Search results

 1. jiwe angavu

  Most of the Beautiful ladies are single.....this is why....

  Anaza singo maza akijipa moyo. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 2. jiwe angavu

  Mabasi mazuri kwenda Mwanza

  Duuh..sikati siti za mbele tena..amana kilichonizuia na lile chuma pia gari haikua mwendo sana..ila niliumia mguu na mdomo ulipasuka kwa ndani.. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 3. jiwe angavu

  Rais samia usijenge bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

  Bora huo mradi wa bagamoyo upelekwe tanga au mtwara..ila sio hapoa karibu na dsm..wataua bandari yetu..sema viongozi wa nchi hii sio viongozi wa wananchi ni viongozi wa matumbo yao. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 4. jiwe angavu

  Mabasi mazuri kwenda Mwanza

  550k..hii ni private jet au? #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 5. jiwe angavu

  Mabasi mazuri kwenda Mwanza

  Roho mkononi..mwezi wa 5 mwaka huu..kidogo niage dunia..baada ya basi kugongana uso na uso na semi mitaa ya sherui tukielekea mwanza..dereva alikua ana overtake..siku ile nilikiona kifo live mana nilikua siti za mbele kabisa na dereva. Naona allys anataka arudishe chat yake juu kwa nguvu..gari...
 6. jiwe angavu

  Mabasi mazuri kwenda Mwanza

  Noma sana..safari inachosha sana hivyo..zaidi ya masaa 20 umeweka matako chini.. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 7. jiwe angavu

  Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

  Nilijua tu ni kanda ya ziwa..anyway ndio dunia. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 8. jiwe angavu

  Movie ya kwanza Afrika yenye ubora wa Hollywood iliyosukwa Afrika na kuchezwa Afrika

  [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] daah..jf hua haiboi..don endelea kutupa furaha. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 9. jiwe angavu

  Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

  True African women..acha na hao makahaba wa mjini..wasio jua thamani ya watoto..chakushangaza hela ya wanaume wenye watoto yanazikodolea mimacho..mi jambazi ilo shindikana hiyo. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 10. jiwe angavu

  Mrejesho biashara ya madini 'third season'

  Shukrani kwa updates..hope mwezi wa may utatupa updates tena za elusion. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. jiwe angavu

  Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

  Ukifata kila kitu dini..utakua mpumbafu siku moja..waache waoane kwani shida iko wapi..wamekubaliana mambo ya dini yanaingiaje hapo. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 12. jiwe angavu

  Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

  Hili povu hili..hata omo ikasome..pole sana hela za mwanaume unataka ila mtoto wake hutaki acha roho mbaya... #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 13. jiwe angavu

  Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

  Walikua wanakagua utekerezaji wa ilani ya chama...kupitia miradi ya serikali. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 14. jiwe angavu

  Je, unahitaji huduma hii katika eneo la kazi kuepuka adhabu za watu wa OSHA?

  Mnapatikana wapi? #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 15. jiwe angavu

  A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

  Sawa ila ukweli ndio huo..sayansi imejibu maswali mengi ya binadamu kuliko dini. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 16. jiwe angavu

  A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

  Acha uoga wewe...unaonekana mfuasi wa kibwetere uliyebakia..mliwaaminisha watu mwisho wa dunia ni mwaka 2000..dini imeangamiza wengi sayansi imeokoa wengi..dunia inahitaji sayansi zaidi kuliko dini. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 17. jiwe angavu

  Mlipuko mpya wa maradhi (Case Study- Wilaya ya Kigamboni)

  Mabadiliko ya hali ya hewa..unyevu umeongezeka..hivyo ueneaji wa bacteri na virus katika hewa ni mkubwa. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 18. jiwe angavu

  Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course

  Msomi njaa wewe ndio mana huna focus ya maisha. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 19. jiwe angavu

  TMA: Leo Desemba 3, 2021 kutakuwa na mvua kubwa katika maeneo ya Pwani, wa mabondeni chukueni tahadhari

  Habari mbaya sana hii kwa makamba na co..mana wataaambia nini tena watz kuhusina na mgao wa umeme..ili wapige dili za mitambo ya kuzalishia umeme. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
 20. jiwe angavu

  James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

  Waanze na bunge la mazuzu..idadi yao ipunguze..na mishahara yao ipunguzwe..magari ya serikali na chama v8 zisitumike tutumie rand lover. Kuna haja gani kulipa ma bilioni ya walipa kodi kwa vilaza na mazuzu.. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom