Search results

 1. mzenjiboy

  Ipo haja Zanzibar nao wafungue ofisi za ZRB huko Tanganyika

  TRA ni taasisi inayokusanya kodi nchi nzima ikiwemo Zanzibar, na Zanzibar nayo ina taasisi yake ya kukusanya kodi kwa Zanzibar ambayo ni ZRB. Pesa zinazokusanywa na TRA kutoka Zanzibar hupakiwa kwenye boti ya mwisho inayoondoka Zanzibar na kupelekwa Tanganyika. Hii ikimaanisha ya kwamba...
 2. mzenjiboy

  Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Hivi kwa nini mawaziri wote wa Bara huitwa “Waziri wa Jamhuri ya Muungano” ijapokuwa wizara ya waziri husika huwa si ya muungano ?
 3. mzenjiboy

  Tigo wananisumbua na ujumbe wao

  Naomba kusaidiwa namna ya kusimamisha nambari za tigo zenye kuninyeshea ujumbe kila wakati. Ujumbe wao mara zote ni huo kwa huo “shiriki ili ushinde mamilioni”, “furahia siku yako na mapesa tele” na nyingi nyenginezo. Nambari zao ni 15572, 15562, 15663, 15305 na nyenginezo. Kila simu ikiingia...
 4. mzenjiboy

  Uzi wa kujifunza lugha ya Kiswahili

  Nimeona katika jukwaa la lugha kuna “English learning thread” yaani uzi unaohusiana na kujifunza lugha ya English. Nahisi itakuwa vyema wahusika wakaanzisha uzi mwengine wa kujifunza lugha ya Kiswahili kwa sababu humu JF kuna watu wengi lugha ya Kiswahili inawapiga chenga kwani tunaona...
 5. mzenjiboy

  Kufunda ina maana gani?

  Hili neno “kufunda” huwa nalisikia kutoka tv za kibongo sio zetu za hapa Ungujani, au pia kwenye magazeti. Maana ya neno hili kwa hapa kwetu kufunda ni kupiga kwa nguvu au kwa hasira lakini hii kufunda kwa kibongo lina maana gani ?
 6. mzenjiboy

  Je unamjua huyu nani ?

  Natumai memba wengi wa humu JF hawamjui huyu lakini mwana historia maarufu Sheikh Mohammed Said pamoja na Wazanzibari watakuwa wanamuelewa .
 7. mzenjiboy

  Leo ni miaka 57 ya Muungano

  Watanganyika na wa Zanzibar leo wanakamilisha miaka 57 ya muungano, hapa ningepaswa kusema ‘wanasherehekea miaka 57’ lakini sisemi hivyo kwa vile hakuna la kusherehekea katika muungano huo. Muungano wetu ni wa nguvu na wa kibabe yaani mukiutaka upo na msipoutaka pia utakuwepo. Na hii ni pale...
 8. mzenjiboy

  Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

  Asilimia kubwa ya wenye magari utaona vioo vyao ni black yaani huoni ndani yaani tinted. Gari iwe ndogo kubwa au hata lorry la mawe na mchanga nalo limo kundini mwa tinted, taxi nazo hazijasalimika, na wewe taja gari yoyote basi ni tinted. Na tinted kuna kwa kiasi kama vile 30% ambayo ina...
 9. mzenjiboy

  Ijumaa Mubarak

 10. mzenjiboy

  Raia wa Cameroon mbaroni kwa kukutwa na dola feki

  Raia wa Cameroon ametiwa mbaroni nchi za falme za Kiarabu (UAE) baada ya kukutwa na dola feki zenye thamani ya milioni kumi. Matapeli hayo wametajana na wote kukamatwa. Hapa nauliza suali : kwa nini picha za wahalifu hufichwa sura zao badala ya kuachwa wazi ili kila mmoja akamuona ?
 11. mzenjiboy

  Nataka kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari

  Napenda kujua kama Wema Sepetu ni Mzanzibari kwa sababu mzee wake (baba) alipofariki alipelekwa Zanzibar kwa kuzikwa.
 12. mzenjiboy

  Kuomba paspoti mpya : cheti cha kuzaliwa cha mama au baba ni lazima

  Nimekwenda uhamiaji kuomba pasi mpya baada ya niliyonayo kumaliza kipindi cha miaka kumi. Nimeambiwa kuanzia mwaka 2015 ukitaka kuomba pasi kwa mara ya kwanza au ukitaka kuomba pasi nyengine baada ya uliyonayo kumaliza miaka kumi huwa unahitajika kuleta cheti cha kuzaliwa cha mama au baba...
 13. mzenjiboy

  Ujumbe murua

 14. mzenjiboy

  Hii ni Mogadishu, Somalia

 15. mzenjiboy

  CCM ina wenyewe

 16. mzenjiboy

  India kutumika electronic visa

  India wamebuni utaratibu mpya wa kuomba visa ya nchi hiyo. Itakuwa kwa njia ya mtandao badala ya mtu kwenda ubalozini pale nchini mwake. Utaratibu huu umebuniwa ili kuwarahishia watalii pamoja na wageni wengine wanaokwenda nchi hiyo. Baada ya kutuma maombi yako kwa njia ya mtandao huchukua...
 17. mzenjiboy

  Qatar kuchezesha Africa Cup 2015 ?

  Radio DW imesema ya kuwa Morocco imegoma kuwa mwenyeji wa Africa Cup of Nations 2015 kwa kisingizio cha kuogopa raia wao kuja kuambukizwa na magonjwa ya Ebola. Kutokana na sababu hiyo nchi ya Qatar imesema wako tayari kuwa wenyeji wa dimba hilo ikiwa shirikisho la soka la Africa, CAF...
 18. mzenjiboy

  Burkina Faso:Jeshi lachukua mamlaka ya Nchi

  Habari za hivi punde kutoka CNN jeshi la nchi hiyo limeshika uongozi wa nchi. Jeshi limevunja serikali pamoja na bunge. Iyeleweke mzizi wa matatizo haya ni kwamba rais aliyeko madarakani bado hajashiba madaraka juu ya kuwa yupo kwa miaka 27 na anataka katiba irekebishwe ili aweze kugombea...
 19. mzenjiboy

  Lukuvi hana haya

  Mara kadha Waziri Lukuvi husikika na kuwatukana Wazanzibari kwa uisilamu wao na pia kuwatolea maneno machafu Warabu eti wanataka kurejea kutawala Zanzibar. Baada ya maneno machafu kutoa dhidi ya Warabu na angelikuwa ni muungwana basi asingefika nchi ya Masultani na kuweza kupokelewa. Msemo...
Top Bottom