Search results

 1. P

  Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

  Kuna mwalim wangu mmoja ivi alinifundisha jinsi ya kutumia izi articles kuna A na the akanambia A unatumia kwa kitu ambacho bado hujakifaham the kwa kitu unachokifaham mf. A man kama uyo mtu ni first time kumuona na the man hapo ushamfaham ila naon kama the man hainogi inanoga kutumia a man mi...
 2. P

  Hivi uyu ni shetani au?

  Yani jamani nina uwezo darasani lakini nakutwa na hali ya kukata kata tamaa tu hii hali inanifanya nikiingia kwenye mitihani nakuwa napanic mf kuna mtihani nilikuwa na uwezo wa kupata 15 ya 15 lakini hadi nimejikuta nimepata 11 ya 15 nifanyeje jamani hii hali siitaki ya kukata tamaa nataka...
 3. P

  Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

  Kwa we unaona ujinga ila tulitaka sare ya ndoa ili tumwelekez mtu apendekeze kama inafaa
 4. P

  Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

  Rangi ya ilo shati nataka
 5. P

  Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

  Hapa naona inaonekana vizuri zaidi
 6. P

  Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

  Naomba kujua hii colour maana tumebishana hatujapata majibu mwingine. Anasema kaki mwingine carrot mwingine rangi ya maziwa.
 7. P

  Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

  Tangu niambiwe nina H pallor positive nilitumia dawa mara moja tu heligo kit za siku 14 badae nikaamua kukubaliana na kitakachoendelea mwilini mwangu na kutoudhulia tena dawa mana nikajikuta nachoka tu kuendelea kutumia dawa kinachonisumbua ni kichwa kinakuwa kama nimetoka kusuka nywele siku ya...
 8. P

  Which is which?

  X wangu alisema tusitafutane tukaushiane ili tusahauliane, mimi nikaamua kumute nikaona anaanza kunitumia text kwenye no ambayo siijui. Akatuma text nikamwuliza nani hakujibu na mimi sikumtafuta nikakausha jana katuma tena text hellow nikamwuliza nani akajitambulisha. Nimemmutia hadi saizi na...
 9. P

  Masomo kipindi cha covid19

  Ujue mtu akiwa face to face ni rahisi sana kumuelewa kuliko iyo tv radio etc inakuaga ngumu kidogo kwaiyo through tv walimu wakiongea sana kingereza wanafunzi hawataelewa alafu kama mwanafunzi ajaelewa lugha ni ngumu ata kujua kimefundishwa nini. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. P

  Nifanyeje mpenzi wangu hanipi hela ya vocha ila anataka nimjibu meseji zake?

  Huyu mwanaume wangu tunasoma wote chuo jana nilimpiga kibuti kalia lia kwamba amekosa raha siku nzima kwanini yeye anachukulia mapenzi serious mimi nachukulia mzaa nimerudiananae. Amewahi kunitumia hela ya vocha siku moja tu, kila nikimwomba hela ya vocha ananiambia hana nikamuuliza mbona...
 11. P

  Nahitaji mnitie nguvu

  N PM tu Sent using Jamii Forums mobile app
 12. P

  Nahitaji mnitie nguvu

  Naomba ni PM Sent using Jamii Forums mobile app
 13. P

  Nahitaji mnitie nguvu

  Kipindi hiki cha Corona kinazidi kunipa mawazo ya kukata tamaa ya kusoma na kuona tutazidi kuchelewa kumaliza nimekuwa ni mtu wa kulala tu na kuamka na kuwa na mawazo yasiyoisha 24 hrs kuhusu kusoma kwangu mbona naona kama mambo yangu hayaendi nimekuwa ni mtu wa huzuni tu naona kama kila mtu...
 14. P

  Wakuu nimeachwa mwenzenu

  Tumia has! He she it.have I we they sor nimekurekebisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. P

  Nifanyeje

  Kuna mwanaume anaonesha kunipenda sana ila hisia zangu zinapotea kutokana na dini yake ye mwislam mi mkristu leo nimemwach anaonesha kuumia sana nifanyeje. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. P

  Kwanini mimi nimekuwa sina furaha kama wanafunzi wengine?

  Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 17. P

  Kwanini mimi nimekuwa sina furaha kama wanafunzi wengine?

  Imesababisha hadi naumwa mgongo kifua kuwaka moto mishipa ya shingo kuuma na kichwani kama wamenitwisha mzigo nina mateso sana na chuo staki kuacha ila msongo wa mawazo unaendelea tu day by day nimechoka sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. P

  Kwanini mimi nimekuwa sina furaha kama wanafunzi wengine?

  Mbona wengine wanasoma kwa furaha zote kwanini hii hali inikute mimi tu nina nini? Nilianza masomo ya kidato cha tano na cha sita kwa usajili wa private candidate nikaacha nikaona nisije nikashindwa kufaulu kutokana na muda kuwa mchache nikaamua kwenda chuo. Mwanzo nilianza kwa furaha zote...
 19. P

  Njooni tujifunze Kingereza kwa kuandika na kuongea

  Why have you written in english while a person he doesn t know a lg? Sent using Jamii Forums mobile app
 20. P

  Naomba msaada katika hili tatizo langu la kifua na mgongo

  We unawaka moto sehem gani na vipi maeneo ya shingo unajisikiaje Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom