Search results

 1. BuenosAires

  Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

  Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
 2. BuenosAires

  Zlatan Ibrahimovic : ALL-TIME XI

  .
 3. BuenosAires

  Messi tayari kashakabidhiwa kiatu chake cha dhahabu/Sita

  MESSI GOLDEN SHOE 6 RONALDO 4 DE LIMA 1 La Pulga; The King. Mchezaji bora wa dunia Leonel Messi jana amekabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu baada ya kuwa mfungaji bora wa magoli kwa ligi za Barani Ulaya (European Golden Shoe) msimu wa 2018/2019. Akiweka kambani magoli 36. Messi anakuwa mchezaji...
 4. BuenosAires

  Majeshi ya Hezbollah yaendeleza mapambano, waishusha Drone ya Israel na sasa iko chini ya mikono yao

  Lebanon's Hezbollah Israeli drone in southern town Al-Manar TV says Israeli drone is now in the hands of Hezbollah's fighters after it was shot down in the town of Ramyah. 1 hour ago Lebanon's Hezbollah said it shot down an Israeli unmanned aircraft outside the southern town of...
 5. BuenosAires

  Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega, from Ledesma Jujuy, Argentina!

  Date of birth 4 March 1974 (age 45) Place of birth Ledesma, Jujuy, Argentina Height 1.70 m (5 ft 7 in) Playing position Attacking midfielder / Forward Huyu ndie Arnaldo Ariel Ortega a.k.a El Burrito, jamaa alikuwa fundi mmoja hatari sana kutoka (LEDESMA, JUJUY) Nchini ARGENTINA, kwa...
 6. BuenosAires

  Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi Argentina 🤣🤣

  Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi 👆👆👆🤣🤣🤣 Mbwa koko alivyookoa bao mechi ya ligi Argentina 7 Disemba 2018 Tazama wakati mbwa koko alipookoa bao katika mechi ya ligi ya daraja la tatu nchini Argentina, mechi kati ya Defensores de Belgrano de Villa Ramallo na Juventud Unida de Gualeguaychú...
 7. BuenosAires

  Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

  Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee... Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi. GOALKEEPERS SERGIO ROMERO (MAN U) NAHUEL GUZMAN (TIGRES) DEFENDER'S MARCOS ROJO (MAN UNITED) OTAMENDI...
 8. BuenosAires

  UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE

  UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE August 26, 2016 Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18. Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na...
 9. BuenosAires

  Baada ya Messi kujiengua Argentina

  BuenosAires,Argentina. BAADA ya Lionel Messi kutangaza kustaafu kuichezea Argentina watu mbalimbali wamejaribu kuonyesha ni jinsi gani taifa hilo la Amerika ya Kusini litapoteza kitu muhimu nje na ndani ya uwanja hasa Matokeo,Mapato pamoja na Mvuto. Soka Extra inakuletea kile kilichosemwa na...
 10. BuenosAires

  Mchezaji mwingine afariki dunia Argentina

  Mchezaji mwingine afariki dunia Argentina Na whezron - May 24, 2016 BUENOS AIRES, Argentina MCHEZO wa soka umekumbwa na tukio jingine la kusikitisha ambapo mchezaji wa Kiargentina, Micael Favre amefariki dunia baada ya kupigwa mara mbili kichwani katika mchezo uliofanyika Jumapili ya...
 11. BuenosAires

  Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

  MFALME WA SOKA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA LIONEL ANDRES MESSI AWEKA REKODI MPYA YA UFUNGAJI ARGENTINA IKITINGA FAINALI COPA AMERICA Lionel Mesi sasa anaongoza orodha ya wafungaji katia taifa la Argentina baada ya kuopiga mkwaju wa free-kick uliozama moja kwa moja kambani wakati Argentina...
 12. BuenosAires

  Messi amemfikia Gabriel Batistuta kuwa nae sawa katika ufungaji bora wa muda wote wa Argentina

  "Albiceleste"wamefanikiwa kufuzu kucheza nusu ya Copa America baada ya kuwafunga Venezuela 4-1. Gonzalo Higuain, Erick Lamela, na Lionel Messi wakiwa wafungaji. Mfalme wa soka duniani kuwahi kutokea amemfikia Gabriel Batistuta kuwa nae sawa katika ufungaji bora wa muda wote wa Argentina -magoli...
 13. BuenosAires

  Tangu Soka lianze hadi leo hii, Kuna Mchezaji yeyote aliyefikia kiwango cha Maradona au Messi?

  WADAU WENZANGU HESHIMA KWENU! 1-LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA 2-DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN BOY Tangu soka lianze hapa ulimwenguni. Ni mchezaji yupi aliyefikia kiwango cha wafalme hawa wa soka hapa duniani Al maarufu LEONEL ANDRES MESSI-LA PULGA & DIEGO ARMANDO MARADONA-GOLDEN...
 14. BuenosAires

  Yajue mambo 10 kuhusu jiwe la veto la nchini Argentina

  February 27, 2016
Top Bottom