Jesca Kishoa, Member of Parliament (Mp) Tanzania is redrawing its shape into GLOBAL arena’s page, its lights went dim in a series of six years ago. The whole world knew Tanzania as an isolated governing block. Business Communities, development partners and aligned diplomatic friends were...
 2. T

  Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

  "Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao." #Tunajifunza #RK
 3. T

  Rais Samia kuhutubia ulimwengu kupitia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 23, 2021

  RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku. Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Rais Samia atahutubia...
 4. T

  Ridhiwani Kikwete atoa neno kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mkonge

  Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo. #KaziInaendelea.
 5. T

  Taarifa kwa Umma kutoka CCM

  Taarifa kuhusu Kikao Cha Kamati Kuu ya CCM kilichokutana leo Ijumaa Septemba 10, 2021 Jijini Dodoma
 6. T

  RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

  "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
 7. T

  Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

  KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA. Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
 8. T

  Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

  📸Huyu hapa Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa akitoa sababu za msingi za kulifungia Gazeti la Raia Mwema. Tukumbuke kabla ya kulifungia Gazeti hilo, Tayari liliwahi kufungiwa mwaka 2017 kwa miezi mitatu kwasababu ya makosa yanayojirudia ya kuvunja sheria, kukiuka misingi ya uandishi...
 9. T

  Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

  Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
 10. T

  Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

  Mjadala wangu kuhusu kwanini Tanzania iendelee kununua ndege unaendelea tena sehemu ya pili baada ya sehemu ya kwanza kutoka kwenye Gazeti la HABARI LEO la Juzi, Sasa leo Ijumaa Septemba 03, 2021 ukiwa katika Gazeti la HOJA kwenye ukurasa wa 8 na 9 na kichwa chake cha habari "KWANINI TANZANIA...
 11. T

  Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

  Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
 12. T

  Watanzania tembeeni kifua mbele, mnalia kidogo Rais Samia anawasikia, anawabembeleza

  Kwa nchi za wengine tena hata nyingi tu za majirani😂 raia kukaa mtandaoni na kuanza kuinanga Serikali, kuisema na kuibagaza kwa jambo fulani basi angeshikwa au hata Serikali ingeleta jeuri na kiburi isisikilize wananchi na ingeendelea na ilichopanga lakini hiyo haiwezi kutokea Tanzania kwa Mama...
 13. T

  Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

  Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
 14. T

  Bunge lanuka dhidi ya Gwajima na Jerry Silaa

  BUNGE LANUKA DHIDI YA GWAJIMA NA SILAA WAKATI nchi ikisubiri kwa hamu na ghamu hatima ya tozo za mihamala ya simu, Bunge limewahukumu Wabunge Josephat Gwajima wa Kawe na Jerry Silaa wa Ukonga (wote kutoka CCM). Hii ni kufuatia kauli za kichochezi na uongo uliovuka mawingu. Baada ya kuhojiwa...
 15. T

  Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

  Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
 16. T

  Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

  Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii na kwenye spaces za Twitter zinazoendelea sasahivi za wanaharakati na wanasiasa wa vyama vya upinzani, nimeshtushwa sana na namna viongozi na wanaharakati wa upinzani wanavyomuunga mkono gaidi Hamza aliyeua Watanzania wenzetu 4 na kuwajeruhi...
 17. T

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  Wakuu habari, Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu. Hiki ndicho anachokisema (Updates) -Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari -Tumefanya kampeni nyingi kuliko zile za mgombea...
 18. T

  Uchaguzi 2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

  Wakuu habari, Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu. Hiki ndicho anachokisema (Updates) -Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari -Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea...
 19. T

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  Wakuu habari, Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu. Hiki ndicho anachokisema (Updates) -Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari -Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea...
 20. T

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  Matokeo yameendelea kutangazwa na kila kunapotangazwa ushindi unakwenda kwa Madiwani wa CCM na Wabunge wa CCM. Tofauti ya Kura kati ya wagombea wa CCM na Wapinzani ni kubwa sana kiasi kwamba hauwezi kusikia kuwa yapo malalamiko kuwa wagombea wa CCM wameiba kura ama wameshinda kwa ujanja ujanja...
Top Bottom