Search results

 1. Sicario_4k

  Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

  Sasa kuombwa pesa ya vocha ndio kutapeliwa???... kuombwa uchangie kwa hiari yako ili upate premium service ndio utapeli.. mbona sehem nyingi tuuu kunakuwaga na donation za hiari kama auko intrested unapotezea.... Lakini naamini huuu uzi hautafikia huko
 2. Sicario_4k

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 3. Sicario_4k

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Content hiden
 4. Sicario_4k

  Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

  Braza wewe ni kinganganizi aisee
 5. Sicario_4k

  Je, kuna simu inayoweza ku-operate kwa mfumo wa PC au Komputa

  Zipo mkuuuu... , pia simu zote ni computer, tena sasa ivi kuna kitu kinaitwa samsung dex... hii inafanya kaz kwenye simu kubwa kubwa za samsung yani unaproject simu yako kwenye display .. ambapo mfumo wa simu unabadirika na kuwa kama desktop ambapo unaweza kufanya kazi zote na kufungua windows...
 6. Sicario_4k

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 7. Sicario_4k

  Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

  Vipi akikijibu "tayari nipo kwenye mhusiano mengine"
 8. Sicario_4k

  Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

  Bwana mkubwa wewe utakuwa na Sonona ...
 9. Sicario_4k

  Siumii kukosa ajira ila napata 'stress' kutoka kwa wanaosubiri niajiriwe

  Mimi nimejiajiri ...lakini ndugu hawaamini katika kujiajiri bado wanaona kama nacheza madange.. utakuta mtu anakuuliza vipi ajira zimetoka unaapply kweli.
 10. Sicario_4k

  Kariakoo siyo waaminifu kwenye biashara ya simu

  Mbona mimi nilinunua samsung og iko vizuri tu, ina mwaka mmoja sasa
 11. Sicario_4k

  Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

  Kuna watu wanasahau sana sector ya websites , web nazo zinalipa sana huku online, ukizipatia vizuri.. ukikomaa nayo ikatoboa.. watu wanapiga 1500 to 2000 $ monthly
 12. Sicario_4k

  Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

  Mkuu kama content zako siyo sensitive sana na siasa unaweza kuanza kazi mdogo mdogo, ukitoboa tu fanya ukasajiri
 13. Sicario_4k

  Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

  Kuanzia 100$ unapewa mpunga wako tarehe 21 ya mwezi unafuata
 14. Sicario_4k

  Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

  Hujamuelewa vizuri boss, Anamaanisha kuwa youtube wanalipa yaana wanalipa watu siyo watu wanalipia kupata huduma ya youtubu.
 15. Sicario_4k

  Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

  Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaweza kurequest monetization, ukikubaliwa utaanza kulipwa Kiwango cha ulipwaji kitategemea na watazamaji wako wanatoka nchi gani Mfano unaweza ingiza wastani wa dollar 0.8 - 3 kwa views 1000, Malipo ukifikisha 1000 usd
 16. Sicario_4k

  Ajali Lukumburu, Wahanga 36 Bus Shabiby, Ni Mnara

  Hii ajari ilikuwa mwaka gani vile
Top Bottom