Search results

 1. G

  Neema kwa wamachinga hii hapa! Kila machinga kuondoka na kitita

  Machinga, wakulima, wavuvi, na wananchi wanyonge wote hawana issue tena kwenye uchaguzi. Uchaguzi unasimamiwa na kuamuliwa na vyombo vya dola vilivyo chini ya rais. Kwahiyo rais Samia ana 100% ya kushinda uchaguzi
 2. G

  Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  Hoja ya kijinga toka kwenye ubongo mdogo Kama uduvi
 3. G

  Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

  Shida ipo Kama huioni kaa utulie
 4. G

  Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

  Huyu Ummy hajakutana na mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka
 5. G

  Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

  Hii CCM B imeanzishwa na Polepole
 6. G

  Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

  Ukiona jeshi linakusanya korosho ujue tumepigwa
 7. G

  Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ, Mkutano na Waandishi wa Habari

  Huu utani sasa. Jeshi linaongelea uhuni huu
 8. G

  There is no free lunch. Why has Yoweri Museveni built a school for Tanzanians?

  The President of Uganda, Yoweri Museveni must be buying something out of this generosity to Tanzanians. He is definitely trying to lure our leader (Madam President Samia Suluhu Hassan) so that can get what he wants. There are so many villages in Uganda which have either poor or no school...
 9. G

  Kwanini maeneo mengi ambayo CCM ina nguvu ndio yanayoongoza kwa umasikini?

  Mkuu unapafahamu Kigoma? Hasa majimbo yanayopendwa na upinzani kama Kigoma mjni na Ujiji? Nadhani suala la eneo fulani kuwa ngome ya CCM halihusiani na umaskini. Tufanye utafiti ili tuje na majibu sahihi.
 10. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Zinakamua watanzania tu. Haziinhizi chochote zaidi ya kutufilisi
 11. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Mpk Sasa zipo 11. Yakija hayo 5 tutakuwa na 16
 12. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Business plan ya TAZARA na ile ya GESI MTWARA ulizisoma wewe ama unaongea tu?
 13. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Baada ya miaka 5 Zenjibaa itakuwa nchi na danganyika itakuwa mkoa
 14. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Hakuna biashara hapo. Kununua bombardier halafu Ikawa unafanya safari za ndani ni sawa na kununua basi la abiria halafu ukalifanya kuwa la kwendea kazini wewe na mkeo/mumeo. Ujinga. Ndege ziko 11 halafu zinazofanya kazi ni 7 tena kwa hasara. Hizi nyingine zinakaa tu halafu baada ya miezi 6...
 15. G

  Gerson Msigwa: Ndege nyingine 5 kufika kabla ya mwaka 2023, zimelipiwa keshi

  Namsikiliza Gerson Msigwa katika kipindi cha the Big Agenda anasema serikali imetoa order ya kutengenezewa ndege nyingine tano ambapo zote zitakuwa zimewasili kabla ya mwaka 2023. Ameongeza kwa kusema zimelipiwa kabisa. My take. Hii nchi aliyeturoga kafa. Tuna midege tuliinunua haijawahi...
Top Bottom