Search results

 1. Complicator

  Kemikali/Material ya kushusha uchafu kwenye shimo la choo

  Naomba kuuliza kuna kemikali huwa ukimwaga kwenye shimo la choo inabandua ule uchafu na inaushusha wote, inaitwaje!?
 2. Complicator

  Uchaguzi 2020 Ushauri mujarabu kwa CHADEMA kuhusu kutumia mapungufu/ makosa katika kuongea kwa Mgombea wa CCM

  Ukifuatilia kauli za mgombea wa CCM ndugu Magufuli kwa muda mrefu tangu aingie madarakani amekua ana makosa mengi sana kwenye namna ya kuongea na kuwasilisha hotuba zake,amekua na kauli nyingi sana zinazokinzana zenyewe. Hii ni moja ya mapungufu makubwa ya mgombea wa CCM na CHADEMA wanaweza...
 3. Complicator

  Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

  1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu 2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo apoteze muda 3. Sugu anashinda uchaguzi huu kwenye box la kura, mapema kabla ya saa nne asubuhi 4...
 4. Complicator

  Uchaguzi 2020 Niliyoyagundua Siku 8 za kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

  Kampeni za uchaguzi mkuu wa uraisi,ubunge na udiwani 2020 zimevuka wiki ya kwanza sasa huku kila chama kikihaha kuzunguka nchi nzima kuomba kura na kuungwa mkono na wananchi,yafuatayo ni mambo matano (5) niliyoyabaini baada ya hili wiki moja. 1. CHADEMA ndio Chama Kikuu cha Upinzani chenye...
 5. Complicator

  Natafuta mwenye kinanda used,offer laki mbili

  Wandugu ninatafuta kinanda kwa ajili ya matumizi ya kanisani,nina shilingi laki mbili.
 6. Complicator

  Kibao kipya cha member mwenzetu Don Nalimison

  Kwa wote mnaomchukulia poa Don,hebu tumieni dakika nne kuangalia video mpya ya member mwenzetu wa JamiiForums asiyeishiwa vioja DON NALIMISON Tunatafuta meneja tu sasa tuanze fanya show za mikoani na yeyote mwenye wazo anaweza wasiliana na Don
 7. Complicator

  Natafuta mashine ya kuseal mifuko ya plastiki (Vacuum Sealing Machine)

  Iwe na sifa zifuatazo: - Single chamber - 4 bags sealing at once(mifuko minne kwa mpigo) - Double sealing(kushoto na kulia) Kama unayo naomba unicheki inbox chap kwa haraka.
 8. Complicator

  Mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison akamatwa na Polisi akiwa na moshi mkali wa bangi

  Mchezaji Mtukutu wa Yanga bin Utopolo Bernard Morrison amekamatwa hivi punde baada ya kufukuzana na Polisi ambao walihisi kuwa huenda anatumia madawa ya kulevya. Baada ya kufukuzana Polisi walifanikiwa kumkamata Kituo cha Mafuta Engine pale Mikocheni. Baada ya kukamatwa Morison aliwagomea...
 9. Complicator

  Nifanye nini gari inaponizimia ghafla nikiwa kwenye mwendo mkali?

  Wadau naomba kuuliza, sijawahi kuendesha gari automatic ila leo nimekutana na tukio la kuogopesha sana kiasi cha kuja omba ushauri. Gari automatic ikizima ghafla inapoteza uwezo wa brakes na controll ya gari kwa ujumla,sasa leo katika kuendesha mteremkoni gari ikazima sababu ya matatizo ya...
 10. Complicator

  Why Adolf Hitler hated Jews/Kwanini Hitler aliwachukia wayahudi?

