Search results

 1. Huihui2

  Sukari ya Uganda sawa, korosho zetu vipi? Kwa hiyo jibu la waziri lilikuwa nonsense!

  Hakuna unachojua nenda kakojoe halafu kalale. Pimbi hanithi wewe
 2. Huihui2

  Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

  Tusubiri Azam Sugar ianze ndiyo tuone hayo unayosema. Waziri unaanzaje kulaani nchi za Zambia, Malawi na Uganda wakati ndiyo wateja wako wakubwa wa Bandari? Diplomasia ya biashara na ushirikiano wa kikanda inaruhusu hiyo mentality ya Waziri?
 3. Huihui2

  Sukari ya Uganda sawa, korosho zetu vipi? Kwa hiyo jibu la waziri lilikuwa nonsense!

  Korosho na mbaazi aliharibu yule mwendawazimu tuliyemzika Chato tarehe 27/ 03/ 2021. Alipomvuruga Yusuf Manji kuna watu walishangilia ila wakasahau kuwa Manji anaajiri watanzania 3,000 wanaopata mshahara moja kwa Moja na zaidi ya 500,000 kwenye value chain ya biashara ya mbaazi na vitu vingine...
 4. Huihui2

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Shida iko wapi Rais kupondwa na Waziri? Watu wanawaponda hata mitume wa Mungu, Yesu Kristu na Mtume Muhammad na bado dini hizi zina wafuasi wengi tu, sembuse ya Rais Samia? Let us be serious na tunayopost, mengine ni trash tu
 5. Huihui2

  Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

  Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85...
 6. Huihui2

  Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

  Hata kama PM Majaliwa angehamishia makao yake Mbeya au huko Tukuyu unakoishi wewe Lole Gwakisa hutapata impact yeyote zaidi ya kupigwa king'ora. Majaliwa ni debe tupu hana impact ya chochote
 7. Huihui2

  Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

  Said Kubenea kaamua kutoka na namba 5.Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
 8. Huihui2

  Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

  Kalamu1 jaribu kusoma upya ukichoandika hapa naona kuna contradictions. Unasema husomi na still unafanya argument na mada uliyoidharau. Walioiponda mada wala hawa comment, kwa ku comment inadhihirisha umeisoma, umeelewa na umekuwa provoked.
 9. Huihui2

  Kuna uwezekano mkubwa miradi ya SGR na Stieglers' Gorge isikamilike

  Mkuu Gambino nimesoma maono yako ya April 2020, naona ulipita mulemule. Japo miradi haijasitishwa ila mikopo imeongezeka na kasi ya kujenga imepungua
 10. Huihui2

  Asilimia 66% ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Umeme yaenda kwenye Mradi wa Stiglers. Je, imekaaje kiuchumi?

  Naziona dalili zote za JNHEPP kuwa white elephant kama ulivyoona
 11. Huihui2

  Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

  Wacha kupotosha watu. Magufuli alikuwa anaharibu Nchi kwa vitendo vyake VIOVU. Laiti angekuwa mtetezi wa wanyonge asingeiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na za uchaguzi Mkuu wa 2020. Mungu alijuwa na ALIKASIRISHWA na UFEDHULI wake ndiyo akaamua kuikomboa Tanzania kutoka kwa Shetani...
 12. Huihui2

  Watanzania zindukeni, Taifa linazama

  Kwani wanaotawaza matako ya wazungu huko ulaya na Amerika mnaowaita wapiga box wana tofauti gani na vijana wa hapa Tz?
 13. Huihui2

  Watanzania zindukeni, Taifa linazama

  Come with a counter argument and not a sweeping statement, it is the principle of great thinkers. Other wise you are just a mediocre mind
 14. Huihui2

  Lundo la Watu lamshangilia Freeman Mbowe Mahakamani , Neno Mwamba latawala

  Kwa hiyo Ukonga Maximum Prison na Mahakama ya pale Law School ni nchi?
 15. Huihui2

  Watanzania zindukeni, Taifa linazama

  Mfumuko wa bei utauzuiaje kama hujishirikishi na uchumi? Mumekalia politicking tu badala ya uzalishaji. Theory ya Economics inasema inflation hutokea panapokuwa too much money chasing too few goods. Tokeni kwa Shemeji zenu nendeni mkafanye kazi!!
 16. Huihui2

  Rais Samia aduwaza wachumi nchini

  Kila mmoja ashinde mechi zake. Usimpangie mtoa thread. Nyie mlioamua kuponda endeleeni, wanaosifia nao waache wasifie. Mwisho wa siku wananchi watapima kati ya Sukuma Gang na hao wasifiaji nani mkweli
 17. Huihui2

  Lundo la Watu lamshangilia Freeman Mbowe Mahakamani , Neno Mwamba latawala

  Wasela wameambiwa kuna maji na mihogo na mayai ya bure, unategemea wasiende? Hiyo inaitwa pasi ndefu
 18. Huihui2

  Watanzania zindukeni, Taifa linazama

  Kama hujishughulishi na shughuli yeyote ya kiuchumi lazima utaona nchi inazama, kumbe unazama wewe binafsi. Tumia muda wako kutafuta pesa, uana harakati wa ki CHADEMA unakupotezea muda tu
 19. Huihui2

  Kiukweli Kuna Baadhi ya Watu, Mavazi Fulani au Uniformu Flaniflani, Zinawatoa Sana, Zinawapendeza, na Wanatokelezea. Shuhudia Wanavyopendeza!.

  Unamcheka aliiyelegea macho, je wewe uliyelegea pumbu tukuweke kundi gani Trillion ?
 20. Huihui2

  Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

  Mpumbavu sana huyu Dada Suzy Elias, nashauri iwapo next week kutakuwa na mafuta nchini, Mimi nipigwe "ban" ya milele. Ila iwapo mafuta yatakuwapo basi Suzy Elias Apigwe ban yeye. Halafu aje na ID nyingine Hana cha kuandika zaidi ya January, TANESCO, Mafuta
Top Bottom