Search results

 1. Ziroseventytwo

  Mchezaji kutapika uwanjani. Hii kiafya maana yake nini?

  Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani. Sababu zilizotolewa japo sio za kitaalam ni kwamba mchezaji alikunywa maji mengi, baada ya kukutana na joto kali...
 2. Ziroseventytwo

  Leo rasmi nimeanza kutumia dawa kwa ajili ya pressure. Naanza staili mpya kuishi

  Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115. Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa. Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena. Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
 3. Ziroseventytwo

  Usajili wa Lionel Messi utaifanya PSG kuwa ya moto sana

  Qatar confirms Lionel Messi is signing for PSG 10 hours ago / autty Developments regarding Lionel Messi's immediate future are coming quicker than anyone expected, and after Barcelona announced he wasn't staying as recently as Thursday night, the brother of the Emir of Qatar has confirmed that...
 4. Ziroseventytwo

  #COVID19 Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

  Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
 5. Ziroseventytwo

  Eti mpaka leo Mangariba wapo?

  Kuna jamaa yangu kapeleka watoto wake wawili mapacha kuwatahiri kwa hawa mangariba! Nimeshangaa sana. Zama hizi za utandawazi ukamtahiri mtoto maporini? Kweli jamani? Haspitali zipo kibao, kwa nini umsababishie mtoto maumivu makali wakati angeenda hospitali angetumia gazi? Hizi tabia za wazazi...
 6. Ziroseventytwo

  Msaada Samsung A20s imejilock

  Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna maujanja mnisaidie tafadhali. Chief-Mkwawa reyzzap
 7. Ziroseventytwo

  Dullah Planet kuwa makini, Sepenga anakuharibia show

  Napendaga kuangalia friday night live show inayorushwa na East Africa TV na East Africa Radio na host wa show ni Dullah Planet. Sasa kuna jamaa yake wanakuwaga wote kwenye show. Huyu jamaa nadhani anaitwa Sepenga. Jamaa ni mshamba sana. Kwanza sijui kama ni maarufu. Na kama ni maarufu sijui...
 8. Ziroseventytwo

  Kuna tofauti kati ya network ya kupiga simu na network ya internet?

  Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa hii kitu inakuwaje. Naomba ufafanuzi kwenye hili. Cc. reyzzap na Chief-Mkwawa
 9. Ziroseventytwo

  Jerry Nashon dudumizi ndio mwimbaji bora wa wakati wote. Nimejiridhisha

  Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini. Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba...
 10. Ziroseventytwo

  Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

  Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano. Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota...
 11. Ziroseventytwo

  Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

  Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni. Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo. Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili? Mshana Jr
 12. Ziroseventytwo

  Black Rob naye afariki dunia

  Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh. Amefariki dunia baada ya kupita siku 10 tangu mkali mwingine wa hizo kazi DMX kufariki. RIP
 13. Ziroseventytwo

  Sola kwa Sasa lipo ujerumani

  Miaka ya 1980-90 mwishoni Mpira nzuri na wakuvutia ulikuwa ukichezwa nchini Italia. Ligi ya Italia Serie A likuwa ndio Bora kabisa duniani. Wachezaji wote wazuri na Bora toka mataifa mengine ya ulaya na America ya kusini pamoja na Africa walipenda kucheza Mpira nchini italia. Ligi yao ilisheheni...
 14. Ziroseventytwo

  Uchaguzi 2020 Nimetimiza wajibu wangu, nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa

  Nikiwa mpenzi na sio mwanachama wa CHADEMA, Kwa kipindi hiki cha uchaguzi nimetimiza wajibu wangu kwa kuwaombea Kura Rais mtarajiwa Lissu na Madiwani watarajiwa wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa tarehe 28/10. Kila kijiwe, nimefika. kuanzia vibanda umiza, vijiwe vya draft, bao, kona za bodaboda...
 15. Ziroseventytwo

  Nini dawa ya hili tatizo kwenye ngozi

  Mwanzo nilifikiri ni allergies. Nikaacha kumpa baadhi ya chakula. Mazowa nyama na samaki lakini wapi. Nimempima mpaka ukoma japo hatuna historian ya kuwa na huo ugonjwa kwenye kizazi chetu. Kashatumia dawa za Aina nyingi bila mafanikio. Ndio nikaona nije hapa labda naweza kupata ushauri na Tiba...
 16. Ziroseventytwo

  Tuliosoma, kwenda shule pekupeku tukutane hapa

  Mwanzoni mwa miaka ya 80. Nakumbuka darasa letu aliyekuwa akivaa viatu alikuwa mmoja tu. Hiyo ilikuwa mkoani kimanjaro. Na 98% ya wanafunzi wa shule yetu tulikuwa hatuvai viatu. Hii ilikuwa ni shule ya msingi. So kama ulienda shule bila kuvaa viatu karibu huu ni uzi wetu.
 17. Ziroseventytwo

  Nilichokisikia kwenye Press ya leo pale Ufipa nimekata tamaa sana

  Kulikuwa na Press pale Makao makuu ya chama leo mchana huu. Kulikuwa na vyombo vingi vya habari. Wengi wa wasemaji walikuwa ni wale waathirika wa tume ya uchaguzi NEC. Hawa watu wapo hapo dsm kufuatilia rufaa zao ambazo bado tume haijazitolea maamuzi. Nimewasikia wagombea wa majimbo ya Mlimba...
 18. Ziroseventytwo

  Huu ni msimu wa Atletico de Madrid na el Cholo, Laliga ni yenu

  Sina shaka na uwezo wa kocha na wachezaji wa club hii kongwe ya pale mjini Madrid. Kwa miaka mingi Elcholo alijaribu kutengeneza kikosi cha kupambana na Barcelona na Real Madrid bila mafanikio. Kwani vilabu hivi viwili vilikuwa na vikosi bora kwa zaidi ya miaka kumi. Ila kwa sasa wale golden...
 19. Ziroseventytwo

  Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

  Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
 20. Ziroseventytwo

  Wataalamu wa ardhi, ni sahihi kumiliki ardhi kwa kutumia hati miliki ya kimila kwenye sehemu yenye mchanganyiko wa makabila?

  Kwa mfano, mji kama DSM, ni sahihi kutoa hati miliki ya kimila kumiliki ardhi? Maana kuna makabila karibia yote ya hapa nchini mjini dsm. Utoaji wa hati miliki unazingatia mambo gani? Mimi nilidhania hati miliki ya ardhi ya kimila hutolewa pale inapoonekana eneo husika lina kabila, tamaduni, na...
Top Bottom