Search results

 1. Masenu K Msuya

  Msaada juu ya hukumu ya kifungo cha nje

  Habari wakuu mimi nilitapeliwa kiasi cha sh laki 9 na rafiki yangu kwa kivuli cha mchezo feki kesi ikaenda mahakamani baada ya kushindwa kumalizana kifamilia akafungulia shtaka la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu mahakama ikamkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha nje cha mienzi miwili na...
 2. Masenu K Msuya

  Kilichotokea Mbeya ni ishara ya makamanda kuchoka kuendelea kuwa watumwa wa Mbowe

  Baada ya biashara ya utumwa kukomeshwa barani Afrika kwa muda mrefu sana nchini Tanzania kumekuwa na utumwa ndani ya siasa zetu za upinzani kitu kinachofanya kuwa ni ngumu kwa upinzani kutoa upinzani wa mawazo mbadala,sera na hoja baada yake kuwa ndumi la kuwili ili kuwanufaisha wachache ambao...
 3. Masenu K Msuya

  CCM isiyo na diwani yaishinda CHADEMA iliyo na diwani katika juhudi za maendeleo sinza

  Habari wakuu, Sisi wakazi wa sinza tumesema kwa nguvu moja tumekoma tena tumekoma zaidi ya tulivyokoma manyonyo ya mama zetu kuwapa ridhaa ya uongozi CHADEMA ambao hawajali waliowachagua ambao hawajali walipigwa na jua katika foleni kuwapa ridhaa wawatumikie ambao waliwapa ahadi kedekede...
 4. Masenu K Msuya

  Maalim Seif mwanasiasa ambaye yupo tayari kufanya chochote kwa ajili ya madaraka

  Habari wakuu,natumai ni wazima wa afya.Watu waliowengi wanapenda kushadadia mambo bila kujua historia ya hayo mambo ningependa kutoa ushauri tupende kusoma historia japo kidogo kabla ya kuanza kuwashadadia hawa tunaoita wapinzani ambao ukiangalia wengi wao utakuta wanachowaaminisha wafuasi wao...
 5. Masenu K Msuya

  Ukitaka kuwa greater thinker kwa chadema itukane serikali

  Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama...
 6. Masenu K Msuya

  Walipoambiwa goli la mkono wakajua kuibiwa kura kumbe Lowassa ndio alikuwa goli la mkono

  Habari wakuu, Upinzani Tanzania una safari ndefu sana kujifunza jinsi ya kutengeneza taasisi imara za kisiasa sio vikundi vya kiuwana harakati,Siasa za upinzani ni zaidi ya kutukana serikali,siasa ni zaidi ya kuandamana, siasa za upinzani ni zaidi ya kutengeneza matukio ya kujipiga risasi na...
 7. Masenu K Msuya

  CHADEMA, mahakama ile ile iliyomfutia dhamana Mbowe ndio imegoma kufuta dhamana ya Lissu

  Habari wakuu, kumekuwa na upotoshaji wa hovyo sana unaofanywa na CHADEMA na wafuasi wao kuwa mahakama zetu hazipo huru pale ambapo mahakama zinaenda kinyume na mategemeo yao. Mahakama siku zote zinaendeshwa na sheria sio matakwa ya kikundi fulani hivyo tunapaswa kuheshimu mahakama...
 8. Masenu K Msuya

  Wanasingida mashariki kuandaa maandamano ya kuomba uchaguzi ili kumpata mwakilishi bungeni

  Habari zisizo rasmi zinasema wananchi wa Singida Mashariki wamechoswa na tabia mbaya ya mbunge Tundu Lissu ya uzururaji katika nchi za mabeberu akilichafua taifa na kutetea vitu ambavyo vipo kinyume cha maadili yetu kama vile ndoa za jinsia moja badala ya kurudi nyumbani kuwatumikia na...
 9. Masenu K Msuya

  Msaada wa link ya Fifa 19 ultimated edition ps4 cracked

  wakuu nahitaji msaada wa link ya kudownload fifa 19 ultimated edition cracked
 10. Masenu K Msuya

  Ubinafsi ni kansa inayovimaliza vyama vikuu vya upinzani

  Habari wakuu natumaini wote ni wazima na wenye afya nzuri kama kuna mtu anasumbuliwa na maradhi mwenyezi mungu amponye haraka.Tangu nchi yetu iingie katika mfumo wa vyama vingi hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushinda uchaguzi mkuu tumeshuhudia vyama vikiibuka na kuwa ya soda ambayo...
 11. Masenu K Msuya

  Je, ni kweli wapinzani mnaibiwa kura au hamna strategies za kuishinda CCM?

  Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible. Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa. Je, kwanini wanakubali...
 12. Masenu K Msuya

  Maalim Seif mnafiki namba moja katika siasa za upinzani na jaribio la kuuza CUF kwa CHADEMA

  Tangu nazaliwa na kusoma kwangu historia hadi leo hii sijawahi kujua maalim seif anapigania nini? Je anapigania kuwa Rais wa Zanzibari au anapigania maendeleo ya wazanzibari au anapigania Serikali tatu?. Kwanza nikimuangalia maalim seif namuona kama kiongozi mwenye uchu wa madaraka ambaye...
 13. Masenu K Msuya

  Je, ni nini kilichopo nyuma ya pazia ya teuzi ubunge viti maalumu CHADEMA

  Habari wakuu,Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana kuhusu utaratibu na vigezo vya kuwapata wawakilishi wa viti maalumu chadema maana wengi wao ni mabinti warembo na tetesi kadhaa zikihusisha rushwa ya ngono katika teuzi hizo tujikumbushe maneno ya naibu waziri juliana shoza alikiri kuondoka kwake...
 14. Masenu K Msuya

  Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

  Watanzania tunataka maendeleo hatuna shida na kitu kinachoitwa demokrasia watanzania tunataka elimu bure,watanzania tunataka kuhudumiwa vizuri tunapokwenda mahospitalini,ofisi za serikali,watanzania tunataka treni mwendokasi,watanzania tunataka barabara nzuri hatutaki uhuru unaoruhusu wanaume...
 15. Masenu K Msuya

  Ushauri: Watumishi wa umma wanapaswa kuisoma, kuitekeleza na kuitangaza ilani ya CCM

  Habari wakuu, Tanzania inaongozwa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wa chama cha mapinduzi hivyo nchi inaogozwa kwa ilani ya chama cha mapinduzi ilani ambayo walio wengi waliipigia kura na kuipitisha kuwa inafaa kwa kipindi cha miaka mitano kuwa dira yetu ya kutufikisha...
 16. Masenu K Msuya

  Natafuta kazi system na software development

  Habari wakuu natafuta kazi ya software na system developement nimebase sana kwenye web developemnt natumia php javascript pia nimeanza kushift kwenye fluter for mobile developemnt pia naweza kushift kwenye language yoyote kwa muda mfupi pia nina uwezo wa kuwork more than 16 hours non stop
 17. Masenu K Msuya

  Kama mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kuna ubaya gani Rais Magufuli asiwe Rais wa kudumu

  Habari wanabodi, Kwanza naomba nianze kwa kumuombea rais wetu umri mrefu na nguvu za kuweza kuchapa kazi bila kuyumbishwa na vibaraka wa mabeberu bila kusikiliza kauli za wanaotaka kutuingiza katika taifa la ndoa za jinsia moja, bila kusikiliza maneno ya wanaodai demokrasia uchwara ya kutukana...
 18. Masenu K Msuya

  Msaada jinsi ya kufilter data kutoka kwenye biometric attendance to mysql database using laravel

  wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance
 19. Masenu K Msuya

  Wafuasi wa CHADEMA mnapigania demokrasia gani?

  Habari wakuu, Wafuasi wa CHADEMA na viongozi wao wameibuka na kumshambulia Rais na Serikali yake kwa kudai Serikali inaminya demokrasia kisa wamekatazwa kufanya mikutano na maandamano yenye lengo la uvunjifu wa amani nje ya majimbo yao. Lakini lengo langu sio kuzungumizia hilo bali ni...
 20. Masenu K Msuya

  Je,wanasingida tunanufaika nini na ziara ya Tundu Lissu?

  Habari wakuu Naomba kuuliza sisi wapiga kura tulioacha shughuli zetu na kwenda kupanga foleni kumchagua mbunge wetu Tundu Lissu tumesikia mbunge wetu kashapona ila yuko kwenye ziara ya kimataifa ningependa kujua je ziara hizo zitatunufaishaje wapiga kura wake?
Top Bottom