Search results

 1. jooohs

  Hivi UDSM kunautaratibu wa kufanya late application, masters degree?

  Naombeni kuuliza kitu wakuu, nimebahatika kupata mtu ambae amekubali kunilipia gharama za masomo postgraduate. Kwa vile sikuwa nimejiandaa ,nimekuja gundua deadline kwa october intake imeshapita, sasa nilikuwa na uliza, Kuna utaratibu wowote ninaweza kufanya nikajiunga na masomo kwa huu mwaka...
 2. jooohs

  Naomba kujuzwa route rahisi kutoka Goba kwenda Kigamboni Ferry kwa daladala

  Habarini ndugu. Niko Goba naomba kupata msaada wa route yenye unafuu kufika Kigamboni Ferry. Natanguliza shukrani
 3. jooohs

  Biashara ya bucha la samaki, nyama na kuku naweza kupata 60,000/= kama faida kwa Dar es Salaam?

  Ndugu wana JamiiForums nimekuja kwa mara nyingine kuomba ushauri kuhusiana na biashara ya bucha. Huu mwaka ni mpango wangu wa kuongeza biashara nyingine ili kukabiliana na ukali wa maisha. Ukiachilia mbali biashara ya nafaka ambayo hadi muda huu nakomaa nayo wazo la kwanza nililokuwa nalo ni...
 4. jooohs

  Hii inasikitisha, yaani kiwanda kikubwa kama hiki kinalipa Watanzania Tshs. 3800 kwa siku!

  Wakuu ukoloni bado upo, hawa wahindi sio watu kabisa. Hivi kweli mfanyakazi anafanya kazi masaa 12 halafu unamlipa 3800 sasa hiyo pesa atafanyia nini. Kwa kweli mtaani hali ni mbaya kama kweli tungekuwa uchumi wa kati hakuna mtanzania angeenda kufanya kazi kwa hao mashetani. Cha kushangaza...
 5. jooohs

  Wazazi kuweni makini sana na hawa Mabeki tatu angalia walivyoharibu maisha ya Zungu

  Natumai wote muu wazima, pia tusisahau kuchukua tahadhari juu ya covid 19. Ok ,leo wakati naendelea na harakati zangu za kutafuta ugali wa kila siku, ghafla nikaono ujumbe kwenye simu yangu, bro huku kijijini life limekuwa gumu naomba nisaidie elfu tano nitashukuru sana. Hapo mawazo...
 6. jooohs

  Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

  Unajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4 failure, waliobahatika kupata vijikazi, wanatuona kama wajinga, wazazi jamii inayotuzunguka wote...
 7. jooohs

  Hii imekajee wadau? Mguu wa kushoto umekuwa kiashiria cha jambo baya litakalonitokea

  Naomba wadau kama kuna mtu anauelewa wa jambo kama hili anisaidie jinsi gani nitalitatua Imekuwa sasa kwa miaka mingi kila nikijikwaa mguu wa kushoto baada ya muda kidogo lazima jambo baya linitokee. Hata kama ni mchongo wa pesa nilikuwa nategemea nikijikwaa tu mguu wa kushoto najua siwezi pata...
 8. jooohs

  Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

  Natumai wote mnaendelea poa na miangaiko ya hapa na pale. Wataalam wa mambo wanasema umri wa kufanya makosa na kujifunza vitu mbali mbali ni ule ambao bado mtu yupo kijana maana ni umri ambao unaweza kusahihisha makosa na kurudi kwenye mstari Kwakweli mimi kama kijana kuna makosa mengi sana...
 9. jooohs

  'Mzee mtoto' mbabe aliyetutesa sana lakini mwisho wake ulikuwa mbaya sana

  Kama ambavyo kumewahi tokea wababe katika sehemu tofauti tofauti kwa watoto wa mjini, kwenye migodi mikubwa, wazee wa connection, makundi ya wababe, ubabe wa kutumia pesa, makundi ya wauzaji wa madawa ya kulevya Ubabe huo huo ndio Ulikuwa unafanyika sehemu nyingi za vijijini sema tu, kusambaa...
 10. jooohs

  Nimefanikiwa kumjengea mama yangu nyumba kabla ya birthday yangu ya miaka 24 mwaka huu

  Niseme tu haya maisha nilianza kuyaona machungu sana punde tu nilipo anza darasa la kwanza, nakumbuka ilikuwa 2003 . Mara ya mwisho kumuona baba yangu mzazi ilikuwa ni siku aliyonipeleka kuniandikisha shule hadi leo naandika hapa sijawahi kumuona tena. Huyu baba yangu aliondoka kwenda nchi za...
 11. jooohs

  Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

  Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila nikikumbuka nabaki kulia tu. Wakati naripoti shuleni nilikuwa nimechelewa kidogo baada ya kufika pale...
 12. jooohs

  Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana umri miaka 23 nimehitimu chuo mwaka huu .lakini kutokana na changamoto za ajira vijana wengi tumekuwa tukitafuta njia tofauti tofauti za kutokea ilimradi tupunguze ukali wa njaa iliyoko mtaani. Kifupi wakati nilikuwa nasoma nilikuwa na hofu...
 13. jooohs

  Jinsi nilivyo teketeza kiwanda kisa mgogoro wa ardhi

  Yaani ilifika wakati maisha yaka nivuruga tena haswa pesa sina ,shule haipandi nikakata kabisa tamaa ya maisha. Nyumba tuliokuwa tunaishi ilikuwa ni ndogo sana ,juu ilikuwa na paa la nyasi, halafu ilikuwa na vyumba viwili tu kimoja mimi na mdogo wangu, kingine mama yangu na kidogo changu...
 14. jooohs

  Sitosahau niliponusurika kuchomwa moto tulipoenda kuiba mimi na rafiki zangu

  Katika haya maisha sisi kama binadamu tunapitia changamoto nyingi sana ,zipo changamoto za magonjwa ,umasikini, ukosefu wa ajira ukosefu wa pesa ,mapenzi nk. Kila mtu ukikaanae na kumsikiliza atakwambia changamoto inayo msumbua au iliyowahi kukutananayo. Kunachangamoto zinazotatuka na nyingine...
Top Bottom