Search results

 1. M

  MZANI WA KUPIMA UZITO NA UREFU NI BEI GANI WADAU??

  Wakuu naomba kujua bei ya mzani mkubwa mpya wa kupima uzito na urefu pamoja na upatikanaji wake.
 2. M

  Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

  Kpo centre kabisa hapo Bar Mpya.
 3. M

  Inaitajika nyumba ya kupanga Mabwepande (bunju b)

  Kpo hapo Mabwepande,kina hati kabisa nicheki kwa namba 0677089280 au 0786504002.Sqm 447 bei 9million haipungui.
 4. M

  Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mabwepande kina sqm 447

  Kiwanja kina hati kabisa kinauzwa Mabwepande, kina ukubwa sqm 447.Kinapatikana Mabwepande Bar mpya,kinafaa kwa ajili ya biashara au makazi sababu kipo barabarani. Bei yake ni 11,000,000 anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0677089280
 5. M

  Kiwanja kinauzwa utowangoma 35×70 bei 10M

  Utowangoma ipo Dar es Salaam karibu na Kigamboni .Barabara ya kutokea Mbagara kuelekea Kigamboni.
 6. M

  Kiwanja kinauzwa utowangoma 35×70 bei 10M

  Kiwanja kinapatikana Utowangoma ni Km 1 toka barabara kuu ktk njia ya kwenda Kambi stoo.Tuwasiliane kama unahitaji kwa simu namba 0677089280
 7. M

  Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

  Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo.
 8. M

  Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

  Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju, Kina Sqm 447, Kina Hati (Title Deed). Bei ni Tshs.14,000,000. Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.
 9. M

  Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

  Mlikuwa 9800 kwenye interview ya kwanza.Oral mtakuwa around 300.
 10. M

  Nafasi za kazi, banking officers TPB Bank

  Usikatishe watu tamaa.Ni uongo huo!Mie nilipata kazi TPB bila kuwa na mtu.
 11. M

  Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

  Ingiza gari uber&Bolt halafu endesha mwenyewe hela utaiona.
 12. M

  Natafuta kiwanja nina 5M Dar es salaam

  800sqm? Madale? Kwa 5m? Ukipata viwili nistue mie nitalipia 15m.
 13. M

  Nahisi nimeimbiliziwa (Nimerogwa) nisitoboe

  Rudi kanisani katoe fungu la kumi bila kuiba,saidia wahitaji kama yatima,wajane n.k.Baada ya hapo utarudi kunishukuru.
 14. M

  Gari kuchemsha baada ya kuwasha A.C. sababu ni nini?

  Hii ni mfumo wa fern moja.Kulingana na ufafanuzi wa wadau inawezekana ni tatizo la head gasket au A.C Compressor.Inabidi kwanza nicheki hivyo vitu then nije na mrejesho.
 15. M

  Wapi naweza pata kifaa/mashine ya kuchajia betri za magari na kwa bei gani?

  Salamu wadau!Tafadhali,wapi naweza pata kifaa/machine ya kuchajia betri za magari hapa Dar na kwa bei gani?Nataka nikafungie kijiwe cha kuchaji betri huko kijijini misaidieni.
 16. M

  Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

  Wakurugenzi taasisi za umma ni kuanzia 15m kushuka,kabla ya Magu walikuwa wanachukua mpaka 30+wengine huko.Jamaa alifyeka,hakuna mtu kulipwa zaidi ya 15m.
 17. M

  Gari kuchemsha baada ya kuwasha A.C. sababu ni nini?

  Unaweza elezea kidogo hili?Naona ndo inaweza kuwa ndo tatizo?
 18. M

  Gari kuchemsha baada ya kuwasha A.C. sababu ni nini?

  Ni gari yangu aina ya Clavia Vitz,mara nyingi mida ya mchana joto likiwa kali,nikiwasha A.C gari ina nguruma zaidi then baadaye naona alama kwenye dash board kuonyesha injini imechemka.Nini shida hapo???
Top Bottom