Search results

 1. Mr Excel

  Vijana mnaotoka Vyuoni kuweni makini

  Vijana mnaotoka vyuoni kuweni makini. Unaomba kazi unaenda kwenye usaili unashushiwa mvua ya maswali kama vile upo mahakamani. Unaanza kazi bosi wako anaua ndoto zako na kipaji chako kupitia mshahara mnono, posho, vyeti vya utendaji bora wa mwaka na hata kukupa vyeo vingine fake. Mwisho wa...
 2. Mr Excel

  Nawezaje kupata TIN Certificate ya taasisi (Registered NGO)?

  Habari za Asubuhi Naomba mnisaidie utaratibu ili niweze kupata TIN certificate. Kwa ajili ya Organization imesajiliwa kisheria ngazi ya Kitaifa. Ahsante.
 3. Mr Excel

  Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

  Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji. 1.Utakuwa na furaha zaidi 2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii. 3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu. 4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi. 5.Inaweza kufanikisha...
 4. Mr Excel

  Story of Change Muonekano hutengeneza uwezekano

  Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa iliyo sheheni vipengele muhimu sana vyenye siri ya mafanikio. Muonekano ni taswira ya nje jinsi...
Top Bottom