Search results

 1. M

  Benzi la Daniel Arap Moi lililoibwa Kenya lakamatwa Arusha

  Benzi la Daniel Arap Moi lililoibwa Kenya lakamatwa Arusha Na Hemed Kivuyo,Arusha WIZI wa magari katika ukanda wa Afrika Mashariki, sasa umekithiri baada ya wezi kuiba gari aina ya Mercedes Benz linalomilikiwa na rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi. Kuibwa kwa gari hilo ni moja ya...
 2. M

  Hee!!!MGONJA KULIA X-MASS KEKO!!YALAAH!!

  *Mwingine aongezwa katika orodha ya ufisadi wa EPA Na Nora Damian Mahakama ya Kisutu Jumatatu yalikuwa eneo la pilikapilika kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja kupandishwa kizimbani akituhumiwa kutumia vibaya ofisi na kuisababishia...
 3. M

  albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

  ndugu wenzangu ni hali ya kusikitisha sana inayowzukia hawa ndugu zetu albino's...imefika sasa hata watoto albino's ukiwakuta wanavuka barabarani ukawafwata kuwasaidia wanakimbia kama mwewe........ inasikitisha sana JK kutokuwa makini na hili..nimekaa nikafikiria wote ni binadamu na tuna hisia...
 4. M

  Swissport co ltd imejaa vihiyo watupu

  Wanandugu habari zilizotufikia hivi punde baada ya kuonyesha makeke yake katika kuondoa uchafu na uozo wa b.o.t kashfa nyingine imeikumba kampuni ya mizigo ya swisssport co ltd vyanzo vya habari cvinaeleza hivi punde kuna baadhi ya watu walidiriki kwenda kwa meneja utawala kuongelea hali...
 5. M

  Rufaa vigogo wa EPA BoT katika hatua za mwISHO

  Rufaa vigogo wa EPA BoT katika hatua za mwISHO USIKILIZAJI rufaa za maafisa wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambao walipinga adhabu za kuhusishwa kwa tuhuma za ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), uko katika hatua za mwishoni. Mchakato huo unaelekea mwisho wakati tayari...
 6. M

  Chelsea yaichapa AC Milan 5-0

  Chelsea yaichapa AC Milan 5-0 Moscow, Russia NICOLAS Anelka amejiweka katika nafqsi nzuri ya kuwa miongini mwa wachezaji wa kikosi cha kwanza cha kocha Phil Scolari wa Chelsea baada kufanya mapinduzi makubwa na kuiangamiza AC Milan. Mfaransa huyo alifunga mabao zaidi dakika ya 58 tangu...
 7. M

  Chuma ulete yazua songombingo Dar, Wakimbiza pesa benki kwa hofu

  Chuma ulete yazua songombingo Dar, Wakimbiza pesa benki kwa hofu *Wakimbiza pesa benki kwa hofu Na Adam Hussein MZOZO mkubwa huenda ukazuka kati ya baadhi ya wenye nyumba na wapangaji katika maeneo mbalimbali wilayani Temeke huku wapangaji wakidai kuwa wenye nyumba wanaingia mifukoni...
 8. M

  Tulikotoka: 'Marais wastaafu wanavyoifilisi nchi yetu'

  Tulikotoka: 'Marais wastaafu wanaifilisi nchi' *Watumia mamilioni kila mwaka *Salim Ahmed Salim naye atengewa zake Dodoma, Agosti 4, 1998 MARAIS wastaafu ni miongoni mwa viongozi ambao wameelezwa kutumia fedha nyingi za walipa kodi hali inayotishia kufilisi nchi na kuzorotesha huduma...
 9. M

  Captain George Mazula Afariki

  ndugu wapendwa poleni wote na msiba mkubwa uliotokea mpendwa wetu rafiki ndugu kaka yetu captain george mazula wa airtanzania amefariki muda mchache uliopita mengine zaidi tutawaletea amefariki tanzania mungu amlaze mahali pema peponi R.I.P GEORGE
 10. M

  Moshi wa EPA wafukuta upya

  Patakuwa hapatoshi hapa bungeni Moshi wa EPA wafukuta upya Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango ambaye aliapa bungeni kwamba pesa iliyoliwa kwenye akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) isiporudi bungeni patakuwa hapakaliki, ameisumbua mno serikali...
 11. M

