Search results

 1. F

  Meneja KNCU asafiri kwa pikipiki toka Moshi hadi Shinyanga na kupata ajali

  Unaweza ukashangaa lakini huo ndiyo ukweli wenyewe. Meneja wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro, Godfrey Massawe,hivi karibuni alisafiri kutoka Mjini Moshi kwenda Mkoani Tabora kwa shughuli za kichama akitumia usafiri wa pikipiki lengo likiwa ni kubana matumizi lakini kilichomtokea...
 2. F

  Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

  Hata msitu wa Njoro ni balaaa,watu wamekata miti yote,eneo la Njoro ya Dobi kulikuwa na cehmchem nyingi sana mwaka1995 hadi 1998 lakini leo hakuna kitu watu wamejenga juu ya vyanzo vya maji,sasa hapo unatarajia nini kama si joto kuongezeka na uhaba wa maji?.wana kilimanjaro wasipoamka hali...
 3. F

  Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

  Harafu kuna madiwani uchwara huko Rombo wanataka Half mile strip irudishwe halmashauri ili wananchi waingie huko na kuharibu mazingira bila kujua ilipelekwa kuwa chini ya Tanapa kwa Tangazo la serikali baada ya kubainika kuwa hali yauharibifu wa mazingirailikuwa kubwa sana
 4. F

  Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

  Suala la Moshi kuwa Jiji wamefanyiana mizengwe weenyeji wenyewe,unafamhamu mzee Lyatuu wa YMCA?,huyu akiwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi alisambaza taarifa hadi makanisani akiwataka wananchi wa Moshi vijijini wasitoe ardhi yao ikamezwa na Moshi mjini ili iwe Jiji na mpaka leo...
 5. F

  Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

  Ukitaka kufa mapema fuatilia mabo ya mke wako na mazi mwenzake,na kama hutaki kufa mapema achana n hiyo mambo angalia anachokupa wewe kwa wakati unapokuwa naye,hayo mengine mwachie mungu
 6. F

  Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

  Yaani wenyeji waharibu mazingira halafu iwe hujuma dhidi ya wenyeji?,ni akili au matope?,waanoishi kuznugmza mlima Kilimanjaro ni wahamiaji au ni wenyeji? Wanaoishi kuzngumza msitu wanusu maili ni wageni au niwneyeji?,siyo kia utmobunwekwa hapa,huo wa kwako ni utumbo na habari ya Ben sanane ina...
 7. F

  Tumeharibu mazingira sasa maji ni shida Kilimanjaro

  Kama hujui ni kwamba mji wa moshi kwa sasa unaongoza kwa kiwango cha joto ambalo kwa sasa limefikia nyuzi joto 36, jua ni kali ile mbaya hii yote ni matunda ya uharibifu wa mazingira. Enzi za utawala wa Mangi Thomas Maraelle kulikuwa na sheria kali katika uhifadhi wa mazingira,watu...
 8. F

  BAGAMOYO: Maiti sita zaokotwa mtoni zikiwa ndani ya viroba

  Binadamu wa siku hizi ni heli ya wanyama,unyama wetu umevuka kiwango
 9. F

  Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

  Radha ya maji ya Kilimanjaro huwezi linganisha na hayo maji yenu ya uhai sijui na nini tena?ni maji yanayotokana na chem chem za maji kutoka mlima Kilimanjaro,maji safi sana
 10. F

  TAKUKURU Kilimanjaro: Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomhusu Ole Sabaya unaendelea vizuri

  Na polisi kilimanjaro nao wanamsubiria kwa hamu ili ashitakiwe kwa kosa la kumpiga askari wao na kumsababishia maumivu makali,hii ni kwa mujibu wa RPC Simon Maigwamhahaha Mwaka wa Lengai Ole sabaya
 11. F

  Wakati Sabaya anafanya ujambazi, Polisi wa Hai, Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?

  Yajayo yanafurahisha,mko tayari?,hahaha hili ni Tangzo jamani msiitilie maanani sana,vodaom ,kazi ni kwako,hahaahahaha
 12. F

  Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

  Picha nimeiweka kwa ridhaa wala haina shida,na ndiyo maana katoa na maelezo ya jinsi alivyotendewa,magedso ya mpakani hasa huku mpakani Kilimanjaro ni eneo moja ambalo limekuwa na changamoto sana.ukiona polisi wamekamata magendo ujue wamesindwana bei
 13. F

  Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

  Polisi wa doria kutoka wilaya ya mwanga,juzi wamemshushia kipigo cha haja mfanyabiashara ,Emmanuel Linus Temu anayeishi kitongoji cha Kilema darajani katika Mji mdogo wa Himo baada ya juhudi zao za kutaka wapewe mshiko wa milioni moja ili waachie bidhaa za mfanyabiashara huyo walizozikamata...
 14. F

  Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

  Msiba wa masikini ndo huwezi ukakuta ndugu wanapelekana mahakamani,wakadai nini?
 15. F

  Diwani Moshi matatani, TRA yafunga akaunti zake

  Taarifa kutoka Moshi zinatonya kuwa diwani mmoja wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Manispaa ya Moshi ameingia matatani baada ya kubainika amekuwa akiendesha biashara ya utoaji wa mikopo bila kuwa na leseni na hivyo kukwepa kodi . Kwa sasa Diwani huyo(jina kapuni)anachunguzwa na TRA kwa ukwepaji wa...
 16. F

  Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

  Wakati wananchi wa Kilimanjaro wakiwa bado na kumbukumbu za tukio baya la kuuawa kikatili mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Scolastica miaka michache iliyopita,mapya yameibuka katika shule hiyo. Taarifa mpya kutoka kwa watumishi wa shule hiyo zinatonya kuwa,mtoto wa tajiri wa shule hiyo...
 17. F

  Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

  Hivi mapinduzi yanapotokea uchumi nao unakua?,hahahahahahaha,msiwaze mapinduzi nyie nchi huwa kama imekumbwa na msiba wa kitaifa
 18. F

  Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

  Akili za Ndugai zipo kisogoni nadhani,kuna kanuni ya kuzuia makongamano yasifanyike Dar?
 19. F

  Mfanyabiashara wa madini, Mathias Manga apigwa risasi

  Kwa hiyo wakaishie kumparaza tu?,au walitumwa wamtishe atishikeee na asifuatilie mambo ya watu?
Top Bottom