Search results

 1. E

  Nilimwambia nakuona wewe ni mke wangu mtarajiwa, akanijibu eti anajua huwa tunataniana

  Kijana wa kiume hapropose wewe acha hizo mambo!! Kuanzia sasa usizungumzie ni kiasi gani unampenda na usinwambie mambo ya ndoa unafeli...kuna umri Mwanamke na ndoa ni maadui na kuna umri wanaikimbilia ndoa... Wewe fanya kudate nae for fun not for a future!! Acha hiyo future aizungumzie yeye...
 2. E

  Punyeto mbaya sana, leo nimeaibika sijui kama atarudi tena

  Kama asubuhi uume unasimama( morning glory)basi huna tatizo, bali ni hofu yako tuu... Piga nyeto once per week haina madhara... Hakuna mwanamme ambaye hajistui hata mara moja...kwa mwaka... Mimi angalau mara moja kwa mwezi lazima nijisisimue hata kama pisi ipo... na gemu ni poa tuu lazima...
 3. E

  Nimeamua nijipende mwenyewe

  Hahahaa nobody loves you unconditionally hata kama ni mzazi wako... Hata mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni. Mwanadamu hupendwa kwa kile anachoweza kuwanufaisha wengine... Mzee na wewe kuwa tuu hivyo. Jipende wewe kwanza na Usitafute kupendwa tafuta kuwa na vitu ambavyo Watu wanavipenda
 4. E

  Nisaidieni mbinu za kupunguza hasira na visasi huwa nafurahi nikilipiza

  Revenge is sweet and Gratitude a burden Wewe jamaa kila mtu ana kisasi. Sema nini: Tumia akili siyo kila mtu unatakiwa umlipizie kisasi, wengine unawaacha tu... Mfanyie kisasi mtu ambaye alijiona na alikua anajua anachokufanyia and anafurahia kipindi anakufanyia mabaya... Kwa wengine leave...
 5. E

  Wanawake wamekuwa ni jeshi dhidi ya nani?

  Mwanamke ni inferior tu kwa mwanaume... so it has been, so it will be! Waache wajifariji na hiyo misemo yao!
 6. E

  Ndoa ya mke mmoja au wengi? Vipi kuhusu talaka? Soma hapa ujue msimamo wa Biblia

  Kwa nini asiweze? Tafuta Ukweli hadi upatikane. Siyo ukishindwa ulete vitisho vya jehanamu na kufuru! Biblia inaeleweka ndiyo maana tumeandikiwa Watu... Kuna wachache huwatisha Watu wasihoji biblia... kuhoji tumeruhusiwa ili tuijue Kweli! Tutahoji kila kitu na kila mtu. 1 Thessalonians 5:21...
 7. E

  Ndoa ya mke mmoja au wengi? Vipi kuhusu talaka? Soma hapa ujue msimamo wa Biblia

  Mwanzo 4:23 Lameki akawaambia WAKE ZAKE, “Ada na Sila sikieni sauti yangu! Sikilizeni nisemayo enyi WAKE za Lameki. Mwanzo 32:22 Usiku huohuo Yakobo akaamka, akawachukua WAKE ZAKE WAWILI, wajakazi wake wawili na watoto wake kumi na mmoja, akapita kivuko cha Yaboki...
 8. E

  Natafuta mume...

  Kwa wanawake ndoa ni achievement Kwa mwanamme ni Mzigo Mke + watoto ni bonge moja la kazi katika dunia ya sasa. Kila mtu afe kivyake tuu!
 9. E

  Dalili za mwanamke anayekuchukulia wewe ni stepping stone wake

  Good economics Life is all business, basically buying and selling... Katika kila kitu unachokifanya ni either unauziwa kitu au unanunua kitu hahahaaaa! Ku-base maisha kwenye love na huruma na upendo na mapendo na mafundisho yalee ya kupendana mnayoambiwa kanisani na misikitini ni umbulula...
 10. E

  Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

  Shule ya Serikali, vitabu nyumbani ( textbooks masomo yote, solved questions masomo yote), usimamizi nyumbani, preparation kila siku saa mbili hadi saa tano maskani,tuition masomo yote mtaani... This way nimetengeneza genius Very cheaply... Elimu ya private ni biashara tuu inayopambwa kwa vi...
 11. E

  Jinsi ya kuachana(kumbwaga) mwanamke kwa amani

  ITS ABOUT ME, MYSELF AND I ( AS A MAN). Wengine ( wanawake) nikuwanafikia na kuwa——use tuu. As a man, to use women for your own and only Gains, Ends is a MUST do Thing!!
 12. E

  Dhana ya hunipendi, unataka kunichezea tu!

