Search results

 1. J

  Taifa Stars kuonywesha duniani kote

  Kuna taarifa za uhakika kuwa Taifa Stars itaonyeshwa duniani kote hapo kesho katika mechi yake dhidi ya Misri. Kwa walio nje ya Tanzania, Stars wataonyeshwa kupitia channel ya BeIn Sports both Spanish and English services. Check your local cable services. Kwa wachezaji wetu, tafadhali acheni...
 2. J

  Maombi ya kazi

 3. J

  BK Kunani?

  Jana wakati natoka Bukoba mjini kuelekea Nyaishozi nilikutana na vijana wakiwa uchi huku wakishangiliwa na kina Mama pamoja na wasichana. Kwenu wakazi wa Kagera, hii ni jadi gani?
 4. J

  Kwa Obama!

  Gay marriage is legal in 6 states. Having sex with a horse is legal in 23! Good going America. Source: Fact
 5. J

  Tunahitaji Joyce Banda Tanzania!

  Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama...
 6. J

  Kicheko Na Haibu

  Kuna usemi wa Kiswahili,’umaridadi huficha umaskini’ na ukweli wa usemi huu unaweza kujionyesha katika maandalizi makubwa ya ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama nchini wiki mbili zilizopita. Watanzania, hasa wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake wakiongozwa na viongozi wao wa mkoa...
 7. J

  African Uprising

  Kwa haya yaliyotokea Egypt ni fundisho kwa viongozi wote hapa Africa. Ningependekeza kuwe na uprising/mwamko kwa wananchi wa Africa kupindua marais waroho, wenye uchu na madaraka, wazembe, wezi, wauwaji n.k. Kwa msingi huo tu, basi Kagame, Museveni, Mugabe, Al Bashir, inabidi wapinduliwe...
Top Bottom