Search results

 1. K

  Hyundai kutengeneza Magari ya Umeme

  Kabla ya February.
 2. K

  Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

  Jaji anasikiliza na kuandika, lakini ana uwezo wa kiona shahidi anaelekezwa majibu, kuliko liwezavyo kiona jopo la mawakili wa serikali. Huyu apewe hadhi ya super judge.
 3. K

  Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

  Turudi kwenye DR za Dar central na Tazara. Ya Tazara imenyofolewa na kuungwa karatasi, ya Central je?
 4. K

  TANESCO yazitaja taasisi za Serikali kama changamoto kulipa bili

  Njia ya kukabili wasio lipa bill ni kuwawekea mita za lulu. Kambi za jeshi mita ziwekwe km 1 nje. Matumizi ya vyanzo mbadala ni nafuu kwao, Tanesco hawajawahi kukidhi mahitaji ya umeme, na haina uhakika, ni giza mara moja.
 5. K

  Chongolo anachanja mbuga kuimarisha chama lakini Mnyika yuko ofisini anatunza mafaili, hakika CHADEMA mnafeli sana

  CCM kufanya mikutano ruksa, mnyika ajaribu kufika mikoani na kufanya mkutano hata wa ndani uone nini polisi watamfanyia. Mkuu wa mkoa wa Mara alisema marufuku mikutano mikoani mwake, watu wafanye kazi.
 6. K

  Askofu Malasusa: Tarehe 28/11/2021 itakuwa ni siku ya kuombea Mvua kwa Makanisa yote ya KKKT - DMP

  Sawa ombeni, lakini mjue mvua zitaanza kunyesha kuanzia mwanzo December, kwa mpangilio wa geografia, si kwa maombi yenu.
 7. K

  Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

  Ni muda tu makonda atarudishwa.
 8. K

  Hivi tunapaswa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa au kulia kwa uchungu?

  Yote mawili yanatuhusu. Furaha ya kuona umeifikisha miaka hiyo, kisha huzuni kuwa kati ya miaka unayo kadiria kuishi mwingine umepungua.
 9. K

  Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

  Katika maisha yako usifikie kujua 10%ya siri za serikali, utaasi. Siri za serikali ni madhambi yanayofanywa na wakubwa.
 10. K

  Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

  Labda hakuyaona magari ya kubeba mafuta ya rangi ya blue wakati wa tukio lile.
 11. K

  Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

  Kuna mtu alie karibu na mtuhumiwa wa wizi huo, alinambia kesi ilishahukumiwa kulipa sh milioni 100 au kifungo miaka 2. Alikupa faini!
 12. K

  Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

  Si kutenda kosa, bali kuthibitisha bila shaka kuwa katenda kosa.
 13. K

  Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

  Mpiga kura hana nafasi ya kushiriki, mwamuzi wa ushindi ni tume ya uchaguzi.
 14. K

  TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

  Cha ziada kipo. Tofauti ya commission iliotolewa.
 15. K

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Hizo ni ngonjera tu. Uhalisia ni tofauti. Km vituo vya afya na zahanati vina uhaba mkubwa wa watumishi.
 16. K

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Tunategemea kupata ufumbuzi wa matatizo yetu toka kwao watendaji walio yaanzisha, wakatimuliwa na kisha kurejeshwa kundini.
 17. K

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Marejeo ya kinacho endelea mahakamani, kama repoti ya mashahidi wa serikali zinafika bila kurekebishwa, ni bora zisiletwe. Zimejaa ulaghai wa wazi.
 18. K

  Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

  Nimefika mkoani Tabora tangu jumatano, mgao wa umeme ukiwatesa wananchi. Joto kali na ac haiwaki, hakuna umeme. Tangu jumapili mpaka leo umeme haujakatika, na msongo wa mawazo umepunguza. Najiuliza, huu umeme umetoka wapi? Kilikuwa kinatikiswa kibiriti?
Top Bottom