Search results

 1. Sandiego

  Printa za HiTi P525L

  Nimenunua machine hizi Sasa ninazo 3. Kwa biashara za studio ni nzuri kwasababu zinatoa picha zenye kiwango Sana. Picha haipauki kaza zile za Epson Wala kuchanika. Tatizo hizi mashine baada ya muda Kama miezi miwili au 3 zinaanza kuweka mistari kwenye picha. Yaani picha inatoka na mistari Kama...
 2. Sandiego

  Zitto Kabwe akosoa Serikali inavyokabiliana na janga la COVID-19

  Kiongozi wa chama cha upinzani - ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema ikiwa watu hawatafuata miongozo inayotolewa na Shirika la Afya Duniani kuna hatari ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virus vya corona kusambaa kwa haraka kote nchini. Katika mahojiano siku ya Alhamisi Kabwe...
 3. Sandiego

  Shirika la Afya Dunia (WHO) laonya safari bado ndefu katika mzozo wa virusi vya Corona

  Shirika la afya duniani WHO, limeonya kuwa mzozo uliosababishwa na janga na virusi vya corona hauna dalili za kuisha hivi karibuni, likisema mataifa mengi ndiyo kwanza yako katika hatua za mwanzo za mapambano, huku idadi rasmi ya vifo duniani ikipindukia 180,000. Wakati baadhi ya mataifa...
 4. Sandiego

  Papa Francis autolea mwito Umoja wa Ulaya kuwa na mshikamano kukabiliana na athari za COVID-19

  Papa Francis leo ameutolea mwito Umoja wa Ulaya kubaki na mshikamano katika kukabiliana na athari za janga la virusi vya Corona. Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani ametowa mwito huo siku moja kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaojadili mpango mkubwa wa kiuchumi. Janga la...
 5. Sandiego

  Afrika Kusini: Rais Ramaphosa atangaza mpango wa uokozi uchumi

  Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mpango wa uokozi wa dola bilioni 26 kuupiga jeki uchumi na kusaidia jamii masikini zilizoathirika na janga la virusi vya corona. Akilihutubia taifa usiku wa kuamkia leo Ramaphosa amesema athari za ugonjwa wa COVID-19 zinahitaji bajeti maalum na...
 6. Sandiego

  Virusi vya Corona: Jimbo la Missouri laipeleka China mahakamani

  Missouri limekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kuishitaki serikali ya Uchina kwa namna ambayo imeshughulikia janga la virusi vya corona. Mashtaka hayo yanakuja wakati ambao kuna ongezeko la matukio ndani ya Marekani kuinyooshea vidole vya lawama China kuhusu janga la corona. Rais Donald...
 7. Sandiego

  Virusi vya Corona: Waandamanaji wataka marufuku ya kutokutoka nje iondoshwe Marekani kufungua uchumi

  Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'. Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya...
 8. Sandiego

  Mama wa mkoani aliyejifanyia upasuaji na kumtoa mtoto tumboni

  Sumbawanga: Kama kuna ujasiri, alichofanya Joyce Kalinda (32) mkazi wa kitongoji cha kalya kata ya kirando wilaya ya nkasi mkoa wa rukwa cha kujifanyia upasuaji mwenyewe na kutoa mtoto tumboni Mwanamke huyo ambaye huo ni uzazi wake wa nane pamoja na ndugu zake wamezungumza na gazeti la...
Top Bottom