Search results

 1. Jana Ulirudi Usiku

  Namchukia mzee wangu-Muendelezo

  Wazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia. Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee. Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata...
 2. Jana Ulirudi Usiku

  Acheni kumbeza Mzee wa Msoga

  Salaam! Msema kweli mpenzi wa Mungu, hivi nyie mnaosema eti jiwe alikuwa akimtukana hadharani mzee wa Msoga, ni wapumbavu? Bila Mzee wa Msoga(MS), Jiwe angekuwa Rais? Alikuwa na uwezo wa kukata jina lake kwenye list ya watia nia kwani alikuwa mwenyekiti wa chama, ila halufanya hivyo. Je, mbona...
 3. Jana Ulirudi Usiku

  Namchukia mzee wangu!

  Nimezaliwa katika familia ya kawaida tu iliyokidhi mahitaji ya msing mwaka 1988. Baba yangu alikuwa mwalimu ila baadaye akaacha bila kutoa sababu za msingi. Sababu yake kubwa ninapomuuliza ni "walikuwa wakinionea wivu na walikuwa wananiroga hasa mkuu wangu wa kazi". Huwa nachukia nikisikia...
 4. Jana Ulirudi Usiku

  Usicheke sana na mdogo wako wa kike utakuja kunishukuru

  Mdogo wa kike ni ndugu mzuri tu, naongea hiki nikiwa na ushahidi. Ukicheka sana na kuleta mazoea kwa mdogo wako wa kike, hatokuheshimu kamwe. Ataleta wanaume hapo kwenu na atawakalia vichwani wote. Kuna siku kaka yangu aliambiwa "hebu acha ufala, acha kumnyanyasa huyo mfanyakazi", kisa chenyewe...
 5. Jana Ulirudi Usiku

  Kumbe hawa wanawake hupewa hizi sumu za kuua taratibu na mama zao na bibi zao

  Hatupo salama hata kidogo! Juzi kati nilifuma post poja huko FB ya mwanamke akitoa lawama na kuomba ushauri kuhusu kuchelewa kurudi, kifupi ni kupishana kauli na mumewe. Jamani wanaume! Masikini sisi! Kuna mmoja akamuambia kuwa 'mtafute bibi yeyote au mama yako na umuambie akupe sumu inayoua...
 6. Jana Ulirudi Usiku

  Swali kwa wanawake TU! Nasisitiza

  Hivi wewe mwanamke au binti, ambaye umeolewa au upo kwenye mahusiano: [emoji116][emoji116][emoji116] Hivi wewe ikitokea mumeo anataka kukuua na anakupiga kiasi cha kutaka kuutoa uhai wako, je, utajiteteaje? Ni sehemu ipi ya mwili wake akikaa vibaya utashughulika nayo ili kujiokoa? Karibuni...
 7. Jana Ulirudi Usiku

  Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

  Habarini, Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso). Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika...
 8. Jana Ulirudi Usiku

  Sijapenda watu wanavyo-underrate Wamasai

  Hello, Kuna thread nyingi sana humu Jamii Forums nimeona Wamasai wakikejeliwa mno kwa kuitwa washamba, hawavai nguo za ndani na mengine mengi. Hii ni mitazamo ya kibaguzi na potofu kabisa. Binafsi sipendezwi na tabia za kuwadhalilisha Wamasai na ninapendekeza zikomeshwe. Stop shaming them...
 9. Jana Ulirudi Usiku

  Nimeelewa kwanini unatakiwa kumheshimu mkeo sana

  Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu. Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu au kukunusisha dawa za kukuua, ukiwa usingizini utapona? Jibu ni hapana! Tuwaheshimu wake zetu, wana...
 10. Jana Ulirudi Usiku

  Yaani wanawake wanahangaika kuiondoa nyie mnaikubali!

  Daaah sisemi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf bhana!
 11. Jana Ulirudi Usiku

  Hawa ni wageni wa kusini? Wana traits za ajabu!

  watu hawa ni warefu ila ni wakazi na wazawa wa Masasi, si Wamakonde ila jina limenitoka, ni wasomi na ndio wanaoupaisha mkoa wa Mtwara. Sio wafupi kama Wamakonde, na wana sura ndefu na weusi chini ya macho. Kabila lake na Mkapa sijui akina nani. Wengi wapo kama Wamasai kwa sura na mionekano...
 12. Jana Ulirudi Usiku

  Wanawake wa kitanzania baadhi ni wajinga.

  Hello! Kauli hizi za 'vipi ukifa nitaishi vipi na watoto?' na nyinginezo mara nyingi hutamkwa na wanawake wachche ambao wanajua mwanaume ni LAZIMA atawahi kufa. Mbona Ulaya hatuoni? Tazama Bush, Obama na wengineo wengi tu, kuna shida gani huku kwetu? Yaani wake za Marais wote wapo hai, wanaume...
 13. Jana Ulirudi Usiku

  Hivi unaweza kumvumilia mpenzi wako kwa hili?

  Hello, Kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno". Je...
 14. Jana Ulirudi Usiku

  Umewahi kulia kisa kusemwa na mkeo/mpenzio?

  Wanajamvi! Hivi umewahi ku-experience kulia kisa tu mkeo amekusema kuhusu kitu fulani? Au amekukanya kama mama amkanyavyo mtoto wake? Tuelezane ilikuwaje?
 15. Jana Ulirudi Usiku

  Msiwalaumu Wakurya kwa kupiga wake zao

  Jamani kumbe wanawake wana maneno ya kuudhi na shombo kiasi hiki? Ipo hivi leo bro kapishana kauli na msichana fulani, msichana[emoji116] "Tusileteane ujinga hapa, hivi hunijui eeeh? Yaani unalalamika ujinga ujinga tu hapa". Nikaona kama ni mimi nimeambiwa vile, yaani khaaaa! Jamani wanawake...
 16. Jana Ulirudi Usiku

  Je, mademu oversize(wakubwa kuliko wewe) watamu?

  Hello, natumai mko poa, katika umri wa ujana je, ulishawahi kulala na mademu waliokuzidi umri? Ilikuwaje? Wengi wanasema ni watamu mno. Je, kuna ukwelo katika hili?
 17. Jana Ulirudi Usiku

  Utafanya nini ukijua hela zako anatumia mwanaume mwingne?

  Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week na kodi unalipa. Je, siku ukigundua kuwa huyo pisi kali ana mtu ampendaye ambaye hatoi hata 100, ila...
Top Bottom