Search results

 1. Step by step

  Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

  Habari ndugu, kwanza nikupe pole na pongezi maana kama mpaka sasa hivi bado uko ndani ya ndoa basi huo mtihani umeshaushinda kaa tulia. Fahamu kuwa hata ukisema uachane n huyo bado uendapo hutompata mkamilifu badala yake pengine ukaingi kwenye majanga kuliko hayo ya sasa. Mwanaume akishakuoa na...
 2. Step by step

  Msaada: Nimehamisha fedha kutoka Benki kwenda M-Pesa yenye makosa, nifanye nini?

  Hapa wanaotakiwa kukusaidia ni watu wa bank maan pesa imetoka kwao kwenda kwenye mpesa hivyo wenye uwezo wa kureverse muamala ni hao wa bank
 3. Step by step

  Msaada: Nimehamisha fedha kutoka Benki kwenda M-Pesa yenye makosa, nifanye nini?

  Kimbia kwenye vodashop iliyoribu nawe wataizuia hiyo pesa na itarudi kwako baada ya muda
 4. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Shukrani sana, japo sijajua itachukua muda gani kurudi kuichimbia na kuunganishiwa umeme maan hapo unaweza ambiwa hakuna mita
 5. Step by step

  #COVID19 Dalili tatu hatari za Covid-19

  Covid hiwezi kustahimili joto tunalolipitia
 6. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Hatimaye baada ya kulipia tar 3/9 leo nimeletewa nguzo wamesema watarudi siku nyingine kuichimbia na kuniunganishia. Dah yani mpaka huduma ikufikie unanyooka
 7. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Mkuu, Mlandizi ya Kibaha, wapo waliolipia tar 3/9/2021. Majibu tunayopewa ninkua tuwe wavumilivu bado wanapambana na foleni je tutegemee lini? Maana tar 3/9 mpqka leo ni zaidi ya two months and a half
 8. Step by step

  Kuna watu makatili kweli kweli; achoma paka moto akiwa hai

  Kwasababu hamjawahi kuwa na touch na mfugo mnaofuga ni rahisi sana kumlaumu mangi. Angalia hapo pembeni kuna kuku wake hana kifaranga hata kimoja halafu paka mwenyewe ki muonekano tu ni yale mapaka pori yasiyo na mwenyewe. Paka anaedokoa mboga anavumilika maana ni njaa lakini paka anaegeuza...
 9. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  TANESCO speed yenu iko down ongezeni nguvu kidogo. Nimelipia tangu tar 3/9/2021 hadi leo tar 8/11/2021 n inahitajika nguzo moja tu. Miezi miwili na zaidi ni mingi sana kwa shirika makini hebu fanyeni mpngo bana. N hii sio kwangu tu kuna urasimu kuanzia kupata control no n ukiipata bado unaingia...
 10. Step by step

  Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

  Aliyewaondoa kipindi kile amepewa adhabu gani? Au hawa wa sasa hawakuwepo kipindi wanaondolewa?
 11. Step by step

  Pepsi imepotea madukani

  Kunywa maji tu mkuu au juyce ya kutengeneza achana na hizo chemical
 12. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Dah we jamaa bn, tumia muda huu kujiandaa tu acha woga
 13. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Mimi nimelipia tar 3/9/2021 mpaka leo tar 2/11/2021ni miezi miwili net na kwangu panahitaji nguzo moja sijafungiwa umeme. Nilipata namba ya meneja nikampigia juzi amenambia kuwa kwa sasa foleni ilikua kubwa ndio wameanza kuhudumi wateja waliolipia mwezi wa nane niendelee kusubiri watanifikia...
 14. Step by step

  Matatizo ya akili

  Ndio nini na zinapatikana wapi mkuu
 15. Step by step

  Matatizo ya akili

  Asante mkuu
 16. Step by step

  Matatizo ya akili

  Mwenzangu unatumia njia gani kujinusuru? Mimi kuna baadhi ya ratiba na safari nimeamua kuji exclude tu. Yni ni ka hofu flani ambako kanakuja automatically. Ni kama kin nguvu flani inakuvut unajikuta ushavurugwa. Siamini kama ni ushirikin na sitaki hta kufikiria hivyo
 17. Step by step

  Matatizo ya akili

  Shukrani sana mkuu kwa kujali. Yani taarifa nyingine inakua ni ya kawaida tu wala sio ya kushtua, naipata naenda zangu kulala nikipanda kitandani usingizi hauji na tumbo linavuruga kitu ambacho hata sikielewi
 18. Step by step

  Matatizo ya akili

  Habari ndugu wajumbe. Kuna hali nimekua naipitia inanivuruga kabisa. Umri wangu ni miaka 35 jinsia ni ME, shida ni kwamba ninapokua na ratiba mpya au jukumu jipya au taarifa ya kushtua ninapoipata tu afya inayumba kwa dalili zifuatazo. 1. Sitapata usingizi yani usiku hadi panakucha. 2. Napata...
 19. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Mteja mpya, nimelipia tar 3/9/2021 na leo ni 26/10. Natambua kuna foleni lakini ongezeni speed kidogo giza linatesa jamani
 20. Step by step

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Kuna kitu kinanishangaza hapa, idadi kubwa ya wateja surveyor amefika ila wanazungushwa kupewa control no. Ukiripot hapa na kutoa taarifa sahihi ndani ya siku tatu tu unapigiwa simu ukachukue control no n kuombwa radhi kwa kucheleweshewa. Wito wangu kwa tanesco, hii inaonyesha wazi kuwa huko...
Top Bottom