Search results

 1. gimanini

  ITV taarifa ya habari mnaboa

  Mbona taarifa ya habari huwa mnaboa kwanini huwa hamnaga taarifa za kimataifa.
 2. gimanini

  Mhe. Rais Serikali iajiri Walimu wa sayansi

  Nianze kwa kukupongeza sana mhe.kwa kuchaguliwa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,pamoja na hayo nikupongeze kwa Sera zako unazozipanga lengo likiwa kuwaletea watanzania maendeleo. Mhe.rais umeagiza elimu kuwa bure tangu drs.la awali hadi kidato cha nne,kwa hili umefanya vizuri sana...
 3. gimanini

  Natafuta Pikipiki aina ya BOXÉR

  Wakuu ninatafuta Pikipiki ya kununua aina ya BOXER BM 150 kwa aliye nayo tuwasiliane kwa namba 0783 254995 nipo mkoa wa mara
 4. gimanini

  Natafuta line ya M-Pesa na Airtel money

  Natafuta laini kwa ajili ya uwakala,alie Nazo tuwasiliane.
 5. gimanini

  TUNAHITAJI UMOJA WA KITAIFA

  Siku zote umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,hivi sasa nchini mwetu pana mgogoro wa kisiasa baina ya serikali na vya upinzani.ni hakika tumetoka mbali na tunahitaji hekima na busara ya viongozi wetu,bila ya kuwasahau wazee wetu kutatua migogoro iliyopo sasa,kwan ili tupate maendeleo ni lazma...
 6. gimanini

  Michezo ya Olympic Tanzania inatia aibu

  Juzi michezo ya Olympic imeanza rasmi, tumeshuhuhudia nchi nyingi zikiwatuma wanamichezo wengi, lakini sisi Tanzania tumewakilishwa wachezaji wachache, kuna michezo mingi ambayo tunatakiwa kujiandaa na kushinda, mfano kulenga shaba, kurusha mikuki, kisahani, hata mieleka, ni aibu kama watanzania...
 7. gimanini

  Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

  pamoja na ubabe wake kwa mataifa jirani,Hii nchi imezingirwa na mataifa ambayo kwa kiwango fulani yametapakaa makundi ya kigaidi lakini hatujawahi sikia imeshambuliwa.ni kwanini
 8. gimanini

  Rais mstaafu Kikwete, hongera umeipaisha nchi yetu

  Rais Jakaya Kikwete ni kweli kastaafu ila amefanya mengi ambayo watanzania hatuna budi kusema asante Rais. Wapo wengi wanaomponda na kusema hakuna alilolifanya ila ni bora tungemsema hivo na baadae kujua ni wapi alipoanzia na pale alipomalizia. Kajengamabarabara, madaraja, pia kaboresha...
 9. gimanini

  Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

  Hatimaye zamu ya mkoa wa Mara kwa mgombea urais wa JMT, mhe. Edward Lowassa, imefika. Atakuwa akianza mikutano ya Kampeni zake leo. Maandilizi makubwa yanamsubiri wilayani Tarime kiongozi atakayefanya mikutano mjini hapa majira ya jioni ya leo. Alipo tupo na tunamkaribisha rais wetu huku...
 10. gimanini

  Natafuta gari ya kununua toyota ist

  Wadau natafuta gari aina ya TOYOTA IST ya thamani isiyo zidi milioni 6. iwe kwenye hali nzuri.
 11. gimanini

  Tarime: Lowassa aandaliwa mapokezi makubwa

  Zimebaki siku 2 rais mtarajiwa atue mjini tarime,hapo siku ya jumanne huku wananchi kila kona ni Mijadala juu ya ujio wa kipenzi chetu. Karibu nyumbani Edward Lowassa
 12. gimanini

  TANESCO: Tunazalisha MW 1501 tu za umeme

  Akiongea katika kipindi cha Jambo Tz afisa wa TANESCO amesema muda si mrefu watanzania watapata umeme wa uhakika km nchi zingine za ulaya, kwani hadi sasa wanazalisha MW 1501 tu.
 13. gimanini

  Watanzania wepesi kusahau

  Ni wakati wa uchaguzi,trh 25 oktoba tutawachagua viongozi wapya tangu rais hadi diwani,tumekuwa tukilalamika sana,hivyo ni wakati wa kufanya maamuzi kwa mstakabari wa maendeleo yetu,lazima tuwapime wale wanaotaka tuwachague,kumbuka uchaguzi wetu leo ni hatma yetu kesho.
 14. gimanini

  Magufuri atashinda

  Huo ndio ukweli,rais ajaye atakuwa dr. John Magufuri na atashinda kwa kishindo.
 15. gimanini

  Dr. Slaa si mwisho wa misa kwa Wakatoliki

  Mbunge Wa Musoma Mjini Na Mwenyekiti Wa CHADEMA mkoa wa MARA amewambia wana tarime kuwa wasiwe na wasiwasi kwa kitendo cha dr. slaa kuiacha CHADEMA,kwani hata alipo amua kuacha kazi yake ya upadiri,hakuna siku kanisa la katoliki wameshindwa kuendesha misa kanisani,amesema CHADEMA ni zaidi ya...
 16. gimanini

  Mtihani Wa Drs.La 7 Wiki Ijayo

  Wiki ijayo drs. la 7 watafanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi nchini kote,ila hadi leo wasimamizi wa mitihani hiyo hawajafahamika ili hata waende semina ya usimamizi,hasa baadhi ya mikoa na hii ni kutokana na ukosefu wa hela ya kuwalipa wasimamizi hao wa mitihani hiyo.kwani taarifa...
 17. gimanini

  Natafuta laini ya M-Pesa, Airtel Money na Tigopesa

  Wadau, Natafuta laini zilizosajiliwa kwa huduma tajwa hapo juu.
 18. gimanini

  Magufuli hatukani wapinzani

  Nimekuwa nikifuatilia kauli za wanasiasa wengi nchini,hasa wa vyama vya upinzani na wale wa CCM nimegundua kuwa dr.john magufuri hana tabia ya kuwakashifu wana upinzani km ilivyo kwa wanaccm kama nape,na wengineo,kwani amekuwa akijinadi kuwa atakuwa rais wa watanzania wote pasipo kujali chama...
 19. gimanini

  Sikukuu Ya Mashujaa: Rais Aitwa Profesa

  Nimekuwa nafuatilia matukio hapa mnazi mmoja ktk siku hii ya kuwakumbuka mashujaa wetu,kali ni pale mmoja wa viongozi wa dini toka jumuiya kikristo CCT,wakati akiomba dua kamwita mhe.rais kwa jina la profesa jakaya kikwete.sasa sijajua km tiyara mzee wa magogoni tiyari kaisha upata huo uprofesa.
 20. gimanini

  TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi

  Kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa Tarime,jina linalotamkwa ni la Mhe.Ester Matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na CHADEMA ili agombee ubunge ktk jimbo la Tarime Mjini,na Iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote...
Top Bottom