Search results

 1. M

  Story of Change Tusikifumbie Kiingereza kana kwamba huo ndiyo uzalendo

  Kifupi, mwandishi ametoka nje ya "context". Mjadala wa matumizi ya Kiswahili kufundishia hauhusu uzalendo au la. Wala matumizi ya Kiswahili siyo kigezo cha uzalendo kama ambavyo matumizi ya Kiingereza siyo kigezo cha kutokuwa mzalendo. Mjadala unahusu matumizi ya lugha ambayo itapandisha uelewa...
 2. M

  Waziri Ndaki amtumbua ofisa msimamizi wa mnada Igunga

  Wizara inahitaji kuweka mfumo wa kidijitali katika masoko yake! Vivyo hivyo katika masoko ya bidhaa za kilimo!
 3. M

  Kifo cha Dkt. Magufuli: Rais wa China Xi Jinping atuma salamu za rambirambi. Asema China imepoteza rafiki wa kweli

  Urafiki baina ya nchi unategemea au unaambatana na maslahi ya nchi husika. Ukizubaa unapigwa, huo ndo ukweli!
 4. M

  Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

  Pia itabidi tukawatafute waTZ walioachwa huko na huyu mzee! Jamiiforums mtusaidie tuwakaribishe nyumbani!
 5. M

  Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

  I like this. This and other such stories about tanzanian heroes must be unearthed appreciated!
 6. M

  Wakubwa wa jiji, hali ya uzoaji takataka mitaani hairidhishi

  Uzoaji wa taka mjini hapa Dar umezorota sana. Huku Kimanga wako wanaopita wanakusanya pesa ili wachukue taka. Maeneo ya stendi taka zinakusanywa na kuoza karibu na maeneo yanayouza vyakula, matunda, mboga nk. Kuna tatizo ambalo limejitokeza siķu za karibuni.
 7. M

  Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

  Je ni aina gani ya nyanya inastahimili maeneo ya joto?
 8. M

  Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

  Shawshank Redemption, MWENYE ENZI MUNGU AILAZE ROHO WA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI, AMEN! He will be missed!
 9. M

  Tanzania kupokea msaada wa fedha kutoka Japan ili kufufua Shirika la Uvuvi

  Naamini nilichosema na naamini niko sahihi kwa asilimia 100.
 10. M

  Tanzania kupokea msaada wa fedha kutoka Japan ili kufufua Shirika la Uvuvi

  Ufumbuzi siyo kampuni ya umma, ni kuchochea wavuvi wetu wafanye hizo kazi ikiwa ni pamoja kuweka miundombinu ya uvuvi wa kibiashara, mfano ujenzi wa bandari ya uvuvi na viwanda vya kuchakata samaki kuuza Ulaya. Hata hao sangara wanakuja kuvuliwa hapa kwetu na wageni. Sisi tumekaa tu!!
 11. M

  Tanzania kupokea msaada wa fedha kutoka Japan ili kufufua Shirika la Uvuvi

  Kama TAFICO ilikufa na hii itakufa pia. Kuna mwenendo wa Serikali kurudi kufanya biashara kama hii ya uvuvi, ujenzi kupitia TBA, kuagiza vifaa vya maabara viinavyohitajika mashuleni n.k. Kama ambavyo tulishindwa huko nyuma, tutashindwa tena. Serikali haifanyi biashara, haiwezi. Serikali...
 12. M

  Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

  KIMAROO, Wachaga wengine waliotaka Ethiopia. Mfano wanachama wa wa Lema chimbuko la Ethiopia. Wazuri wa ulinzi wa Ethiopia ni wa ukoo wa Lema. KIMAROO, Wachaga wengine waliotaka Ethiopia. Mfano wamachame wa uko wa Lema chimbuko lao ni Ethiopia. Waziri wa ulinzi wa Ethiopia ni wa ukoo wa Lema
 13. M

  RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

  Kuna barabara ya kilomita moja tabata Kimanga imejengwa kwa miaka mitatu na bado haijaisha!!!
 14. M

  UDSM kuanza kutoa mitihani ya kimataifa ya Kiswahili ili kuikuza lugha hiyo duniani

  Kweli ni jambo njema sana. Tumeachia kuendeleza Kiswahili kiasi kwamba majirani zetu wameingia kwa kasi kubwa lakini kwa njia ambayo inaharibu Kiswahili. Utasikia wakisema fulani amenona badala ya kunenepa! Pia Nyerere alianzisha baraza la Kiswahili kwa nia hiyo ya kukuza Kiswahili. Pia...
 15. M

  Shirika la ndege la SWISS Inrernational Airlines limesimamisha safari za ndege zake zote aina ya Airbus A220

  TZ tumenunua hizo ndege za Boeing na Airbus. Ni changamoto inahitaji uangalifu. Naa tuanze kudai Nvidia ya matatizo hayo kutoka kwa kampuni hizo kama italazimu KUSITISHA matumizi ya ndege hizo!
 16. M

  Rais Magufuli: Watendaji wangu wengine wana vichwa vigumu kama Kamongo!

  A true and candid description of some of our people in government, as a result of which we're not viewed favourably by investors! Technocrats in government and some politicians need a lessons to prime their mindsets towards building our nation!
Top Bottom