Search results

 1. JMipicha

  Unyama ndani ya Bongo Action Movie

  Habari wanaJF Mimi ni actor chipukizi wa bongo action movie na kutokana na sanaa kushuka nimeona tuje kivingine tena kutokana pia na movie kukosa ubunifu na kila siku movie za mapenzi na uchawi nimeona nitengeneze short film ambayo ni hii hapa click link upate kuiona YouTube na pia ningependa...
 2. JMipicha

  KUBALI WITO KATAA MANENO WANAWAKE

  Habari wana Jf naimani mko powa . Haya mambo hayajawahi nitokea ila huwa nayaona sana yanatokea katika maisha ya kila siku hasa kwa upande wa wanawake. Leo nilikuwa nimekaa mahali ghafla akapita bi dada mmoja akaenda kama mita chache nyuma kuna jamaa alikuwa anamuita .Yule bi dada alimgeukia...
 3. JMipicha

  Naombeni wapewe ulinzi na sanamu wajengewe

  Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote. Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulinzi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi. 1. Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpaka uwape mwenyewe ) 2...
 4. JMipicha

  Bongo action tunakuja kwa moto

  Habari wana JF Leo ningependa ku share na nyie hivi unadhani kwanini bongo movie zetu bado tunasitasita japo kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya mambo .. Embu chek hii clip alafu niambie[emoji116] BONGE LA MOVIE KUTOKA BONGO LAND CLICK LINK[emoji1369] Natumaini ndani ya muda mchache...
 5. JMipicha

  Wanawake watu wazima na wake za watu wanaonga kiwango cha sgr

  Habari wana JF Niende kwenye maada hawa wake za watu na wamam watu wazima wanaonga kiwango cha SGR Nina experience kwenye hili Kwahiyo nawasihii vijana mnaopigwa vizinga deile hamieni upande wa pili mje kula mema ya nchi .. Uzi tayari...
 6. JMipicha

  Ushauri: Jinsi ya kuwaonya watoto waache tabia ya kujaribu kufanya mapenzi

  Habari wana Jf naimani mko powa sana... Niende kwenye mada mmoja kwa moja. Hii imetokea leo bi dada karudi nyumbani kutoka katika mishe zake. Kakuta mtoto wake wa kike umri miaka 8 na mtoto wa mdogo wake umri nae miaka 8 wakiwa wamejifunika uku wa kike akiwa kashusha chu**p . Kashikwa na...
 7. JMipicha

  Punguza wivu kwenye mahusiano

  Habari wana JF nina imani mko powa powa sana. Nyungu muhimu sana . Twende kwenye mada mmoja kwa mmoja .. Wanaume kwa wanawake punguzeni wivu wa kijinga katika mahusiano maana Matokeo ya wivu huo ni mbaya Unakuta kila saa unampigia simu mkeo au girl friend wako kila saa una mtext kama...
 8. JMipicha

  Mwanamke akijua una mcheat lazima arudishe majeshi

  Habari wana Jf Niko powa naimani mko powa pia katika kukimbiza uchumi wa kati na life lisogee tufe. Iko hivi wanawake wa siku hizi mambo mengi ikiwapo na mitandao na lifestyle imechange basi wamevurugwa. Kuna siku nilikuwa na bi dada Tunapiga story sasa katika mazungumzo akaniambia kwamba mme...
 9. JMipicha

  Vitambi kwenye mahusiano ni changamoto

  Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao .... On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume wenye vitambi na minyama uzembe sema tu ndio waume zao watafanyaje ila vinatoa kabisa mood ya...
 10. JMipicha

  Msaada: Mke wa mtu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?

  Habari wana JF naimani mko powa na majukumu na harakati za kusaka tonge zinasonga ... Niende moja kwa moja kwenye story. Huyu bi dada tulikutana maeneo katika harakati za maisha tukatokea kubadilisha number. Tukawa tunachat na tukafahamiana sana. Ila huyu bi dada katokea kunielewa na kunipenda...
 11. JMipicha

  Mkeo asije gym kama una wivu

  Naimani mko powa ssana watu Bad na masista duuh na bi wakubwa shikamonni Uzi unaanza Wiki kama mbili zimpita kuna mke wa mtu katokea pande ambko nafanyia kzi me ni gym trainer sasa huyu bi dada tumekuwa zaidi ya marafiki yaan undugu ananisaidia kwenye mambo mengi tu sasa mume wake naskia ana...
 12. JMipicha

  Mwendokasi ilivyoteketea Magomeni leo

  Jumapil tulivu nikiwa napita Magomeni. Chanzo cha kuteketea kwa hizi mwendokasi full video
 13. JMipicha

  Youtubers tukutane hapa

  Habari wana tech? Mimi ni miongoni mwa youtuber chipukizi. Nilifungua account kwa ajili ya mipango yangu tu ya kufundishia watu mambo mbalimbali.Japo bado haijakidhi vigezo vya Youtube ili nilipwe ila napambana. Nilikuwa nataka fans ambao ni youtuber ili tupeane uzoefu kwenyee hili pia tu...
 14. JMipicha

  Unfriend Facebook friend kwa one click

  Kama unataka ku unfriend Facebook kwa wana click nicheki nikupe njia rahisi ya kufuta marafiki zako wote ki urahisi kabisa WHATTSUP me 0752446155
 15. JMipicha

  Wadau wanaopenda Photography, Editing, Graphics tukutane hapa

  Habari ndugu zangu Mimi Nina mpango wa kununua camera nilikuwa nataka mnijuze camera’s gani ya bei rahisi kwenye kampuni ya Nikon ambayo ipo vizuri kwaajili ya photography. MAJIBU YENU PLZ NA KAMA UNA SWALI ULIZA PIA?
 16. JMipicha

  Msaada jeans kali za mtumba soko gani zipo kwa wingi

  Natumani hamjambo wadau Nahitaji mtu anayejua soko gani lililopo Dar wanauza jeans za mtumba kali kwa bei nafuu ukiacha Kariakoo,Manzese.
 17. JMipicha

  NATAFUTA MARAFIKI WANAOPENDA FITTNESS

  Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE Location Dar es salaam WHATTSUP 0752446155
 18. JMipicha

  Acha punyeto ni pepo mchafu atakuchakaza na kukuua masikini

  Habari wana Jf Ni muda sasa tokea nilipotoka kwenye kifungo cha pepo mchafu na muuaji wa maisha yaan ni silent killer namshukuru mungu Mwaka jana niliposti Uzi KUOMBa msaada juu ya kujitoa kwa huyu pepo wengi walileta mdaha na masihara mengi wachache walinipa iman na jinsi ya kuepuka huyu...
 19. JMipicha

  Mwanamke anapenda ubabe sio mayai mayai

  Habari wana JF Katika viumbe ambao nawasoma saikolojia yao iliyowashinda wanasayansi ni mwanamke.kwanza kabisa 1. Mwanamke hajui anataka nini hapa duniani 2. Anapenda sana wanaume wababe na wakatili 3. Anapenda zawadi ndogondogo 4. Biblia imeandika tuishi nao kwa akili 5. Anaweza kukupenda ama...
 20. JMipicha

  Punyeto ni pepo mchafu...

  Katika maisha addiction iliyonisumbua kuacha ni masterbution na porn ila nimejitahidi kwa kiwango kupunguza na wenzangu mmewezaje ?
Top Bottom