Search results

 1. KOKO NI RAS

  Msaada mwenye kujua kuprint nguo na kuuza bei ya jumla

  . Wakuu habari zenu hpe mko poa Kuna hizi bidhaa nataka niziweke dukan kwangu nimevutiwa nazo sana na natamani nizweke pamoja na logo yangu kama alivyo born 2 shine (hassan mandi) So naomba msaada kwa anayefahamu duka la jumla na kuprint kwa ujumla Ukinisaidia nitashukuru sana nipo mkoani...
 2. KOKO NI RAS

  Paza sauti masheihk wa uamsho kesi yao isikilizwe sitakaa kimya

  Kuna kimya kinachonishangaza. Nacho ni cha ‘wanaharakati’ wa Kizanzibari walioziba midomo yao kuhusu madhila yanayowakuta wale waliokuwa wakiwaita “mashekhe wetu wa Uamsho”. Tangu mashekhe hao 10 waanze kukamatwa Oktoba 16, 2012 mpaka leo kesi yao haijatajwa mahakamani. Hadi sasa wamesomewa tu...
 3. KOKO NI RAS

  harmorapa amjibu mose iyobo

  baada ya jamaa kumuita nyani jamaa amjibu kwa vitendo chanzo jidakiss habari ni haki yako: Magezeti ya leo February 1 yakiwa na habari motomoto
 4. KOKO NI RAS

  Maria Stopes yatoa ajira

  TANGAZO Kama una ndugu au rafiki Nurse mwenye Diploma au Degree na yuko tayari kufanya kazi Pwani na shirika la wamarekani,pia Mfamasia mwenye Certificate au Diploma naomba tuwasiliane kwa namba 0712268900,0765862190 au 0714150062 Marie Stopes International inahitaji madaktari na manesi wa...
 5. KOKO NI RAS

  CHADEMA yadaiwa kuhusishwa na tetemeko la ardhi kanda ya ziwa

  nahisi itafika kipindi hali itakua hivi kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao
 6. KOKO NI RAS

  Kutukanwa kwa Mh. Rais mitandaoni, nini tafsiri yake?

  Wasalaam Wakuu kutokana hali inayoendelea kwa kutukanwa na kukashifiwa kwa serikali hii ya awamu ya tano katika mitandao ya kijamii kama facebook whatsapp nini maana yake? Nimeamua kuandika hili baada ya kushuhudia watu wakishtakiwa kama Lissu,Elizabeth Asenga na makamanda wengi wa ukuta. Je...
 7. KOKO NI RAS

  KaKUCHA ni harakati za kutaka kumrudisha Dr Slaa CHADEMA

  habari wana jamvi mu hari gani? basi bila kupoteza muda leo kuna mada moto moto nimeiopoa kutoka kikaangoni ikiwa bado ya motomoto baada ya kampeni za mbowe na lowassa UKUTA kugonga mwamba huku wakereketwa wa chama hicho wakionyesha dhairi kukerwa na tamko la mboye kuhairisha UKUTA wamekaa...
 8. KOKO NI RAS

  Salum Mwalimu na wenzake nane wagoma kula

  Mmoja kati ya ma kamanda wa UKUTA aliyetiwa mahabusu agoma kula chakula kwa madai ya kutaka kusikilizwa kwa kesi yake. Salum Mwalimu na wenziwe kumi na nane wamegoma kula kuanzia leo Chanzo: Mwananchi
 9. KOKO NI RAS

  Tunatafuta Mtaalam wa graphic na Kiwanda cha kufungasha vyakula

  amani iwe juu yenu nyote jamani kwa yeyote ambaye ana fahamu kwa namna yeyote twaomba msaada wake JIDA WORK GROUP ni kikundi cha wajasiliamali wadogo wenye chachu ya kuleta mabadiliko katika biashara ya bytes katika jamii katika kuboresha huduma zetu tumeamua kuzi parkage vizuri huduma...
 10. KOKO NI RAS

  BASATA yamfungulia Nay wa Mitego

  Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia. Chini ni taarifa ya BASATA kwa waandishi wa habari: BASATA kama mlezi wa wasanii linamfungulia kufuatia yeye...
 11. KOKO NI RAS

  Mahaba niue

  MAHABA NIUE...(28) AGE....(18+) ILIPOISHIA "joylah" kwa mshngao Ramsey alimshangaa na kutotegemea kama ange mkuta yupo mahali pale.. TWENDE KAZI "sijui naku fananisha" aliongea Joylah huku akimkagua Ramsey juu mpaka chini. "ah wapi, nisinge kuita jina lako wala huni fananishi kabisa, shemeji...
 12. KOKO NI RAS

  namna ya kuhack jamiiforums account

  papaa kikombe
 13. KOKO NI RAS

  ET NIMEMSOMESHA MCHEPUKO NIMEPATA MATOKEO CHANYA

  du kwa akili za huyu jamaa kaona kapiga bao kweli yaani anajisifia kupewa ela ya kununulia simu sasa mi naomba kumuuliza ana lipi la kumwambia mkewe
 14. KOKO NI RAS

  Eti wema sepetu mjamzito

  gossip katika idara ya udaku leo kwa niaba ya wana makoro... nalikamata gazeti la makolokocho kichwa cha habari kina sema eti wema sepenga kanasa ujauzito unaosemekana kua ni mbunge na mfanya biashara za madini na mmiliki wa kampuni ya usafilishaji WATAKA KUJUA NI NANI HUYO? haya yalikua...
 15. KOKO NI RAS

  kuna application au namna yeyote ya kunasa mawasiliano ya girlfriend wangu

  wana jf naomba msaada shemeji yenu amebadilika siku hizi naomba kujua kama kuna namna ya kunasa mawasiliano yake kupitia simu yake ya mkononi
 16. KOKO NI RAS

  Mkurugenzi wa IPP Media Reginald Mengi ashikwa...

  HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini. Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale ha ha ha jokes
 17. KOKO NI RAS

  jehova wanyonyi

  katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka dhana ya watu kuamini miungu watu kulingana na imani zao katika hali ya sito fahamu kumekuwapo kwa mtu mmoja ajiitae jehova wanyonyi yaani ni mungu wanyonyi mwenye umri wa miaka themanini na tisa (89) anasema kua yeye ni mungu na yupo katika hali kama...
Top Bottom