Search results

 1. Mavindozii

  Gharama za kupandikiza mtoto/mimba

  Hapa ARUSHA ziko tatu mkuu .Moja Iko pale Jacaranda na ingine Iko njia ya kushuka Njiro na nyingine Iko hapa karibu na soko kuu Ila hiyo ya njia ya kushuka Njiro ni ya wahindi na wanaofanya ni wahindi kutoka India kama uko seriously nikakuchukulie number za simu
 2. Mavindozii

  Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

  Mbaya zaidi beer baridi hamna kabisa na hili joto Ilikuwa beer. Moto unaarisha sana
 3. Mavindozii

  Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

  Mbona kwenye huu Uzi hamjazungumzia kabisa Howo au Shacman trucks .Nazionaga zinapita hapa Ngarenaro zimebeba cement ya Dangote na zina mitungi ya gas mbada ya diesel.Howo truck haiwezi kukutoa?
 4. Mavindozii

  Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

  Mkuu umesema ukweli .Ungekuwa Arusha ningekupeleka Picnic Bar nikakupe Kirikuu baridi .Nimepitia karibu comment zote wanakandia sana haya Magari ya Kichina.Bus Scania milioni 900 basi Moja tu .na za Kichina basi moja milioni 250 si Bora ununue za Kichina bus 4 ufanye Biashara ambazo...
 5. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Ni kwa ajili ya kwenda kiraracha mkuu.
 6. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Hell no [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
 7. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Si uagize. Mkuu au uende kule kupatana ila kuwa makini
 8. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Safi sana mkuu ,hongera 2013 ushuru wake balaaa.
 9. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Umeua mkuu [emoji1][emoji1]kwani niseme uongo ?
 10. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Usimfananishe Yesu na haya matakataka yako mkuu .atakuchapa kiboko mkuu.
 11. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Thanks man tatizo budget yangu Ilikuwa milioni 9 na sasa hivi naona vinazidi kupanda bei mkuu .unajua kipya ni 70 milioni?
 12. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Kweli mkuu.kuna siku mama mmoja aliniomba nimsogezee gari yake ya manual nikamwambia samahani sijui kuendesha manual gear niliona aibu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji853]
 13. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Mbona Serikalini wanaagiza Manual mkuu ,hizi hard top zote ni manual gear.na hizi za kwenda porini ni manual gear ..Hivi hizi Kilimo kwanza ni Manual au AT maana sijawahi hata kuchungulia huko ndani kukoje .
 14. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Watu wote hapa nyumbani na kazini hamna mtu anayejua kuendesha manual mkuu.hata jirani .
 15. Mavindozii

  Mrejesho kuhusu Suzuki Jimny 2000

  Embu nisaidie mkuu kuna namna wanaifuta
Top Bottom