Search results

 1. Mungu Mkuu

  UTEUZI : Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

  Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki, === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF...
 2. Mungu Mkuu

  Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

  MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA _____________________________________ Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali. Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba...
 3. Mungu Mkuu

  Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

  Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
 4. Mungu Mkuu

  BUNGENI: Mbunge amlipua Mwenyekiti ya Halmashauri Simiyu kwa kuchelewesha Ujenzi Wa Mahakama ya Mkoa

  Akizungumza bungeni jana wakati Wa kipindi cha maswali na majibu Mh Gimbi Dotto Massaba ambaye ni mbunge wa Vitimaalum CHADEMA-TANZANIA kutoka mkoa wa Simiyu, ameitaka Serikali kuona haya na kujenga Jengo la mahakama badala ya kutumia ukosefu Wa jengo hilo kama chanzo cha mapato kwa baadhi ya...
 5. Mungu Mkuu

  Si Waziri mkuu, Waziri Wa fedha wala Waziri Wa viwanda wote wametudanganya.

  Waziri mkuu katika hotuba yake ya hivi karibuni bungeni alituambia tunajumla ya viwanda vipya 3,306 hii ni mpaka mwezi wa pili mwaka huu Wa 2018 (Source Hotuba ya Waziri mkuu) Waziri Wa fedha Dk Philip Mpango wakati akiwasilisha "Mpango Wa Bajeti Wa Serikali Wa mwaka 2018/19 mwezi machi...
 6. Mungu Mkuu

  Huu sasa ni ushamba wa kisiasa

  Wanabodi, Wasalaam, Huko Mkoani Shinyanga mwenyekiti wa Wilaya wa Chama cha mapinduzi (CCM )wilaya ya Shinyanga Abouh Gulamu akiwa na timu yake amewafuata baadhi ya wenyeviti wa mitaa wa CHADEMA na kuwataka wahamie CCM kwa lazima na wasipofanya hivyo yatawakuta yaliyomkuta mbunge wa...
 7. Mungu Mkuu

  Kampeni meneja wa Katambi, mwenyekiti wa BAVICHA Shinyanga Mjini aanika siri za katambi kuhamia CCM

  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema wilaya ya Shinyanga Mjini Samson Ng’wagi amefichua siri ya harakati za aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Patrobas Katambi aliyejiondoa CHADEMA na kuhamia CCM mapema wiki hii huku akiwaomba viongozi wa CHADEMA taifa wasishughulike na Katambi wamwachie...
 8. Mungu Mkuu

  Rais wangu Magufuli, kituo cha polisi Manyoni kinanuka Rushwa

  Wanajamvi habari! Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Manyoni Bwana Ismail Maulid mkazi wa kijiji cha Mwanzi amethibitika kukamatwa na Ng`ombe wawili wa wizi wenye thamani ya Tsh Mil 3,600,000/= Chanzo cha ndani kinatanabaisha kuwa mwenyekiti huyu ni mwizi wa muda mrefu sasa, amekuwa...
Top Bottom