Search results

 1. Bzimana

  Naweza kubadili windows phone kuwa android?

  Habari wana jukwaa ? Nina simu aina ya HTC pro touch 2 ni window phone, nilipata tetesi za juu juu yapo maujuzi ya ku-root window phone na kuwa android. Mwenye kufahamu ujuzi huu naomba anisaidie.
 2. Bzimana

  Watanzania baadhi, hawaamini katika mabadiliko

  Habari wana Jf.? Inakuweje shamba alilolilima babu yako halikumletea matunda, likalimwa na baba mambo hayakuwa swari pia ukaona na wewe ujalibu kwa kuona wakulima wa awali hawakuwa wasomi, wamezeeka.. Mambo pia yamekuwa si swari, mavuno hakuna. Msimu ujao wa kilimo unataka wewe na...
 3. Bzimana

  Wanawake na limbwata zenu, ziwe na mipaka

  Habari wana Jf.? Enyi wanawake mliowapa na mnatazamia kuwapa wanaume wenu limbwata... Inakuweje unampa limbwata mume wako hadi limbwata ya kutowapenda na kuwasaidia ndugu zake hata wazazi wake Jirani yangu kafanyiwa hii, kiuchumi yuko safi sana, ni mfanyabiashara hotel, maduka pia...
 4. Bzimana

  baadhi ya vyuo, ni bora vyuo.!

  hivi ikitokea kukawa na mfumo unaofanana fanana na NECTA kuweka paper la pamoja kuna baadhi ya vyuo itakuwa ni aibu tupu, vitashika mikia miaka yote, mimi naamini aliyepata four au 3 ya mwisho anaweza kufaulu maisha kumshinda wa Dvs 1 na 2, ila sio kumshinda GPA..
 5. Bzimana

  Rais wa chuo cha bugando aliyetekwa

  habari zenu? naomba kuuliza, huyu rais wa wanafunzi wa chuo cha bugando ni member wa chama gani.? navyofahamu mimi anakadi ya chadema.. Sasa nyie chama cha mapigo mbona mnakuwa wababe hivi..
 6. Bzimana

  Watu wa Kigoma mbona hamuutendei haki mkoa wenu?

  Wiki iliyopita nilimsindikiza rafiki yangu dereva kupeleka mzigo Kigoma. Kusema ukweli barabara yenu ni mbovu sana wala hata haifai, kuanzia nyakanazi hadi maeneo fulani kasulu panatisha yaani barabara yenu ni ya vumbi tupu mashimo njiani, miji yenu huwezi kupiga kiwi kiatu wala kuvaa nguo...
 7. Bzimana

  Rafiki yangu mpya muathirika aliniambia michepuko sio dili, niwe natumia condom

  Habari wanajamvi? Jana nilifika hospitali fulani hapa mwanza kumuona dakitari katika shida zangu binafsi, nikakaa katika sehemu ya kupumzikia wagonjwa nikisubili aniite, nikiwa nimejichanganya eneo hilo nikapata nafasi ya kubadilishana namba na binti mmoja, mida ikafika mwenyeji wangu akaniita...
 8. Bzimana

  Mchepuko kwa ajili ya kutafuta watoto au mtoto umtakae

  Habari wanajamvi? Nimekuwa nikisikia/kuona baadhi ya wanandoa ndani ya ndoa kuchepuka kwa ajiri ya kutafuta mtoto wamtakae baada ya kuzaa watoto wa aina ya jinsia moja (wakiume tu/wakike tu) Mama mmoja aliamua kuchepuka mara moja ili apate mtoto wa kiume baada ya ndoa yao kubahatika kupata...
 9. Bzimana

  Utawala wa kijeshi ni wa namna gani?

