Search results

 1. Isanga family

  Changamoto wakati wa Covid19: Safari ya basi kwa sasa kutoka Tunduma mpaka Afrika Kusini

  Kuanzia Tunduma ambapo niligonga passport kwa kulipia chanjo ya Corona Kama dereva wa Roli ambayo ilikua Tsh 10,000 nikapanda bus asubuhi ambayo ilifika Lusaka siku hiyo hiyo usiku wa saa mbili power tools kampuni ya Zambia, nikalala pale hotel zao mpaka asubuhi baadae nikaelekea eneo la...
 2. Isanga family

  Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

  NOD kutoka Cape Town mpaka New York( JFK) ni 12560 Km ndege inatumia masaa 16 na dk 6 umefika USA non stop flight na marubani wanakuwa wawili tuu hicho kigezo chako cha razima Massa nane wapumzike sijaelewa umbali mrefu pia upo Addis mpaka Japan Ruban wanakua wawili tuu hakuna kusimama sehemu...
 3. Isanga family

  Nchi zenye passport zenye nguvu Afrika

  1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129 2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125 3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94 4. Botswana hawahitaji Visa kuingia katika nchi 73 5. Gambia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 68 6. Kenya hawahitaji Visa kuingia...
 4. Isanga family

  Ghorofa wanaloishi Watanzania Afrika Kusini, hufanya uhalifu na kujificha humo

  Hilo jengo ndio wanaloishi vijana wengi wa kitanzania Johannesburg lipo mtaa Nugget/jeepe hilo jengo wao hulitambua kwa Chaka lao halina umeme, maji wala choo vijana wengi wa Kitanzania wanaoishi humo hufanya biashara ya unga, bangi na shughuli nyingi haramu hupatikana hapo pia kuna bar na...
 5. Isanga family

  Toyota Fortuner 2007 mpaka 2010

  Toyota Fortuner kuanzia 2007 mpaka 2010 ni rand 130,000 mpaka rand 180,000.
 6. Isanga family

  Hyundai H 1 family Car

  hii Gari nzuri na ngumu sana ipo rand 250,000 used Mengi ni toleo kuanzia 2010 mpaka 2016 ni very strong na pia Confortable sana yananunulika sana SA...
 7. Isanga family

  Camera Cannone 1000D inauzwa

  Cannone 1000D inauzwa Tsh 500,000. ipo Arusha.
 8. Isanga family

  2016 Toyota Fortuner 2.8 GD.

  2016 Fortuner 2.8 GD 4×2, Rand 520,000
 9. Isanga family

  Toyota Land Cruiser 2016

  Hii ndio Land cruiser ya 2016 South Africa inakwenda Rand 660,000 change ipo Tsh 160 kwa Rand 1 kwa sasa...
 10. Isanga family

  Cannone D1100 Inauzwa

  Cannone D 1100 inauzwa ina Lens 18mm mpaka 55mm ipo na charger bei Tsh 700,000, Nikon D 50 lens 18 mpaka 55mm tsh 500,000, Cannone D 1000 lens 18mm mpaka 55mm tsh 600000 na Nikon Lens 55mm mpaka 200mm tsh 300000 vipo Arusha ukihitaji tuwasiliane na Camera Nikon size ya Kati zipo tsh 300000
 11. Isanga family

  Serikali ya Zimbabwe imefunga whatsap

  Serikali ya Zimbabwe imefunga whatsap bila maelezo yoyote.
 12. Isanga family

  Tv hisence 42" inauzwa

  Tv hisence 42 inch ipo katika hali nzuri inauzwa tsh 750,000...ipo dar..
 13. Isanga family

  Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini

  Habari wanaJamiiForums, Nataka kujua kuhusu hili swala la Ubalozi wa nchi yetu kutaka wahanga waliopoteza hati kubwa ya kusafiria kuchangia rand 1000 kama tsh 175,000 kwa kupewa hati ya dharura ya kurudi nyumbani. Je, hata Balozi za Tanzania nchi zingine ipo hivi? Sasa kuna haja gani ya kutoa...
 14. Isanga family

  Sifa za kuingia Hong Kong

  Hizi ni sifa chache ambazo ukiwa nazo unaingia Hong Kong bila kurudishwa nyumbani tena, maana kwa sasa ni kawaida watanzania kufika Airport na kurudia hapo hapo. - Unatakiwa ulipie hotel on line ukiwa hapa na uwe na document kuonyesha kuwa umelipia lipia hata siku moja siku inayofatia unaenda...
 15. Isanga family

  Yanga vs Simba hawa walikuwa hatari sana

  YANGA Stiven Nemes,David Mwakalebela,Kenneth Mkapa,Godwin Aswile,Salum Kabunda,Isah Athuman(R.i.P),Abubakari Salum,Athuman China,Said Mwamba(R.I.P) Sanifu Lazaro na Uncle Tom SIMBA Mohamed Mwameja,Kasongo Athuman,Twaha Hamidu,Mustafa Hoza,George Masatu,Hussein Marsha,Zamoyon Mogella,Hamis...
Top Bottom