  Hahahaaaa! Wonders shall never cease for the Naive. A wise man has eliminated surprise in his life. Stay away from female manipulation Kupitia hiyo kauli unaweza jitutumua na ukajiidentify nayo na kwa kustaajabisha kabisa ukaanza kuiishi...at your lose and... the gain of another ( ke)...
 13. E

  Wanaume tuoe kwa sababu...

  Sijazaliwa niishi na Mtu... au nipende Mtu mimi. Wanawake ni watu wa kawaida sana... Tukiacha kuwaona kama Mama zetu ama dada ama binti zetu bali Watu wa kawaida sana tu basi tutaishi kwa furaha sana. Ni kosa kubwa kutaka kuishi kwa kufurahisha Mtu... kitu ambacho haiwezekani... Mwanamme...
 14. E

  Wakuu hiki Kitabu kilichozinduliwa leo kuhusu familia kina maana gani?

  Naona wanasheria wanawake kwa kushirikiana na Serikali ya sweden ( Serikali ni watu kama mimi na wewe basically) wamemualika rais wetu kuzindua document fulani leo kuhusu familia Hii imenipa wasiwasi mkubwa hasa kama Serikali itaanza kujipatia nguvu za kisheria kuregulate familia.... ambapo ni...
 15. E

  Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

  Tatizo wanawake ni watu wachoyo sana, walafi mno, wana tamaa sana, roho mbaya, wana chuki, wabinafsi, watu wenye mashindano, wasiotulia, wachawi, wasiowafikiria wengine Na ndoa ni biashara kwao Halaafu wanaume ni watu wema sana, wapole, wenye kujitoa, watu wanaojali wengine, wenye kujinyima...
 16. E

  Tetesi: Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

  Oi MD na iheshimiwe na watu wote CO ni mwanafunzi wa MD CO kuwa MD anahitaji miaka mingine Sita ya kuwa darasani... Halaafu tunaona tu vijana wanavyojilimit kielimu kwa kukimbilia Hii diploma ya medicine... wakitaka shortcut... mbeleni unapokua umechoka sana wataona ilivyo ngumu kuwa Daktari...
 17. E

  THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

  Duu kikawaida thigh gap ina maana lakini kitaalamu ni constitutional anatomy ya mtu ambayo inategemea urefu wa shingo ya mfupa wa paja ( femur neck length)
 18. E

  Kwanini wanawake wanaamini wanaume hatuna haki ya kukataa kufanya nao mapenzi?

  Mwanamume ukianza kuwaza hivyo awazavyo zero iq umekombolewa tayari. Kila mtu aweke maslahi yake mbele basi. Maelewano kwenye mahusiano iwe Siyo kupitia upendo kwa sababu wanawake hawawezi kupenda bali iwe kubadilishana maslahi
 19. E

  Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

  Pesa pekee haitoshi Akili pia inahitajika. Hekima + pesa= uhuru Tujiongezee maarifa wakati huohuo tukijitafutia pesa.
 20. E

  Jibu kwa uzi wa mwanadada Zeira kuhusu ubinafsi wa wanawake

  Dawa ya mwanamke mbona simple tuu: Kama mwanamme jipende na kujijali wewe kwanza... Kosa letu wanaume huwa tunajitoa kafara “ sacrifice” kwa ajili ya Mwanamke wakati ukifanya hivo yeye anakuona lofa... Usimtake sana Mwanamke Jijali kwanza wewe Jipende Jinunulie vitu vizuri.. yeye usimnunulie...
Top Bottom