Search results

 1. raoka kubanda

  Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

  Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
 2. raoka kubanda

  Wenzangu mnafanikiwa kufanya application NACTE?

  Wenzangu nyie hali ikoje mnafanikiwa kufanya application NACTE?
 3. raoka kubanda

  Msaada wa kupata joining Instruction Chuo cha Mipango Mwanza

  Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
 4. raoka kubanda

  NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI WADAU

  nahitaji msaada kuhusu vyuo vizuri vya serikali vinavyotoa kozi ya secretarial. na je naweza kufanya application kwa mwezi huu au muda bado
 5. raoka kubanda

  WATU WA IT NA WENYE UELEWA KUHUSU COMPUTER NAOMBENI MSAADA KATIKA HILI

  naoma kuuliza kuhusu software iitwayo GSM FLASHER TOOL ufanyaji kazi wake hitaji langu katika program hiyo ni kuflash cmu...
 6. raoka kubanda

  Naombeni msaada kuhusu hili tangazo la RITA

  Nataka kuuliza kwamba kwa waombaji wa mikopo tunaoishi vijijin/maeneo yasiyokuw na huduma za kibenki je kuna namna ya kufanya malipo kwa njia ya simu
 7. raoka kubanda

  Jinsi gani naweza kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160?

  Naomba msaada kuhusu jinsi ya kucrop passport size iwe na ukubwa wa 150x160 ili niweze kui apload bodi ya mikopo. Tafadhali naomba nisaidiwe kwa hilo kwa yeyote mwenye uwelewa kuhusu hilo.
 8. raoka kubanda

  Natafuta joining instructions ya Dakawa teachers college

  Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku zinaenda sijapigiwa simu....wala mawasiliano ya aina yoyote. Mpaka hivi karibuni nilipoamua kutafuta namba...
Top Bottom