  Habari wanajamvi, Nimekuwa nikisikia baadhi ya nchi kutawaliwa kijeshi au kutaka kutawaliwa kijeshi, hata hapa Tanzania nilimsikia waziri Lukuvi akisema wananchi kukataa muundo wa serikali tatu kupita maana hata ukipita basi nchi itatawaliwa kijeshi. Nachotaka kujua, Je pale nchi inapokuwa...
 10. Bzimana

  Siku hizi mke mwema hutoka kwa Mungu lakini mme mwema lazima atoke kwenye ATM

  Imekuwa tofauti na zamani tabia, heshima na uchapa kazi ndivyo vilikuwa vikizingatiwa, lakini siku hizi bila pesa utahangaika kumpata mpenzi/mke, kwahiyo vijana ili umpate mke mwema fanya kazi kwa bidii, sasa sijui mwanamke ili apate mme mwema afanyeje.?
 11. Bzimana

  Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

  Niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada MPUNGUZE BASI.
 12. Bzimana

  wakati wa ujana wangu mimi baba yenu... Mwenye huu wimbo naomba anisaidie

  wakati wa ujana wangu mimi baba yenu shati shiling...... Unapata lakini hivi sasa.... Nitashukuru sana nimejalibu kuutafuta mtandaoni sijafanikiwa kuupata umeimbwa na marehemu mzee ngurumo akiwa Ottu jazz band
 13. Bzimana

  Hivi ni harali nyimbo za dini kupigwa baa?

  nyimbo za dini siku hizi ndizo zinazotumika kuwaburudisha walevi/wanywaji wa pombe vilabuni, hasa zile bar za mafichoni.. Nakalibisha hoja.
 14. Bzimana

  Love is for free, ''but very expensive''

  Ndivyo ilivyo siku zote, kupenda sio kazi, kazi ipo kuendeleza upendo udumu kwa yule umpendaye, kabla ya kupenda ni bora kutathimini gharama zote zisizo epukika katika kupenda/mapenzi, wengi wetu tunashindwa kuzikabili, cha muhimu ni kujipanga kabla ya kupenda...!
 15. Bzimana

  Ajari nimezozishuhudia katika siku ya leo ya pasaka

  nipo mwanza, maeneo ya kituo cha iloganzara mida ya saa kumi mtoto amegongwa na gari, pia mida ya saa moja nikiwa nyamanoro mtoto amegongwa na gari. Wote kwa ujumla hawakuumia sana na waliowagonga walisimama na kuwapeleka majeruhi hospitali. Hivyo basi wazazi niwazembe kuwajali watoto wao siku...
 16. Bzimana

  umeme ukikatika wakati unanyorewa

  wale wapenzi wa kunyolewa, upo chumba maalumu cha kunyolewa nywele lakini kwa bahati mbaya umeme ukakatika kinyozi akiwa katikati ya kichwa, huwa mnafanyeje.? unaondoka hivyohivyo.? au unasubiri hadi Tanesco waludishe umeme wao?
 17. Bzimana

  Usiombe kukutana na jambazi akiwa kazini..!

  ilikuwa jumatatu 5.4.2004 tulivamiwa ndani ya basi kwenye pori la kanembwa, yalitunyanganya abiria wote vitu vya dhamani na pesa, yalikusanya mafulushi 3 na kuteua abiria 3 wayabebe na kuongozana nao porini, watu watatu waliteuliwa na wakayabeba, Hadi leo bado najiuliza hatima ya hao raia...
 18. Bzimana

  Mwenye experiance ya kufumaniwa

  Sijawahi shuhudia mtu kafumaniwa ila nimekuwa nikisikia/kusoma kwenye mtandao, mara nyingi huwa wanapelekwa polisi na kesi kwenda mahakamani, Naomba kufahamu toka kwenu kule mahakamani inakuweje, na adhabu ya yule aliyefumaniwa huwa ni nini?
 19. Bzimana

  Kuhusu Matangazo ya Ajira/Kazi

  Kwanini wanatangaza nafasi za kazi wakati wamekwisha wapa watu wao hizo nafasi, utakutana na tangazo la kazi lakini nyuma ya pazia tayari zimeshajazwa, ni kwanini hivi.? Je kuna sheria inawalazimu kuzitangaza hata kama watu wao wameshazipachikwa.!
 20. Bzimana

  Mwenye wimbo wa MORO YAPENDEZA ulioimbwa na moro jazz band

  wakuu niwasumbue kidogo, ninautafuta wimbo wa zamani kidogo ''Moro yapendeza'' wa moro jazz band nimeshagoogle sana, lakini sijabahatika kuupatana.. Nitashukuru sana.
Top Bottom