Search results

 1. SMU

  Muda unapaa......miaka 10 ndani ya JF!

  Nawatakieni nyote heri ya sikukuu ya wapendanao. Kwa wale wakristo, nawatakieni funga njema na mwanzo mzuri wa kipindi cha kwaresma. Mungu ni mwema kila wakati! Nilikuwa najitizama kwenye kioo leo asubuhi nikagundua ongezeko la mvi kidevuni, kwenye nyusi na hata kichwani. Hee...kumbe muda...
 2. SMU

  Mikopo Elimu ya Juu: Kuna njia mbadala?

  Wadau, Amani iwe kwenu. Ni wazi kuwa mikopo kwa ajili ya elimu ya juu imekuwa ni tatizo. Wahitaji ni wengi kuliko uwezo wa serikali. Serikali imeweka vigezo, vingine vinakubalika lakini vingine inakuwa vigumu kuvikubali. Kwa mfano kuangalia kozi fulani pekee huku serikali ikijua fika kuwa...
 3. SMU

  Siasa kwenye uwekezaji wa mifuko ya kijamii

  Mh Rais anasema "waache kuwekeza kwenye majengo na badala yake wawekeze kwenye viwanda". Anasema pia angetamani mifukoi ya kijamii ianze kuagiza sukari! Haya ameyasema akiwa Arusha lakini hilo la viwanda alilisema pia Dar alipokuwa akifungua Daraja la Nyerere. Lakini ni vema tukahoji mapema haya...
 4. SMU

  Ushairi: Karibu mabadiliko

  KARIBU MABADILIKO Nawasalimu kwa hamu, wabara na visiwani Mimi malenga adimu, najitosa shehereni Sherehe hii adhimu, nikikosa nitafuteni Karibu mabadiliko, hongera watanzania Yalianza mafuriko, wakayabeza Lumumba Ufipani kwa muamko, wakageuza ndio mwamba Wakajenga mitiririko, sisiemu wakaita...
 5. SMU

  Maoni kuhusu Katiba - "Takwimu za Warioba"

  Ndugu zangu, Watanganyika, Wazanzibari na Watanzania. Mara baada ya hotuba ya Mh Jaji Warioba kwa Bunge Maalumu La Katiba, kumekuwepo na malalamiko, mashaka au tuseme manung'uniko kutoka kwa watu mbali mbali (akiwemo Rais wetu) juu ya takwimu ambazo tume ya Jaji Warioba imezikusanya na...
 6. SMU

  Muundo wa Muungano au Mambo ya Muungano?

  Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa mchakato huu wa kuandika katiba mpya (kubadilisha katiba) ungetakiwa uanze kwa mjadala wa kitaifa na kisha kura ya maoni - referendum- (badala ya tume kukusanya maoni) juu ya uwepo wa muungano wenyewe na mambo ambayo tunataka kuungana/kushirikiana. Lakini...
 7. SMU

  Nina ma-stress - Niende wapi jioni ya leo?

  I wanna dance with some body! Natafuta mrembo wa kwenda nae! :heh::heh: [/video]
 8. SMU

  Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

  Naangalia jedwali katika aya ya 132 ukurasa wa 120 wa houtuba ya bajeti (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/HOTUBA%20YA%20SERIKALI-BAJETI.pdf). Matumizi ya Kawaida (katika mstari "G") ni shilingi 2,574,949 milioni na yale ya halmashauri ni shilingi 04,549 milioni. Naamini namba hizo hazipo...
 9. SMU

  Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

  Asante sana StarTv Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE updates: Simba 1 - Yanga 1 - Goli la simba limefungwa dk ya 4 na Mchezaji Amri Kiemba, Goli la Yanga limefungwa na Bahanuzi katika dakika ya 65 ya mchezo kwa njia ya penalty Redcard: Dakika ya 80, yanga sasa wanacheza 10 uwanjani...
 10. SMU

  'Kazi na dawa' - Kanda Bongo Man

  Hivi huyu jamaa (Kanda Bongo Man) aliishia wapi? http://www.youtube.com/watch?v=LtkxBfClF-E Congo - Kanda Bongo Man Live II - YouTube Kuanzia dakika ya 3.30 kuna dada anakata mauno ya hatari! - haya mauno yanaishia jukwaani tu ama?
 11. SMU

  The 11th Husband....

  A young man married a beautiful woman who had previously divorced 10 husbands. On their wedding night, she told her new husband to "Please be gentle; I'm still a virgin". "What?" said the puzzled groom. "How can that be if you've been married ten times.?" "Well, husband#1 was a Sales...
 12. SMU

  Don't Panic, no matter what the problem is!!!

  One day a man was sitting in his office on the 19th floor of a building. A man came running into his office and shouted, “John, your daughter, Anna, just died in an accident right opposite this building" The gentleman was in panic. Not knowing what to do, he jumped out through his office...
 13. SMU

  Brithday ya February 29 - Utata!?

  Tarehe 29 February ('leap day'), ni tarehe inayojitokeza katika baadhi ya miaka tu (i.e. miaka inayogawanyika kwa 4 lakini isiyogawanyika kwa 100 - ukiacha ile inayogawanyika kwa 400). Sasa kwa watu waliozaliwa February 29, wanasherekea vipi siku zao za kuzaliwa katika miaka ambayo haina...
 14. SMU

  Tahadhari: 'Wamasai' eneo la maegesho la Mlimani City Mall

  Tofauti na ilivyokuwa mwanzoni, katika siku za hivi karibuni nimeanza kuona wamasai (au pengine niseme vijana wa kiume waliovalia lubega!) wakizunguka huku na kule kutafuta wateja wa 'biashara zao' katika eneo la kuegeshea magari la Mlimani City Mall. Inawezekana pengine wamewekwa hapa kwa ajili...
 15. SMU

  Salute kwa First Lady?

  Hii imekaaje?
 16. SMU

  Confession!

  Hii imekaaje!?
 17. SMU

  "Quantum Computers"

  Quantum computing device hints at powerful future By Jason Palmer Science and technology reporter, BBC News, Dallas Although comparatively small, the system's "scalable" architecture speaks to a bigger future One of the most complex efforts toward a quantum computer has been shown off...
 18. SMU

  Largest passenger plane in the world!

  Largest passenger plane in the world, Lufthansa Flight 400, makes inaugural flight to New York City BY David Handschuh DAILY NEWS STAFF WRITER Saturday, March 5th 2011, 4:00 AM Handschuh/News A Daily News photographer was among 525 passengers on a tour of the luxurious Airbus 380, the...
 19. SMU

  Mikopo Elimu ya Juu - Nini kifanyike kuiboresha?

  Nimeona kwenye baadni ya magazeti ya leo tume inaomba wananchi na wadau wa elimu ya juu kwa ujumla kuchangia mawazo ya namna ya kuboresha utoaji wa mikopo wa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hapa nchini. Naamini humu pia tumo wadau wengi, hebu tujaribu kutumia angalau dakika chache kutoa...
 20. SMU

  Elimu ndogo inachangia shinikizo la damu!?

  Nimeiona hii kule BBC news: Education reduces blood pressure Higher levels of education have been linked to lower blood pressure Despite exam stress, a long stint in education is good for people's blood pressure, according to researchers in the US. High blood pressure, or...
Top Bottom