Search results

 1. Countrywide

  Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

  SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
 2. Countrywide

  Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

  Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
 3. Countrywide

  Kisarawe yapokea vitabu vya kutosha chini ya jemedari Nikki wa Pili, ni historia

  Niliwahi kusema kuwa hakika ile TANZANIA tuitakayo inakaribia. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Nikki wa Pili(genius) amepokea vitabu vya kutosha kutoka shirika la Plan International. Ukumbukwe siku kadhaa zilizopita, alikutana na kufanya mazungumzo ya faida sana na mkurugenzi wa Plan international...
 4. Countrywide

  Nikki wa Pili ndio msanii/celebrity bora Tanzania kwa miaka 30 iliyopita

  Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021 Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi. Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo; Ni msanii mahiri Hana kashfa wala kiki...
 5. Countrywide

  Kisarawe: DC Nikki wa Pili ametembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Plan International

  Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili(genius) ametembelewa na mkurugenzi mkuu wa Plan International Dr.Mona Girgis. Mambo mazuri wamejadiliana na ametoa msaada wa ujenzi wa madarasa wilayani humo. Huu ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wote, hakuna Jambo zuri kama mahusiano. Na mh.Nikki wa...
 6. Countrywide

  Viongozi mnaotolewa kwenye nafasi zenu acheni vinyongo

  Moja ya Jambo ambalo linaitesa nchi ni hili la viongozi kuondolewa na kubaki na vinyongo na kuona aliyepo ni mtu mbaya. Hili sasa ni tatizo kubwa sana kwa Sasa, kiongozi unakuta anataka kuwepo kwenye nafasi yake mpaka pale yeye atapoona inatosha. Kila akiingia raisi kikawaoda ni lazima tu...
 7. Countrywide

  Mkuu wa wilaya Kisarawe, Nikki wa Pili akiwa na balozi wa Shelisheli na Canada

  Mkuu wa wilaya Mh.Nikkj wa Pili ameweza kushawishi mabalozi wa shelisheli na Canada kwenda Kisarawe na kuwekeza. Hii ni zaidi ya hatua, Mh. Nikki wa Pili ameonyesha njia na uwezo mkubwa kioungozi kwa kushawishi wanadiplomasia wakubwa kwenda kuwekeza kisarawe. Hili ni Jambo la kupongezwa na...
 8. Countrywide

  Ninakemea siasa chafu na propaganda dhidi ya kamanda Sirro na Jeshi la Polisi

  Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama. Ukweli ni kuwa bila hili Jeshi la Polisi kufanya kazi kiuweledi Leo...
 9. Countrywide

  Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Nikki wa Pili apokea Mwenge wa Uhuru

  Leo Mh.Nikki amepokea mwenge wa Uhuru, hii ni hatua nyingine kabisa katika kuijenga kisarawe mpya. Ikumbukwe kuwa Mh.Nikki ni mkuu wa wilaya mpya hivyo leo ameandika historia yake kwa kuupokea mwenge wa uhuru kwa Mara ya kwanza, hivyo wananchi wilayani kisarawe tunawaomba mtoe ushirikiano wa...
 10. Countrywide

  Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

  Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake. Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi? Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza...
 11. Countrywide

  Rais Samia shikilia hapohapo, usirudi nyuma. CHADEMA hawahitaji kubembelezwa

  Mama Samia kwanza nikupe hongera kwa kuwa hadi sasa umeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye uongozi wako. Kwa lugha nyepesi tunasema "sasa umeiva", mwanzo ulivyoanza kiukweli ulianza kutupa wasiwasi Kama ungeweza kweli kwa kuwa ulionekana kama unahitaji sana kubembeleza yale magenge. Mama katika...
 12. Countrywide

  Ulinzi wa Rais ni kitu cha kwanza katika Taifa lolote lile

  Katika kipindi fulani hivi kuliibuka watu ambao wanaotumiwa vibaya na wanaotumiwa na maadui wa Taifa hili wakawa wana-question sana ulinzi wa Rais, mara ooh mbona analindwa sana mara oooh mbona anatembea na gari la machuma chuma. Anatembea na Askari wana mi-bunduki, mara analindwa kuliko kim...
 13. Countrywide

  Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

  Katika jamii yoyote ile ni lazima kuwe na watu ambao Taifa linapaswa kujivunia nao. Kwa taifa Leo tumejaaliwa watu wengi ambao tunajivunia nao, Ila kwa Leo nitawazungunzia watano. Kumbuka hakuna binadamu asiye na mapungufu, hivyo suala la mapungufu liweke kando kwanza kwa kuwa hakuna malaika...
 14. Countrywide

  Kisarawe: Nikki wa Pili apokea Bilioni 1 kutoka kwa Rais Samia

  Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh.Nikki wa Pili apokea Bilioni 1 kutoka kwa mheshimiwa Rais Mama Samia kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. Haya ni mabadiliko makubwa sana katika sekta ya elimu wilaya ya Kisarawe. Hii inaonesha ni kwa namna gani Serikali ya CCM imeadhamiria kuboresha elimu. Huu ni...
 15. Countrywide

  Wanasiasa uchwara wakwama kwenye igizo lao huko Tabata

  Siasa za majitaka na za uchwara hatimaye zimapitwa rasmi. Hii mi kutokana na muitikio mdogo wa watu kujitokeza kwenye igizo lao la kudai kitu ambacho hata hawakijui. Hii ni meseji kwao kuwa wananchi wamechagua maisha, pesa na amani kuliko hiyo sijui katiba. Hivyo niwaombe wananchi wote...
 16. Countrywide

  Kisarawe: Nikk wa Pili apokelewa na uongozi wa CCM wilaya, Rasmi sasa ni kada CCM

  Leo Mh.Nikki wa Pili amepokelewa na uongozi wa CCM wilaya ya kisarawe. Sasa ni rasmi Mh.Nikki ni kada mtiifu wa CCM, hakina historia imeandikwa tena. Vijana wenye akili na maarifa wamo ndani ya CCM. Mh. Nikki ni hazina ya baadae. Mh.Nikki amepokelewa na mwenyekiti wa CCM wilaya Mh.Khalfan...
 17. Countrywide

  Siasa na Pesa: Wananchi wengi wamechagua Pesa

  Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana. Kitendo cha kukataa mabaradhuli kuzunguka mtaani kupiga porojo za siasa ikiwa wananchi wake hawana Pesa ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa...
 18. Countrywide

  Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

  Hapa mama anazidi kunifurahisha, kwa sasa nchi yetu inahitaji kupaa kiuchumi na sio kupiga kelele za kisiasa. Wanaoruhusiwa ni wabunge tu kwenye maeneo yao na si vinginevyo. Ngojeni kwanza tupae kiuchumi, wawekezaji waje wengi. Kama chama hamna wabunge fanyeni vikao vyenu vya ndani. Mama...
 19. Countrywide

  Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Nikk wa Pili na zoezi la kuchangia damu

  Nikki wa Pili ameshiriki na kuchangia damu katika hospital ya wilaya ya Kisarawe. Hii ni hatua kubwa Sana, kwa maana suala la upungufu wa damu hospitalini ni tatizo kubwa sana linaloklikabili nchi yetu. Hivyo kwa umoja wetu unapopata nafasi ya kuchangia damu fanya hivyo kama alivyofanya Nikki...
 20. Countrywide

  Kisarawe, Pwani: DC Nikki wa Pili atoa hatimiliki za kimila kwa Ranchi 24

  Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mh. Nikki wa Pili jana amefanya jambo kubwa sana la kutoa hati miliki za kimila kwa ranchi 24 kwa wafugaji katika kijiji cha mafizi kwa ajili ya malisho ya mifugo 17920. Lengo ni kuondoa migogoro ya ardhi, kuboresha huduma za mifugo, uvunaji wa bidhaa zitokanazo na...
Top Bottom