  Patakuwa hapatoshi hapa bungeni -BUNGENI

  Patakuwa hapatoshi hapa bungeni Mwandishi Wetu Anne Kilango Malecela aliwasha moto mkali wakati akichangia katika mjadala wa Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Serikali Juni 19 mwaka huu bungeni Dodoma. Ufuatao ni mchango wake kwa mujibu wa kumbukumbu rasmi za Bunge. Mheshimiwa Spika...
 12. M

  Vita hii ni zaidi ya ufisadi --KILANGO

  Vita hii ni zaidi ya ufisadi Mwandishi Wetu SIYO siri kwamba wapo wabunge ambao sasa wakisimama bungeni, kuuliza swali au kuchangia hoja yoyote, wabunge karibu wote hutulia na waandishi wa habari wanaoripoti habari za bungeni huwa makini na kalamu zao sehemu waliyopangiwa kukaa...
 13. M

  Kibarua kigumu kumbana Kubenea.. Dk Slaa aingia, Polisi sasa wahaha

  Kibarua kigumu kumbana Kubenea.. Dk Slaa aingia, Polisi sasa wahaha Na Mwandishi Wetu KAULI ya Mbunge Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk Wilbroad Slaa kuwa alimpa nyaraka za benki mwandishi wa habari wa Mwanahalisi Saed Kubenea ambazo polisi...
 14. M

  Wahariri waazimia kuendelea kusaka nyaraka za mafisadi

  Wahariri waazimia kuendelea kusaka nyaraka za mafisadi Na Reuben Kagaruki WAHARIRI wa vyombo vya habari nchini wameazimia kuendelea kutafuta nyaraka zinazohusiana na ufisadi na kuzichapisha kwa lengo la kufichua maovu yanayofanyika bila kuogopa vitisho. Msimamo huo ulitolewa...
 15. M

  Vifaa vya Sh 95.8 milioni vyayeyuka MUWSA

  Vifaa vya Sh 95.8 milioni vyayeyuka MUWSA Na Mwandishi Wetu VITENDO vya wizi na ubadhirifu wa mali ya umma vinazidi kuitikisa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mjini Moshi (MUWSA) baada ya Tume Maalumu kubaini upotevu wa vifaa vyenye thamani ya Sh 95.8 milioni. Kubainika kwa wizi huo...
 16. M

  JK: Wafanyabiashara chanzo cha ufisadi

  JK: Wafanyabiashara chanzo cha ufisadi Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete, amepasua ukweli mbele ya wenye viwanda, akisema kuwa, rushwa kubwa nchini zina mkono wa baadhi ya wafanyabiashara. Kutokana na hali hiyo, Rais alilitaka Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI)...
 17. M

  Askofu Malasusa-tuachieni Kanisa Letu!

  Askofu Mkuuu Wa Kanisa La Kkkt Tanzania Bw Malasusa Amesema Imefika Wakati Kanisa Tubaki Kama Kanisa Na Wanasiasa Naomba Mliheshimu Hili..tusingependa Kanisa Kutumika Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani... Kama Niliposema Hapo Nyuma Kkkt Si Ya Chama Chochote Na Wala...
 18. M

  Pinda Ankwepa Nkapa

  Pinda amkwepa Mkapa Habari Zinazoshabihiana • Nikichukua rushwa Mungu anichukue - Pinda 04.03.2008 [Soma] • Mkapa sasa achunguzwa kwa ufisadi 25.04.2008 [Soma] • Chukueni michango wakati wa msimu-Pinda 02.03.2008 [Soma] Na Mwandishi Wetu WAKATI Watanzania wakitarajia...
 19. M

  muwapende mahausigeli!!!!!!!!!!!

  Hausigeli amnyonga bosi wake 2008-05-24 09:24:43 Na Romana Mallya Mfanyakazi za ndani aliyefahamika kwa jina moja la Maria, anadaiwa kumuua mwajiri wake, Bi. Lina Capuolalho, nyumba namba 116, mtaa wa Kitonga na Upanga, jijini Dar es Salaam. Hausigeli huyo ambaye alikuwa na siku...
 20. M

  Mwili Wa Ulimboka Kuwasili Ijumaa

  Ndugu wana JF kwa huzuni kubwa na masikitiko napenda kuwataarifu ule mwili wa mpendwa wetu ULIMBOKA MWAKIFUNA aliefariki hapo wichita uko USA kwa ajali ya moto utaingia hapa TANZANIA saa nane mchana na ndege ya afrika ya kusini...ukiwa kama ndugu rafiki na...
Top Bottom