  Hitler’s antisemitism. Why did he hate the Jews?Antisemitism played a major role in Adolf Hitler’s thinking and in the Nazi ideology. Read here what inspired Hitler's hatred of Jews and what life events played a role in its development. Antisemitism: an age-old phenomenon Hitler did not invent...
 11. Complicator

  Kama huwezi kufungua brazia/sidiria ya lock tano kwa mkono mmoja bado wewe ni mvulana

  Leo nisemee suala la wanaume ambao hawawezi kufungua brazia za wanawake zetu wakati wa kulana,kama huwezi kutumia mkono mmoja kufungua siridia basi wewe siyo mwanaume kamili. Huwa kuna stage inafika mkono wa kushoto unapima Oil mdomo unapiga lita halafu mkono wa kulia uko unafungua sidiria kwa...
 12. Complicator

  Jiji la Mbeya hakuna Maji sasa siku ya nne na tunasisitizwa usafi wa maji tiririka

  Kwa masikitiko makubwa naandika uzi huu nikilaani kitendo cha idara ya maji ya jiji la Mbeya kukata maji kwa muda wa siku tatu sasa bila kuwepo na taarifa rasmi ya katizo. Wakati nchi inaingia kwenye maombi mambo ya msingi hatupaswi kuyaacha hata kidogo,watu wanasisitizwaje kunawa na maji...
 13. Complicator

  Hatimaye Toilet paper za Vyoo vya Ubungo Terminal zapakwa Pilipili

  Wewe uliyepaka pilipili[emoji276] kwenye toilet paper za vyoo vya hapa stendi kuu ya mabasi Ubungo[emoji590].. nakuambia hivi pepo utaisikia kwa wenzako tu malipo hapahapa duniani[emoji52] Yaani ipo siku yako. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Complicator

  Naomba kujua kiundani kuhusu gari aina ya Toyota Caldina old model na Carina

  Nimepata fedha kidogo nina option mbili za kupata moja ya haya magari, naomba wenye kujua wanishauri nichukue ipi na kwa sababu gani. Ulaji wa mafuta, Spare n.k Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Complicator

  PK: Movie ya Kihindi inayojibu masuala yote kuhusu udini na kinachoendelea kuhusu mchana Quran Tukufu

  Unaikumbuka movie maarufu ya Kihindi inayohusisha kijana masikini mwenye akili sana aliyetekwa na familia maarufu ya kitajiri kusoma kwa niaba ya kijana wao? Ndio, ile movie maarufu sana ya Kihindi baada ya Kuch Kuch. Kijana anaingia chuo cha engineering na kukutana na marafiki zake watatu...
 16. Complicator

  Ushawahi kufumania/ kufumaniwa kwenye ‘mgegedo’ kwa kushtukiza?

  Hebu tupige stori za kuliwazana na stress za WW3. Wakati niko kidato cha tatu bwana,nimerudi likizo kwa mjomba wangu sababu likizo ilikua fupi nikaona nitulie tu hapo sababu palikua ni jirani na shule nasoma, anko yangu alikua ndio ametoka kuoa karibuni hivyo hakua bado na mtoto wala hawakua na...
 17. Complicator

  Wadau,hili kanisa liko wapi...nataka niwe muumini huko hata leo

  ...hili kanisa pendwa liko wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
 18. Complicator

  Uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya

  Huu ni uzi maalumu wa kutuma salamu za mwaka mpya,kwa yeyote nje na ndani ya nchi... Mimi natuma salamu kwa Rais wangu mpendwa Mheshimiwa John Pombe Magufuli,ninamtakia afya njema na aongezewe busara zaidi na weledi,akapate nguvu zaidi na aepushwe na hila zote za shetani. Mwaka 2020 ukawe...
 19. Complicator

  Tupeane mbinu Mbalimbali za kuwanasa mademu kirahisi bila kutumia nguvu nyingi sana

  Nina hakika mada ipo jukwaa sahihi kabisa. Binafsi nisiwe mchoyo wa mbinu yangu ambayo huwa naitumia kuwanasa mademu kirahisi hasa wale wanaopenda kitonga na vitu rahisi. Basi nikitaka demu kitonga nafuata hatua zifuatazo,shika kalamu na karatasi au kama ni jiniaz kama mimi huna...
 20. Complicator

  Wadada Fungukeni: Ni mwanaume gani lofa zaidi ushawahi kutana naye hadi leo ukikumbuka unaishia kusema hiiiii

  Nimekopi hiki kisa! nadhani huyu ni lofa wa kwanza, huyu dada hatakaa amsahau... leteni visa vyenu, naambatanisha na picha ili kuondoa uchovu kwa wanaume,,picha haina uhusiano na mada Mwaka 2012 nlikuwa natoka Iringa kupitia Mtera kwenda Dodoma, enzi hizo hakuna barabara ya lami, njiani mida...
Top Bottom